Duuu, sasa fikiria 40% ni watu kama wewe, si ndio hakuna hope tena?🥲🥲Kwa bahati mbaya au nzuri kwa nchi yetu maamuzi ni yao ila kura ni zetu.
Sijawahi fanya siasa na sitokaa nifanye siasa. Sipo simba sipo Yanga ila ni Yanga.
Hope kwenye siasa? Maneno ya ahadi 100 utekelezaji ni mawili.Duuu, sasa fikiria 40% ni watu kama wewe, si ndio hakuna hope tena?🥲🥲
Ila ni sisi miongoni mwetu ndio tunafanya ujinga huu uendelee, ni kaka zetu, ni mama zetu, baba zetu na ndugu zetu, tunakwama wapi kuwaamsha wenzetu ili tuwe ukurasa mmoja?Hope kwenye siasa? Maneno ya ahadi 100 utekelezaji ni mawili.
Ni kweli MkuuSiasa ni maisha, kuanzia usajili wa vizazi Hadi usajili wa vifo, and EVERYTHING in BETWEEN Birth and Death. Kila kitu ni siasa 100%.
Siasa ni siasa tuIla ni sisi miongoni mwetu ndio tunafanya ujinga huu uendelee, ni kaka zetu, ni mama zetu, baba zetu na ndugu zetu, tunakwama wapi kuwaamsha wenzetu ili tuwe ukurasa mmoja?
Ukweli ni kwamba siasa inagusa kila kitu, kila kitu ambacho hakiendi sawa ni pesa yako ndio inahujumiwa... ila mpaka mtu atoke damu kabisa ndio anaona hapa kweli nimeguswa?!Changamoto kwetu ni kuwa hata ukifuatilia siasa utaona hakuna kinachobadilika 😂 so watu huamua tu kudeal na mambo yao binafsi, wao siasa haitawasumbua mpaka waguswe kweli, eg suala la umeme au maji ndio utaona watu wanamind, after that watu wanaendelea na mambo yao mengine
Ukimaanisha nini Mkuu?Siasa ni siasa tu
Mpaka tuje tufikie level za wenzetu sio leo, ila siasa ni siasa tu utofauti ni vyama.Ukimaanisha nini Mkuu?
Unachosema upo sahihi, lakin sasa mambo yanakuwa mengi kwenye hii nchi, majukumu ni mengi pia kwa raia,Ukweli ni kwamba siasa inagusa kila kitu, kila kitu ambacho hakiendi sawa ni pesa yako ndio inahujumiwa... ila mpaka mtu atoke damu kabisa ndio anaona hapa kweli nimeguswa?!
Lakini sisi ndio wanachama wa vyama hivyo, kwa hivyo unamaanisha sisi ndio tunakwamisha kufikiwa kwa level hizo?Mpaka tuje tufikie level za wenzetu sio leo, ila siasa ni siasa tu utofauti ni vyama.
Hii ndio nafasi ya sisi tunaotengeneza hayo material yanayoenda kutugeuka kuungana, anazingua imetoka hiyo, hapati nafasi nyingine katika maisha yake. Lakini sasa tunakosa huo umoja, tunagawanyika. Hapa unakubali kwamba sisi wenyewe ndio tatizo?Unachosema upo sahihi, lakin sasa mambo yanakuwa mengi kwenye hii nchi, majukumu ni mengi pia kwa raia,
Ukisema utumie muda mwingi kupambania siasa, wanasiasa wakishapata keki hawakukumbuki na wanakugeuka huku niny hamjapata Chochote,
Yanaweza tangazwa maandamano, mkaacha kazi mkaenda huko, mwisho viongozi wakaitwa, wakapewa bahasha, wakasema tusubiri mpaka mwakani,
Unapambana mtu awe mbunge kwa sababu anaonyesha ana potential, akifika kwenye ubunge anakuwa kama wale wale tu 😂😂 na hii ni kwa both, CCM na Upinzani,
Sasa hii trend watu wamekuja kuona kuwa hii nchi siasa ni ajira za watu, kujipeleka kwenye siasa ni kwenda kuwa mtaji wa watu, thus why wanakimbia
Mfua-Siasa🤔🤔funguka zaidi Mkuu nipate point yako kwa uzuriSiasa ndio inaongoza maisha yetu ila ukiwa mfua-siasa bc hilo ni tatizo
Sidhani, maamuzi ya wanachama kwenye mfumo mbovu hayana tija yeyote.Lakini sisi ndio wanachama wa vyama hivyo, kwa hivyo unamaanisha sisi ndio tunakwamisha kufikiwa kwa level hizo?
Nmesahihisha nilimaanisha mfia-siasa yani ni yule anayejali nafasi yake kwenye siasa kuliko maslahi ya nchiMfua-Siasa🤔🤔funguka zaidi Mkuu nipate point yako kwa uzuri