Hiyo ni kazi ya raisi kuhakikisha kuwa mfumo wa nchi upo sawa. Mahakama zinafanya kazi sawa. Takukuru inadhibiti Rushwa. Kama katika kipindi chake mahakama haikuaminika ulikuwa udhaifu wa nani? Halafu ni lini nchi ilipitisha kuwa mahakama ikiwa dhaifu jeshi litoe hukumu?Upelekewe mahakamani ili ukamuhonge jaji na hakimu? Utoke nje salama
Ile ilikuwa njia ya kukwepa urasimu tu. Na nafikiri jamaa alitumia wanajesho sababu ni watu ambao hawanaga room ya negotiation ni kutekeleza tu.Hiyo ni kazi ya raisi kuhakikisha kuwa mfumo wa nchi upo sawa. Mahakama zinafanya kazi sawa. Takukuru inadhibiti Rushwa. Kama katika kipindi chake mahakama haikuaminika ulikuwa udhaifu wa nani? Halafu ni lini nchi ilipitisha kuwa mahakama ikiwa dhaifu jeshi litoe hukumu?
Sema ujamaa WA kisasa kama WA Kule Denmark ,Sweden ,Norway na Finland .Mi naona ule ndio unafaa Maana hata watu wanaishi hizi nchi tajiri za kibepari kama France na Germany wanatamani kuishi Kule Scandinavia ,lakini si ujamaa WA kizamani Ile WA akina Mao ,Stallin na Lenin ,Castro ule hapana .Tokea ubepari uanzishwe una bilioni ngapi kwenye akaunti yako?
Sera ya ubepari ni ya kupingwa coz wengi wanateseka na wanaonufaika ni wachache sana
Sera ya ujamaa inanufaisha wananchi wote
Hahaha. Kuna watu waliambiwa usifungue. Wale wenye connection. Laswai kama ndo huyu ninayemfahamu ni mfanyabiashara mjanja tu sijui ilikuaje hakushtukaKuna mzee mmoja yuko Moshi, alikuwa landlord wangu na best yake laswai. Yeye Million 800 zake zilipona alisanuliwa mapema laswai alikaza ubongo ikala kwake πππ
Hili halina utetezi Extrovert. Tuachane nalo tu. ........Ile ilikuwa njia ya kukwepa urasimu tu.
Eeh mzee anasema alipigiwa simu na undercover akamsanua asifungue, Laswai yeye alikaza ubongo kiburi tu pamoja na onyo hilo ikala kwake. Leo hii kama amedata hivi jamaa hayuko sawa sukari presha vinamtafuna vibaya mno.Hahaha. Kuna watu waliambiwa usifungue. Wale wenye connection. Laswai kama ndo huyu ninayemfahamu ni mfanyabiashara mjanja tu sijui ilikuaje hakushtuka
Aisee acha tu. Hapa ndo unajua fedha si jibu la kila kitu, kuna mambo unakosa majibu unamrudia MUNGU.Eeh mzee anasema alipigiwa simu na undercover akamsanua asifungue, Laswai yeye alikaza ubongo kiburi tu pamoja na onyo hilo ikala kwake. Leo hii kama amedata hivi jamaa hayuko sawa sukari presha vinamtafuna vibaya mno.
Et Laswai kadata khaa....kwel mkuu una roho ya kimaskini yaan huyu ambaye anaongeza hotel kila kukicha adate??? Juzi kati kashusha benz actros mpya kama 10 hiv za kubeba mizigo halaf adate???Eeh mzee anasema alipigiwa simu na undercover akamsanua asifungue, Laswai yeye alikaza ubongo kiburi tu pamoja na onyo hilo ikala kwake. Leo hii kama amedata hivi jamaa hayuko sawa sukari presha vinamtafuna vibaya mno.
Hapana hebu mfuatilie hata ni kwanini Yule Bennie Sanders alikuwa ana advocate hii isgu ya kwamba Marekani iadopt social democracy system kama ya Kule Scandinavia ili kuondoa suala la income inequality and wealth gap katibya walionacho na wasio nacho mfano homelessness NK ingawa alipata upinzani mkali , kuna issues kama health care and insurance Kwa Marekani hii issue inaweza kukufilisi , yaani wamarekani wengi wanaomba wasipate serious health troubles , kung'oa jino Tu kwenye zile health clinics na hospitali ni mamilioni ya pesa.Ujamaa wote uliobaki duniani kwa sasa ni ujamaa uchwara
Idea ya vyama vya ushirika ilikuwa nzuri Ila baadaye Nyerere aliamua kupandikiza mamluki ili kuvidhoofisha na kuviua Kwa sababu alivihofia kuwa vinagain power na influence ,hii ilikuwa ni mistake kubwa Sana , ndio Maana mpaka leo wakulima Tz hii ni masikini wakubwa , miaka ya nyuma Kule Moshi chama cha ushirika cha Kahawa Kwa mfano kilitajirisha wakulima wengi , kulikuwa na viwanda na pesa za kutosha hata kusomesha baadhi ya watu walikuwa kuwa matajiri wakubwa nchi hii mfano Mengi , Yule kasimeshwa na chama cha ushirika cha Kahawa Maana akitokea familia duniKuanzia Nyerere mpaka sasa ni unyonyaji na ufukarishaji.
