Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Mkuu punguza chuki na ufafanue maana ya uzalendo kulingana na maandiko yamkini wewe ndio hufahamu maana ya uzalendo au unapindisha kwa makusudi.
 
Mkuu punguza chuki na ufafanue maana ya uzalendo kulingana na maandiko yamkini wewe ndio hufahamu maana ya uzalendo au unapindisha kwa makusudi.
no hard feelings dude nikosoe tupo kwa ajili ya kuelimishana hii ndio Jf so tell me what u gat bro
 
Ni fisadi tu anayeweza kuupinga utawala wa mzalendo jpm
Yani mtu alitaka achukue coco beach iwe yake halafu tuingie kwa kiingilio.😂😂😂???
Ila kwa akili za mtoa mada ataona hio ilikuwa sahihi, ubepari unatuletea tabia ya ubinafsi na umimi.

Ubepari wa kibongo bongo ni wa kugombania nafasi maofisini kwa kujazana ndugu 😂! Ushenzi kama huu hatuwezi kuukubali kwa namna yeyote ile wala hauwezi kuwa ubepari ni ushenzi
 
Duh! acha tu mkuu yaani ya now unabananishwa mpaka unajuta kusign contracts.
project contractors wengi awamu hii wanakimbia miradi mingi maana rushwa kila sehemu mfano bandari ya bagamoyo,n.k mwisho wa kukabidhii unajikuta umeingia hasara kubwa sana.
 
 
Wewe mbuzi nini? Fanya kazi na utakula kwa jasho lako. Wewe kaa hapo fuga tu kucha huku ukiomba matajiri wafilisiwe ili wewe ule
Kabla ya Magufuli watu walifanya kazi na hata alipokuwa madarakani watu walifanya kazi zaidi. Mnaolalamikia utawala wa Magufuli ni wale ambao mlikuwa kazini mkiiba hela kijanjajanja kwa kuandika proposal za kifisadi, mkiweka 10% kwenye mifumo ya tender, procurement na wale vyeti feki. Hayo yote yalikuwa halali hadi alipotokea mtu akasema ni marufuku kuendeleza hizo tabia na kuwatimua timua.

Tajiri aliyenyooka na mfanyabiashara mkubwa kama Bhakressa alikuwa na hakuwahi kuingia matatizoni na Magufuli. Mbona sijawahi msikia akilalamikia awamu ya 5? Nyie wapuuzi wakwepa kodi ndio mlinyooshwa na mkono wa chuma.
 
Eeh yani kitu kinachoshangiliwa sasa ukiangalia kwa karibu ni sawa kabisa na hicho. Wafanyabiashara walishazoea kuichezea na kuitumia serikali on their advantage. Vitu vingi vilivyokuwa vinafanyika lobbying ni za kuiumiza serikali kama benki flani kushikilia hela za serikali kisha inaikopesha tena hela zake.

Sasa serikali iliposimamishwa na kunolewa meno na JPM wenye akili walielewa tu kuwa nchi tayari ina uongozi thabiti. Waliojiongeza walibadilika wakakaa katika njia ilionyooka.

Yani ni sawa kabisa na mwalimu wa nidhamu mkali kuamua ku deal na tabia ya wanafunzi watukutu na kuwaweka sawa kwa kusimamia time managemenent na sheria za shule. Lazma wahuni wangemchukia na kumuona mnoko.

Impliedly ni lazma wafanyabiashara wanyonyaji na waumini wa rushwa ili waendelee ku survive wangemchukia Magufuli tu.
 
Duh! acha tu mkuu yaani ya now unabananishwa mpaka unajuta kusign contracts.
project contractors wengi awamu hii wanakimbia miradi mingi maana rushwa kila sehemu mfano bandari ya bagamoyo,n.k mwisho wa kukabidhii unajikuta umeingia hasara kubwa sana.
Hela haitoki kwa wakati yani dah, hasara kweli unakuta watu washavuta mzigo hazina ila wameutia kwenye biashara zao flani wanasubiria baada ya kuuza mzigo ndio wawalipe. Huku ndiko tulikokuwa kabla ya JPM na ndio tumerejeshwa kwa kasi.
 
tukuone basi wewe ukitajirika kwa kupiga hela ya umma. Huyo muovu lake kubwa ilikua kupambana na ufisadi serikalini, kukusanya kodi na kusimamia miradi ya maendeleo. Kama wewe uliona ni uovu bila shaka utakua mtu fisadi.

Hakuna mtu asiyetaka uhuru wa vyombo vya habari akawa anapambana na ufisadi. Yule hakuwa anapambana na ufisadi, bali alikuwa anapambana na matumizi ya neno fisadi.
 
exactly, na amezalisha misukule mingi leo inatusumbua humu mitandaoni kutukana serikali na Rais
 

Kupora fedha za wenye bureau de change ni kuweka watu kwenye mstari? Au mimi ndio sielewi kuweka watu kwenye mstari?
 
Kupora fedha za wenye bureau de change ni kuweka watu kwenye mstari? Au mimi ndio sielewi kuweka watu kwenye mstari?
Watu hawakupewa notification kabla kuwa wafunge? Kama ulikaidi zikachukuliwa kosa ni la nani hapo?
 
Hiyo ndio misukule ambayo ametuachia jiwe,walikuwa wanafurahia wafanyabiashara wakiporwa fedha zao
Umeambiwa biashara hio usitishe mkapewa utaratibu wewe umekaidi ulitaka usaidiweje?
 
Hakuna kipindi nilikuwa mzalendo kwa nchi yangu kama kwenye utawala wa JPM nlikuwa na wivu na nchi yangu hatari. Kila aliyehujumu choxhote nlikuwa mkali as if ananiibia mimi
Umasikini tu ulikuwa unakusumbua mkuu!
 
Watu hawakupewa notification kabla kuwa wafunge? Kama ulikaidi zikachukuliwa kosa ni la nani hapo?

Hakukuwa na notification yoyote. Je notification ya nini wakati hiyo biashara ilikuwa kisheria, ama kuna sheria yoyote ilipitishwa ili kusitisha hiyo biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…