nyambari
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 355
- 171
Duh! Jamaa mkatili wewe?wewe una hammer ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Jamaa mkatili wewe?wewe una hammer ??
Za kazi gani wakati wenzako wanadownload mapesa kwenye forex wewe hutaki?Naomba namba zake
Masoud kipanya ni wa siku nyingi. Nimefanya kazi nae BTL 1994 so kama amefanya kazi miaka yote hiyo kwanini asiwe na pesa?
Nisingeiona hii post yako ningeandika hivyo hivyo. Wanaoendesha landcruiser wanaendesha magari ghali kuliko hammer.Hummer siyo gari ya kifahari kihivyo, kama ukiweza kununua RAV2 unaweza pia kununua Hummer iliyotumika, na kuiwekea Mafuta siyo ishu unaweza kuitumia mara 2 kwa wiki!
Kaanza kumsikia kwenye power breakfast.....anadhani kaanza maisha juzi....Masoud kipanya ni wa siku nyingi. Nimefanya kazi nae BTL 1994 so kama amefanya kazi miaka yote hiyo kwanini asiwe na pesa?
Mkuu, mimi nmekutukana? Acha kutuharibia Forum kwa matusi yako. Jinga sanaDon't spy my life.rubbish
UTAJIRI NI ASSETS UKITOA LIABILITIES.ASSET INAJUMLISHA CASH PIA.SASA MTU ANAPOENDESHA GARI AMBAYO HATA HUJUI NI YAKE NA PIA ANAWEZA KAKOPA HUWEZI KUDHIBITISHA UTAJIRI WAKE.Utajiri ni upi mkuu ???
Masudi sio mtotoHabari yanu wakuu,
![]()
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
yaani.....Kwa hiyo unapenda kumuona anatembea kwa miguu ili ufurahi?
Tuwape Uhuru wa kuonge. Wanadhani wote mkoani. Juzi kati alitekwa, hajasema alitekwa na nani na walikuwa wanamdai nini wala hajasema aliwapa nini wakamuachia. Tutajua tu biashara yake.Wivu kivipi?
Tujue biashara yake, mbona yeye huuliza yasiyomuhusu.
Watu tunajua vizuri, sana huyu jamaa.
Tangu alipokuwa anakaa komakoma.