Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Hummer siyo gari ya kifahari kihivyo, kama ukiweza kununua RAV2 unaweza pia kununua Hummer iliyotumika, na kuiwekea Mafuta siyo ishu unaweza kuitumia mara 2 kwa wiki!
Nisingeiona hii post yako ningeandika hivyo hivyo. Wanaoendesha landcruiser wanaendesha magari ghali kuliko hammer.
 
Sipendi watu wanaodadisi watu kwa maendeleo yao maana ni rahisi kudhuru wenzao
 
Screenshot_20180127-154019.png
 
Utajiri ni upi mkuu ???
UTAJIRI NI ASSETS UKITOA LIABILITIES.ASSET INAJUMLISHA CASH PIA.SASA MTU ANAPOENDESHA GARI AMBAYO HATA HUJUI NI YAKE NA PIA ANAWEZA KAKOPA HUWEZI KUDHIBITISHA UTAJIRI WAKE.
 
Habari yanu wakuu,
451e568b551fb912713d1d546e48f261.jpg

Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Masudi sio mtoto

halafu mkuu sioni mantiki ya huu uzi

JF is better than that
 
MIXOLOGIST,
Kwenye wivu huyo bwana aache kweli, lakini mambo ya wivu wenye jinsi..sex, sidhani kama ni sahihi.

Pamoja na kwamba ni msemo, lakini ni msemo wa kijinga sana huu...

Wakina mama pigrni like hapa, nawatetea mjue.
 
Wivu kivipi?
Tujue biashara yake, mbona yeye huuliza yasiyomuhusu.
Watu tunajua vizuri, sana huyu jamaa.
Tangu alipokuwa anakaa komakoma.
Tuwape Uhuru wa kuonge. Wanadhani wote mkoani. Juzi kati alitekwa, hajasema alitekwa na nani na walikuwa wanamdai nini wala hajasema aliwapa nini wakamuachia. Tutajua tu biashara yake.
 
masoud bi mjasiriamali na pesa zake no safi ova
 
....Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi. Kama Masoud kwako ni Mtoto Mdogo, Mkuu utakuwa Mtu mzima sana!
 
Back
Top Bottom