Aisee 😔Pole itolewe kwa jamii yote maana hata wa kiume nao wapo hatarini.
Uzuri wakati tunawafumua marinda kwa kutumia vijisenti vyetu tunajiharibia wenyewe maana wajukuu zetu watalelewa na wafirwaji.
Au unadhani mwanao mkewe hatotinduliwa marinda?
Upo sahihi..hata mimi nilihisi hivyo.Kha! Hawana aibu hawa. Ila nilishajua ukiona hivyo ujue huyo mwanamke ana option nyingine alikuwa anajaribu kpata extra kutoka kwako pia.
Hahaha, Kwamba wenye nya ni wa wenzako tu wa kwako pameziba siyo?Ah wapi hawezi tinduliwa linda
🤣🤣 salute
Mkuu, Wote tupo kwenye chungu kimoja, mzunguko ni ule ule, network ni moja. Mchepuko wako anaweza kuwa na mwanaume ambaye mkewe anatembea na mwanaume anayetembea na binti yako. Unadhani ukimwi unasambaaje?Aisee 😔
Mkuu, ni sawa na kuuliza kabla ya kukata tiketi huu usafiri ulikuwa unampakiza nani? Abiria wapo tu. Labda wote wagome wawe kitu kimoja. Otherwise wewe utaacha mwenzako atakata.Swali la msingi: Je kabla ya kukutana na mwanaume, huyu mwanamke alikuwa ana-survive namna gani!?
Daah aisee unaweza kukuta demu wa mshikaji wako anatembea na serengeti boy wa bi mkubwa 😃 *****Mkuu, Wote tupo kwenye chungu kimoja, mzunguko ni ule ule, network ni moja. Mchepuko wako anaweza kuwa na mwanaume ambaye mkewe anatembea na mwanaume anayetembea na binti yako. Unadhani ukimwi unasambaaje?
Kama ndo hivyo mtu asiingie kwenye rileshenishipu akiwa na too much expectations 😃 maisha yaendelee ila ukipata wife material sehemu unajitoa kiaina tu!Mkuu, ni sawa na kuuliza kabla ya kukata tiketi huu usafiri ulikuwa unampakiza nani? Abiria wapo tu. Labda wote wagome wawe kitu kimoja. Otherwise wewe utaacha mwenzako atakata.
Hii uhakika kaka nimeibeba kama ilivyoK hata kama ukapiga kumi kwa siku ukiamka kesho yake una hesabu hasara tu. Hakunaga faida.
Wazee wengi wako Broke na wa aanza kulalama kutaka kulaani watoto wakati walitumia ujana wao vibaya.
Hata sijachangia kodi mkuu na huwa simpeleki lodge anakuja kwangu siku zote sema ndio vile matumizi yake ni mengoMshahara wa mtu miezi miwili huo,aisee wewe unapaswa ujitathmini.
Tanzania hii hakuna mwanamke wa kula laki nne ndani ya week mbili labda mama mzazi,au mzee ulichangia kodi nini?ukajua utapunguza gharama za lodge,ngoja siku uende umkute mwenzako kajifunga taulo sijui utapigana maana hata kwao sidhani kama wanakujua.
Mimi ndio nimemtema toka jana nimemchana tu ukweli kwamba sioni anachoniongezea kwenye maisha yangu. Hivyo afany mambo yake tuHiyo Pesa angemtumia Mama yake angebarikiwa sana. Ila haitapita miezi sita huyo demu anamtema bila kujali gharama alizompotezea
H
Ha ha ha , matajiri hawahesabu , anatoa tu hata kabla yakwenda dinner anakwambia hiyo ni yamaandalizi ya kutoka na mie, sasa hizi pesa zakudunduliza Kisha kumtoa mrembo dinner wapi na wapi!
Akili ndiyo inarudi sasaVile ukishakojoa tu ndio unaanza kuhesabu gharama za kumsafirisha toka Tabora hadi Arusha[emoji28][emoji28]
Alafu wee mkuu..Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!
Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Wanakuita we jamaa
Wapi mkuu!? Mbona sijatoa ushuhuda wowote?Alafu wee mkuu..
Si kule umetoa ushuhuda au sio wewe