Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!

Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
... halafu wanaagiza vinywaji kwa fujo na wakati mnaondoka eneo la tukio wamekumbatia bia za Kwenda kunywea nyumbani! 🤣
UMELIWAAAA!
😅
 
Vile hatujuani tu humu mngeona maajabu ya familia zao na dada zao walivyopauka alafu hapa anataka dinner na Hela hana eti mrembo jigharamikie mwenyewe matajiri wa wapi nyinyi? Nyinyi ni njaa Kali, huna kitu mwambie shida Yako hapo hapo acha mbwembwe.
au basi
 
Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli ya kufanya ndiyo aingie kwenye mahusiano. Atafute kazi ya kuingiza kipato kwanza.
View attachment 3176796

Maskini wengi hawajui kupenda, hisia zao zinaongozwa na njaa, tena njaa kali sana, njaa yake ikiisha ndiyo anagundua kuwa hajawahi kukupenda hata kidogo. Achana na matatizo hayo. Kimbia janga hilo. Tafuta mtu mwenye akili timamu, na sio mtoto ambaye anatembea kwa kunusa pesa za watu bila jitihada.
Utapigwa mawe lakini una hoja
 
Acheni kuomba mitoko nyinyi kwanza muone kama Kuna mtu anakuomba, ombaomba nyie mnaoanza kuomba mitoko, mwambie shida Yako hapo mnapokutana mpaka mkafahamiana acheni kurudisha wanawake nyuma na bajet za mitoko yenu, subir akiomba yeye mtoko atagharamikia
Una uhakika tunawaomba mitoko ili waje na marafiki zao na shida nyingine nyingi ambazi hazihusiani na mtoko.
Wee kichwani una Shida mahala sio bure nani kasema tunawaomba mitoko alafu tunataka mkija mjihudumie.
 
Akili finyu wewe mbona ndo wa kwanza kumuomba mtoko? Yeye akiomba maskini wewe ukiomba una akili we ndo maskini, mwanamke kama mwanaume hawezi kukuhudimia mkimbie,, hayo mambo kama huyawezi waachie wenyewe katafte pesa, umtie shombo sabuni manukato anunue mwenyewe, tafuta watoto wenzako mkacheze
Danga linginge hapa linatetea danga mwenzie
 
Aisee yan hawa wanawake sio,nowdays wanachoangalia wao ni pesa tu kwenye mahusiano..yeye binafsi hana anachokupa zaid ya tako na K ila yey atataka umnunulie simu,ulipe kodi sijui saloon yan usenge mtupu..hapo bado mkitoka out show nzima usimamie wew kuanzia chakula mpaka vinywaji,na vinywaji vyao ni Savannah,windhoek,disperado,heineken mara Four cousin wkat msela hapo unashushia konyagi ndogo...bado ukienda nae geto kumkaza umpe hela ya nauli...dah huu ni usenge jazband
 
Back
Top Bottom