Tundu mmoja ni Sawa na Wananchi= jaza mwenyewe1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?
Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo.
2. Alipata muda gani wa kufanya research na kuandika?
Ikiwa muda mwingi wa mchana ulitumika mahakamani na alifika mahabusu usiku, ni muda gani halisi uliobaki kwa ajili ya kusoma, kufanya research, kuchambua hoja na kuandika submission?
3. Alipata muda gani wa kupumzika?
Submission yenye uchambuzi wa kina inahitaji muda wa kusoma na kufikiri. Ikiwa kazi hiyo ilifanyika zaidi wakati wa usiku, swali linabaki: alitumia muda gani kulala na kupumzika?
4. Siku nne zilitosha kwa kazi hiyo kwa mazingira hayo?
Si suala la kusema kwamba haiwezekani kuandika submission ndani ya siku nne. Inawezekana. Lakini mazingira ya mtu aliye nje ya ulinzi na mwenye kompyuta, internet, maktaba na muda wa kutosha ni tofauti na ya mtu anayehudhuria mahakamani siku nzima na kurejea mahabusu usiku.
5. Tofauti na upande wa serikali
Upande wa serikali ulikuwa na zaidi ya mawakili saba. Baadhi walionekana mahakamani huku wengine wakiwa nje wakifanya research na maandalizi. Hivyo, kazi inaweza kugawanywa kati ya watu kadhaa. Pamoja na rasilimali hizo, submission yao ilikuwa takribani kurasa tano tofauti na ya Lissu iliojikita ktk analysis.
Unamaana wakili Katuga sio mzoefu?Lissu ana mawakili wake wa utafiti mbona hata mahakamani huwa anafanya consultation nao mkuu.
Lakini pia kwa uwezo mkubwa wa IQ alionao Lissu baadhi ya case laws anazo cite alishazisoma muda mrefu maana ni mtu wa kujisomea sana kila mara.
Pia mawakili wake wanapompelekea kile walichokitafiti yeye huenda extra miles maana ukishakuwa mzoefu kwenye tasnia basi uwezo wa reasoning na kujenga legal arguments ni mkubwa.
Wewe unaweza kufanya hivyo?Nadhani alijibu hili swali kwa kusema kuwa anakesha kwa kazi hiyo ya kuandaa submission.
Yeye siyo LissuWewe unaweza kufanya hivyo?
Mimi najiuliza ilikuwaje mtu kasoma UDSM ila anatikisa hata waliosoma Havard?Mkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?!
MUNGU WAKE NI MKUU SANA!
Wananchi mbumbumbu milioni 60Tundu mmoja ni Sawa na Wananchi= jaza mwenyewe
Wa serikali wanaendesha kesi kisiasa hivyo hata walivyosoma vishawekwa pembeni ni kama tu mganga wa kienyeji anatibu maralia kwa uzoefu tuMimi najiuliza ilikuwaje mtu kasoma UDSM ila anatikisa hata waliosoma Havard?
Mbumbumbu labda wewe, kila mtu nauhitaji wake kwenye maisha,Wananchi mbumbumbu milioni 60
Watz wengi ni mbumbumbu kwenye masuala mengi hata ukataeMbumbumbu labda wewe, kila mtu nauhitaji wake kwenye maisha
Kuita mbumbumbu nikujiona ww Bora wakati nawe hakuna ulichobadili kiutendaji ila mdomo sasa ..Watz wengi ni mbumbumbu kwenye masuala mengi hata ukatae
Mbona unaumia kwenye hilo neno au unavaa kofia za kijani na matishirt yakeKuita mbumbumbu nikujiona ww Bora wakati nawe hakuna ulichobadili kiutendaji ila mdomo sasa ..
Unaweza kesha mahabusu,au ana special privilege?.. maana saa Tisa alasiri ni kulalaNadhani alijibu hili swali kwa kusema kuwa anakesha kwa kazi hiyo ya kuandaa submission.
Maisha niyangu naweza vaa chochote 😁Mbona unaumia kwenye hilo neno au unavaa kofia za kijani na matishirt yake
Jibu rahisi: hata hizi habari ya migomo stendi ya Magufuli na kupotea kwa Nchimbi anazipata wapi? Jela hawanaga ITV? Ni wale mabeberu utawaona mahakamani kila siku. Wana mtu wao katika wafungwa mmoja wao akishirikuana na mmoja timu ya Lissu iliyo ndani anamfanyia research kimya kimya na kumfeed kila asubuhi.1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?
Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo.
2. Alipata muda gani wa kufanya research na kuandika?
Ikiwa muda mwingi wa mchana ulitumika mahakamani na alifika mahabusu usiku, ni muda gani halisi uliobaki kwa ajili ya kusoma, kufanya research, kuchambua hoja na kuandika submission?
3. Alipata muda gani wa kupumzika?
Submission yenye uchambuzi wa kina inahitaji muda wa kusoma na kufikiri. Ikiwa kazi hiyo ilifanyika zaidi wakati wa usiku, swali linabaki: alitumia muda gani kulala na kupumzika?
4. Siku nne zilitosha kwa kazi hiyo kwa mazingira hayo?
Si suala la kusema kwamba haiwezekani kuandika submission ndani ya siku nne. Inawezekana. Lakini mazingira ya mtu aliye nje ya ulinzi na mwenye kompyuta, internet, maktaba na muda wa kutosha ni tofauti na ya mtu anayehudhuria mahakamani siku nzima na kurejea mahabusu usiku.
5. Tofauti na upande wa serikali
Upande wa serikali ulikuwa na zaidi ya mawakili saba. Baadhi walionekana mahakamani huku wengine wakiwa nje wakifanya research na maandalizi. Hivyo, kazi inaweza kugawanywa kati ya watu kadhaa. Pamoja na rasilimali hizo, submission yao ilikuwa takribani kurasa tano tofauti na ya Lissu iliojikita ktk analysis.
HahahhaWananchi mbumbumbu milioni 60
We jamaa Muongo, mahabusu wanaogelea magazetiJibu rahisi: hata hizi habari ya migomo stendi ya Magufuli na kupotea kwa Nchimbi anazipata wapi? Jela hawanaga ITV? Ni wale mabeberu utawaona mahakamani kila siku. Wana mtu wao katika wafungwa mmoja wao akishirikuana na mmoja timu ya Lissu iliyo ndani anamfanyia research kimya kimya na kumfeed kila asubuhi.