Mkuu Jaboja mbona umekasirika hivyo?Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze
Verry sure blood kama mimi nimefocus na K ndani ya wiki mbili nimeshapoteza kama 400k aisee imenibidi wanawake wote nipige chini nikae nijitafakari upyaMwanaume yeyote anayeendeshwa na K uzee wake huwa unamjia vibaya sana.
K zinakula wallet si mchezo. Harafu wakati unagawa na kuwafumua hua huoni kama you are loosing. Umri ukishasonga ndio unagundua ulifanya ujinga.
Wewe Achana na kuhonga jiunge ligi ndogoVerry sure blood kama mimi nimefocus na K ndani ya wiki mbili nimeshapoteza kama 400k aisee imenibidi wanawake wote nipige chini nikae nijitafakari upya
K hata kama ukapiga kumi kwa siku ukiamka kesho yake una hesabu hasara tu. Hakunaga faida.Verry sure blood kama mimi nimefocus na K ndani ya wiki mbili nimeshapoteza kama 400k aisee imenibidi wanawake wote nipige chini nikae nijitafakari upya
Ikija kufika year 2030 vitoto vingi vya 2000sMaisha magumu sana mtaani jomba. Kodi, umeme, chakula, mavazi, maji, usafiri.
Yaani K zinapigwa mpaka zinataka kuchanika sasa.
Word✊🏿 pia POMBEK hata kama ukapiga kumi kwa siku ukiamka kesho yake una hesabu hasara tu. Hakunaga faida.
Wazee wengi wako Broke na wa aanza kulalama kutaka kulaani watoyo wakati walitumia ujana wao vibaya.
Vile ukishakojoa tu ndio unaanza kuhesabu gharama za kumsafirisha toka Tabora hadi Arusha😅😅Word✊🏿 pia POMBE
Kama mashimo ndio chanzo cha mapato lazima.Ikija kufika year 2030 vitoto vingi vya 2000s View attachment 3176879
🤣🤣🤣🤣🤣Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze
Fact -barikiwa Sana Mafundisho yako yanatujenga sana na kutupa ukumbusho imara kuhusu kesho yetuVile ukishakojoa tu ndio unaanza kuhesabu gharama za kumsafirisha toka Tabora hadi Arusha😅😅
ni watoto wenu nyie lakiniIkija kufika year 2030 vitoto vingi vya 2000s View attachment 3176879
Mshahara wa mtu miezi miwili huo,aisee wewe unapaswa ujitathmini.Verry sure blood kama mimi nimefocus na K ndani ya wiki mbili nimeshapoteza kama 400k aisee imenibidi wanawake wote nipige chini nikae nijitafakari upya
Ndio Braza utu uzima dawa. Nimejifunza by experience.Fact -barikiwa Sana Mafundisho yako yanatujenga sana na kutupa ukumbusho imara kuhusu kesho yetu
Hakika (Bush Dokta) wewe ni Hazina Kwa Taifa.
Huu Uzi bhn kila siku tunakutana na matukioSiku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli ya kufanya ndiyo aingie kwenye mahusiano. Atafute kazi ya kuingiza kipato kwanza.
View attachment 3176796
Maskini wengi hawajui kupenda, hisia zao zinaongozwa na njaa, tena njaa kali sana, njaa yake ikiisha ndiyo anagundua kuwa hajawahi kukupenda hata kidogo. Achana na matatizo hayo. Kimbia janga hilo. Tafuta mtu mwenye akili timamu, na sio mtoto ambaye anatembea kwa kunusa pesa za watu bila jitihada.
Hiyo Pesa angemtumia Mama yake angebarikiwa sana. Ila haitapita miezi sita huyo demu anamtema bila kujali gharama alizompotezeaMshahara wa mtu miezi miwili huo,aisee wewe unapaswa ujitathmini.
Tanzania hii hakuna mwanamke wa kula laki nne ndani ya week mbili labda mama mzazi,au mzee ulichangia kodi nini?ukajua utapunguza gharama za lodge.
Hakika,bahati mbaya vijana wengi hawalitambui hili.Hiyo Pesa angemtumia Mama yake angebarikiwa sana. Ila haitapita miezi sita huyo demu anamtema bila kujali gharama alizompotezea
Acheni kuomba mitoko nyinyi kwanza muone kama Kuna mtu anakuomba, ombaomba nyie mnaoanza kuomba mitoko, mwambie shida Yako hapo mnapokutana mpaka mkafahamiana acheni kurudisha wanawake nyuma na bajet za mitoko yenu, subir akiomba yeye mtoko atagharamikiaUshauri Murua kabisa...Madogo siku hizi ni Kama Manyumbu.
Mtu unaona apa Naibiwa ila umo tu.