Vyama vya Ushirika vimekufa, majirani zetu kenya wamejifunza kwetu ushirika, sasa hivi vyama vya ushirika ke vina nguvu kubwa sana kiuchumi.
Nyerere angeacha vikastawi tz tungekuwa wapi?
Ilikuwa biashara ya kutakatisha fedha kiharamu wengi walitumia kuua thamani ya tsh yetu.
Sasa unafikiri tajiri kila kitu anafanya yeye? Watoto wake ndoo wanafanya hizo mishe. Kushusha actros 10 hazihusiani na kuumwa kwake.Et Laswai kadata khaa....kwel mkuu una roho ya kimaskini yaan huyu ambaye anaongeza hotel kila kukicha adate??? Juzi kati kashusha benz actros mpya kama 10 hiv za kubeba mizigo halaf adate???
Hiki ndio wanachohubiri majukwaani ila utekelezaji wake ni kinyume kabisa πππ wakishakabidhiwa madaraka. Binafsi napendelea nchi yetu ingekuwa hivyo equity iwe kipaumbele.Sema ujamaa WA kisasa kama WA Kule Denmark ,Sweden ,Norway na Finland .Mi naona ule ndio unafaa Maana hata watu wanaishi hizi nchi tajiri za kibepari kama France na Germany wanatamani kuishi Kule Scandinavia ,lakini si ujamaa WA kizamani Ile WA akina Mao ,Stallin na Lenin ,Castro ule hapana .
Modern socialism kama ya Kule Scandinavia imelenga kutengeneza maisha mazuri Kwa raia WA kawaida pia kucreate opportunity ya mtu kutengeneza utajiri lakini bila kumkandamiza au kunyonya wengine . Haina Maana ya kuwa na utajiri WA matrilioni ili Hali unaishi katikati ya mamilioni ya watu masikini WA kutupwa na ombaomba , Huu ni ukosefu WA utu , ni utovu WA maadili ya kiutu .
Watu wengi wakiwa na maisha Bora ndio quality ya life itakuwepo , ndio Maana hizo nchi ni kawaida kabisa mtu kuwa milionea yet ni mfanyakazi WA kampuni husika ni kwasababu ya better payment na welfare system inayokuwa inforced na serikali za hizo nchi contrary na huku Africa ambapo unyonyaji Kwanza umerasimishwa na serikali ,kanjibai na mchina wanawatumikisha watu kama manamba ,mazingira mabovu ya kazi + malipo duni kabisa yasiyomwezesha mtu kuishi maisha Bora . Hili ni tatizo kubwa .
Sasa hizo nchi za Scandinavia hata crime rate ni ndogo Sana nearly zero mtu milionea lakini unaishi bila kuhofia kuvamiwa ,kukabwa au kudhurika ,Kwa sababu kila mtu anamaisha Bora hivyo hata uhalifu unakuwa Chini Sana .
Haya ndio maisha Bora sasa
Ni kweli mkuu , watu ni mamchwa kila sehemu upigaji + ufisadi + unyonyaji basi ni vurugu tupu . Ila tungekuwa na discipline na commitment kitu ambacho ni nadra kwetu ngozi nyeusi tungeweza . Jitu linajilimbikizia Mali za wizi na unyonyaji as if halitakufa nchi zenyewe masikini hizi bado . Watu weusi kuna kitu hakiko Sawa jinsi tunavyofikiri .Hiki ndio wanachohubiri majukwaani ila utekelezaji wake ni kinyume kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] wakishakabidhiwa madaraka. Binafsi napendelea nchi yetu ingekuwa hivyo equity iwe kipaumbele.
Sio huku kwetu mtu anataka kuwa tajiri ili awafanye wenzie machawa. Yani hata kuwainua ukoo wake tu hawezi ila anaona sifa kunywesha bia watu akiwa Bar.
Naamini Tanzania tuna fursa kubwa sana ya kuweza kuishi kama Norway, Sweden au Denmark ila shida ni ubinafsi wa viongozi.
Kweli kabisa !! Wanadhani capitalism maana yake ni wizi na ufisadi na kila aina ya biashara chafu including Ngada !! Hao jamaa ni bure kabisa !!Wao huo ndio wanauita ubepari yani, huo ni wizi na ufisadi wala sio utajiri wa kujivunia. Fisadi ni mtu alielaaniwa ndio maana huwezi kukuta kokote duniani mlafi anatoa msaada kwa watu wa hali ya chini.
Huu ni wasifu wa viongozi wengi wa siasa Africa. Na hata bongo wanaomkandia Nyerere sababu ni hii hii.
Yani bure kabisa, capitalism ilienda sawia na industrial revolution. Mtoa mada aseme anamiliki kiwanda gani ili kufaa kujiita tajiri au bepari?Kweli kabisa !! Wanadhani capitalism maana yake ni wizi na ufisadi na kila aina ya biashara chafu including Ngada !! Hao jamaa ni bure kabisa !!
Aisee....kuumwa kwa umri ule ni kawaida sana mkuu...sidhan ulilenga nn n kusema jamaa kadata sijui kwa kwelSasa unafikiri tajiri kila kitu anafanya yeye? Watoto wake ndoo wanafanya hizo mishe. Kushusha actros 10 hazihusiani na kuumwa kwake.