Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Upelekewe mahakamani ili ukamuhonge jaji na hakimu? Utoke nje salama
Hiyo ni kazi ya raisi kuhakikisha kuwa mfumo wa nchi upo sawa. Mahakama zinafanya kazi sawa. Takukuru inadhibiti Rushwa. Kama katika kipindi chake mahakama haikuaminika ulikuwa udhaifu wa nani? Halafu ni lini nchi ilipitisha kuwa mahakama ikiwa dhaifu jeshi litoe hukumu?
 
Ile ilikuwa njia ya kukwepa urasimu tu. Na nafikiri jamaa alitumia wanajesho sababu ni watu ambao hawanaga room ya negotiation ni kutekeleza tu.
 
Tokea ubepari uanzishwe una bilioni ngapi kwenye akaunti yako?

Sera ya ubepari ni ya kupingwa coz wengi wanateseka na wanaonufaika ni wachache sana

Sera ya ujamaa inanufaisha wananchi wote
Sema ujamaa WA kisasa kama WA Kule Denmark ,Sweden ,Norway na Finland .Mi naona ule ndio unafaa Maana hata watu wanaishi hizi nchi tajiri za kibepari kama France na Germany wanatamani kuishi Kule Scandinavia ,lakini si ujamaa WA kizamani Ile WA akina Mao ,Stallin na Lenin ,Castro ule hapana .

Modern socialism kama ya Kule Scandinavia imelenga kutengeneza maisha mazuri Kwa raia WA kawaida pia kucreate opportunity ya mtu kutengeneza utajiri lakini bila kumkandamiza au kunyonya wengine . Haina Maana ya kuwa na utajiri WA matrilioni ili Hali unaishi katikati ya mamilioni ya watu masikini WA kutupwa na ombaomba , Huu ni ukosefu WA utu , ni utovu WA maadili ya kiutu .
Watu wengi wakiwa na maisha Bora ndio quality ya life itakuwepo , ndio Maana hizo nchi ni kawaida kabisa mtu kuwa milionea yet ni mfanyakazi WA kampuni husika ni kwasababu ya better payment na welfare system inayokuwa inforced na serikali za hizo nchi contrary na huku Africa ambapo unyonyaji Kwanza umerasimishwa na serikali ,kanjibai na mchina wanawatumikisha watu kama manamba ,mazingira mabovu ya kazi + malipo duni kabisa yasiyomwezesha mtu kuishi maisha Bora . Hili ni tatizo kubwa .
Sasa hizo nchi za Scandinavia hata crime rate ni ndogo Sana nearly zero mtu milionea lakini unaishi bila kuhofia kuvamiwa ,kukabwa au kudhurika ,Kwa sababu kila mtu anamaisha Bora hivyo hata uhalifu unakuwa Chini Sana .
Haya ndio maisha Bora sasa
 
Kuna mzee mmoja yuko Moshi, alikuwa landlord wangu na best yake laswai. Yeye Million 800 zake zilipona alisanuliwa mapema laswai alikaza ubongo ikala kwake 😂😂😂
Hahaha. Kuna watu waliambiwa usifungue. Wale wenye connection. Laswai kama ndo huyu ninayemfahamu ni mfanyabiashara mjanja tu sijui ilikuaje hakushtuka
 
Hahaha. Kuna watu waliambiwa usifungue. Wale wenye connection. Laswai kama ndo huyu ninayemfahamu ni mfanyabiashara mjanja tu sijui ilikuaje hakushtuka
Eeh mzee anasema alipigiwa simu na undercover akamsanua asifungue, Laswai yeye alikaza ubongo kiburi tu pamoja na onyo hilo ikala kwake. Leo hii kama amedata hivi jamaa hayuko sawa sukari presha vinamtafuna vibaya mno.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Eeh mzee anasema alipigiwa simu na undercover akamsanua asifungue, Laswai yeye alikaza ubongo kiburi tu pamoja na onyo hilo ikala kwake. Leo hii kama amedata hivi jamaa hayuko sawa sukari presha vinamtafuna vibaya mno.
Aisee acha tu. Hapa ndo unajua fedha si jibu la kila kitu, kuna mambo unakosa majibu unamrudia MUNGU.
 
PATRIOTISM
Nathanson(1997) claims that patriotism consist of 4 main components which are;
~a special affection towards one's country
~define himself or hersefl through his or her country
~being interested in country's welfare and
~sacrificing for the sake of country's welfare

N.B:The potential downside of patriotism is that if becomes a mandator political doctrine,it can be used to turn groups of people against each other and can even lead a country to reject its fundamental values.(Lengley R,2022)
~a few examples from U.S History include as early as 1798,extreme patriotism,spurred by fears a war with France.

REFERENCES;
~Nathan,S(1997) "Initial development and validation of the global citizenship scale,journal of international education,15(5),445-466
~Lengley,R(2022,June 10) "Patriotism and Nationalism" www.thoughtco.com/patriotism-and-nationalism-4178864

Ninja assasin
 
Eeh mzee anasema alipigiwa simu na undercover akamsanua asifungue, Laswai yeye alikaza ubongo kiburi tu pamoja na onyo hilo ikala kwake. Leo hii kama amedata hivi jamaa hayuko sawa sukari presha vinamtafuna vibaya mno.
Et Laswai kadata khaa....kwel mkuu una roho ya kimaskini yaan huyu ambaye anaongeza hotel kila kukicha adate??? Juzi kati kashusha benz actros mpya kama 10 hiv za kubeba mizigo halaf adate???
 
Ujamaa wote uliobaki duniani kwa sasa ni ujamaa uchwara
Hapana hebu mfuatilie hata ni kwanini Yule Bennie Sanders alikuwa ana advocate hii isgu ya kwamba Marekani iadopt social democracy system kama ya Kule Scandinavia ili kuondoa suala la income inequality and wealth gap katibya walionacho na wasio nacho mfano homelessness NK ingawa alipata upinzani mkali , kuna issues kama health care and insurance Kwa Marekani hii issue inaweza kukufilisi , yaani wamarekani wengi wanaomba wasipate serious health troubles , kung'oa jino Tu kwenye zile health clinics na hospitali ni mamilioni ya pesa.
 
Kuanzia Nyerere mpaka sasa ni unyonyaji na ufukarishaji.

Vyama vya Ushirika vimekufa, majirani zetu kenya wamejifunza kwetu ushirika, sasa hivi vyama vya ushirika ke vina nguvu kubwa sana kiuchumi.

Nyerere angeacha vikastawi tz tungekuwa wapi?
Idea ya vyama vya ushirika ilikuwa nzuri Ila baadaye Nyerere aliamua kupandikiza mamluki ili kuvidhoofisha na kuviua Kwa sababu alivihofia kuwa vinagain power na influence ,hii ilikuwa ni mistake kubwa Sana , ndio Maana mpaka leo wakulima Tz hii ni masikini wakubwa , miaka ya nyuma Kule Moshi chama cha ushirika cha Kahawa Kwa mfano kilitajirisha wakulima wengi , kulikuwa na viwanda na pesa za kutosha hata kusomesha baadhi ya watu walikuwa kuwa matajiri wakubwa nchi hii mfano Mengi , Yule kasimeshwa na chama cha ushirika cha Kahawa Maana akitokea familia duni
 
Ilikuwa biashara ya kutakatisha fedha kiharamu wengi walitumia kuua thamani ya tsh yetu.

Huwa hawaporwi bali hupelekwa mahakamani sheria ikachukue mkondo wake. Kiongozi yule inafahamika hakuwa muumini wa kufuata sheria, japo alitaka wengine wazifuate. Unaweza kumtetea kwa mahaba niue, lakini ukweli ni kuwa hakustahili kuwa kiongozi wa ngazi ya urais.
 
Et Laswai kadata khaa....kwel mkuu una roho ya kimaskini yaan huyu ambaye anaongeza hotel kila kukicha adate??? Juzi kati kashusha benz actros mpya kama 10 hiv za kubeba mizigo halaf adate???
Sasa unafikiri tajiri kila kitu anafanya yeye? Watoto wake ndoo wanafanya hizo mishe. Kushusha actros 10 hazihusiani na kuumwa kwake.
 
Sema ujamaa WA kisasa kama WA Kule Denmark ,Sweden ,Norway na Finland .Mi naona ule ndio unafaa Maana hata watu wanaishi hizi nchi tajiri za kibepari kama France na Germany wanatamani kuishi Kule Scandinavia ,lakini si ujamaa WA kizamani Ile WA akina Mao ,Stallin na Lenin ,Castro ule hapana .

Modern socialism kama ya Kule Scandinavia imelenga kutengeneza maisha mazuri Kwa raia WA kawaida pia kucreate opportunity ya mtu kutengeneza utajiri lakini bila kumkandamiza au kunyonya wengine . Haina Maana ya kuwa na utajiri WA matrilioni ili Hali unaishi katikati ya mamilioni ya watu masikini WA kutupwa na ombaomba , Huu ni ukosefu WA utu , ni utovu WA maadili ya kiutu .
Watu wengi wakiwa na maisha Bora ndio quality ya life itakuwepo , ndio Maana hizo nchi ni kawaida kabisa mtu kuwa milionea yet ni mfanyakazi WA kampuni husika ni kwasababu ya better payment na welfare system inayokuwa inforced na serikali za hizo nchi contrary na huku Africa ambapo unyonyaji Kwanza umerasimishwa na serikali ,kanjibai na mchina wanawatumikisha watu kama manamba ,mazingira mabovu ya kazi + malipo duni kabisa yasiyomwezesha mtu kuishi maisha Bora . Hili ni tatizo kubwa .
Sasa hizo nchi za Scandinavia hata crime rate ni ndogo Sana nearly zero mtu milionea lakini unaishi bila kuhofia kuvamiwa ,kukabwa au kudhurika ,Kwa sababu kila mtu anamaisha Bora hivyo hata uhalifu unakuwa Chini Sana .
Haya ndio maisha Bora sasa
Hiki ndio wanachohubiri majukwaani ila utekelezaji wake ni kinyume kabisa 😂😂😂 wakishakabidhiwa madaraka. Binafsi napendelea nchi yetu ingekuwa hivyo equity iwe kipaumbele.

Sio huku kwetu mtu anataka kuwa tajiri ili awafanye wenzie machawa. Yani hata kuwainua ukoo wake tu hawezi ila anaona sifa kunywesha bia watu akiwa Bar.

Naamini Tanzania tuna fursa kubwa sana ya kuweza kuishi kama Norway, Sweden au Denmark ila shida ni ubinafsi wa viongozi.
 
Hiki ndio wanachohubiri majukwaani ila utekelezaji wake ni kinyume kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] wakishakabidhiwa madaraka. Binafsi napendelea nchi yetu ingekuwa hivyo equity iwe kipaumbele.

Sio huku kwetu mtu anataka kuwa tajiri ili awafanye wenzie machawa. Yani hata kuwainua ukoo wake tu hawezi ila anaona sifa kunywesha bia watu akiwa Bar.

Naamini Tanzania tuna fursa kubwa sana ya kuweza kuishi kama Norway, Sweden au Denmark ila shida ni ubinafsi wa viongozi.
Ni kweli mkuu , watu ni mamchwa kila sehemu upigaji + ufisadi + unyonyaji basi ni vurugu tupu . Ila tungekuwa na discipline na commitment kitu ambacho ni nadra kwetu ngozi nyeusi tungeweza . Jitu linajilimbikizia Mali za wizi na unyonyaji as if halitakufa nchi zenyewe masikini hizi bado . Watu weusi kuna kitu hakiko Sawa jinsi tunavyofikiri .
 
Wao huo ndio wanauita ubepari yani, huo ni wizi na ufisadi wala sio utajiri wa kujivunia. Fisadi ni mtu alielaaniwa ndio maana huwezi kukuta kokote duniani mlafi anatoa msaada kwa watu wa hali ya chini.

Huu ni wasifu wa viongozi wengi wa siasa Africa. Na hata bongo wanaomkandia Nyerere sababu ni hii hii.
Kweli kabisa !! Wanadhani capitalism maana yake ni wizi na ufisadi na kila aina ya biashara chafu including Ngada !! Hao jamaa ni bure kabisa !!
 
Kweli kabisa !! Wanadhani capitalism maana yake ni wizi na ufisadi na kila aina ya biashara chafu including Ngada !! Hao jamaa ni bure kabisa !!
Yani bure kabisa, capitalism ilienda sawia na industrial revolution. Mtoa mada aseme anamiliki kiwanda gani ili kufaa kujiita tajiri au bepari?
 
Back
Top Bottom