baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Unamaana wakili Katuga sio mzoefu?
Katunga sio mzoefu kwa Lissu kitu ambacho hujui Lissu ni wakili wa mahakama kuu zaidi ya miaka 30
Unamaana wakili Katuga sio mzoefu?
Amekuwa kwenye hiyo field miaka mingapi, anasoma kila siku ameshakuwa raisi wa tls mambo mengi ni yaleyale sio sawa na mtu asiye na idea na anachokifanya!
au anahisi wote hawampendi lisu?Jibu rahisi: hata hizi habari ya migomo stendi ya Magufuli na kupotea kwa Nchimbi anazipata wapi? Jela hawanaga ITV? Ni wale mabeberu utawaona mahakamani kila siku. Wana mtu wao katika wafungwa mmoja wao akishirikuana na mmoja timu ya Lissu iliyo ndani anamfanyia research kimya kimya na kumfeed kila asubuhi.
ujue hiyo kesi adhabu ni kifo, hivyo kukesha ili kukwepa hiyo adhabu hakukwepekiKwa mazingira ya Lissu nisingeweza, ila yeye kadai anakesha kwa kufanya hivyo.
jamaa anasoma vyote vile,dah mie napenda kusoma ila yale vitabu ni mengi ,makataba nzima ileAna mawakili wake wanaomfanyia utafiti lakini pia Lissu hiyo ni kazi yake..!!
Na mbona huulizi kuhusu vile vitabu anavyovibebelea anapohudhuria mahakamani?
Yeye ni sehemu ya taaluma yake, kama alivyomeza vifungu vya sheria na Katiba. Hata hivyo, vitabu kwake ni rahisi..!!jamaa anasoma vyote vile,dah mie napenda kusoma ila yale vitabu ni mengi ,makataba nzima ile
GPA ya 1.3 ile hakuna kitu mule umeme mdogo kama wanuUnamaana wakili Katuga sio mzoefu?
ni kweli ni taaluma yake kameza vingi, ila kusoma soma raha sana,Mungu amsimamieYeye ni sehemu ya taaluma yake, kama alivyomeza vifungu vya sheria na Katiba. Hata hivyo, vitabu kwake ni rahisi..!!
Kwa Lissu ndio nauona Ukuu wa Mungu.Mkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?!
MUNGU WAKE NI MKUU SANA!
Huenda hawajui wanajiropokea tu!Sure wanasahau Lissu ni wakili wa mahakama kuu zaidi ya miaka 30 experience hiyo sio mchezo
Mkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?!
MUNGU WAKE NI MKUU SANA!
Kweli kabisa mkuuujue hiyo kesi adhabu ni kifo, hivyo kukesha ili kukwepa hiyo adhabu hakukwepeki
Ipo hivyi Ukiwa unagushi kitu chochote kwa mtu makini na aliyemuelewa atakujua ndiomana hapo unaweza kuona mawakili wa serikali kama mazwazwa1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?
Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo.
2. Alipata muda gani wa kufanya research na kuandika?
Ikiwa muda mwingi wa mchana ulitumika mahakamani na alifika mahabusu usiku, ni muda gani halisi uliobaki kwa ajili ya kusoma, kufanya research, kuchambua hoja na kuandika submission?
3. Alipata muda gani wa kupumzika?
Submission yenye uchambuzi wa kina inahitaji muda wa kusoma na kufikiri. Ikiwa kazi hiyo ilifanyika zaidi wakati wa usiku, swali linabaki: alitumia muda gani kulala na kupumzika?
4. Siku nne zilitosha kwa kazi hiyo kwa mazingira hayo?
Si suala la kusema kwamba haiwezekani kuandika submission ndani ya siku nne. Inawezekana. Lakini mazingira ya mtu aliye nje ya ulinzi na mwenye kompyuta, internet, maktaba na muda wa kutosha ni tofauti na ya mtu anayehudhuria mahakamani siku nzima na kurejea mahabusu usiku.
5. Tofauti na upande wa serikali
Upande wa serikali ulikuwa na zaidi ya mawakili saba. Baadhi walionekana mahakamani huku wengine wakiwa nje wakifanya research na maandalizi. Hivyo, kazi inaweza kugawanywa kati ya watu kadhaa. Pamoja na rasilimali hizo, submission yao ilikuwa takribani kurasa tano tofauti na ya Lissu iliojikita ktk analysis.
Nometoa machoziMkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?!
MUNGU WAKE NI MKUU SANA!
1. Maswali yako yote haya jibu lake rahisi na Moja tu ni kuwa, kwa Wakili mzoefu kama Tundu Lissu pamoja na jopo lake la mawakili waliokuwa wakimsaidia huku nje kumpa updates ya mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea huku nje, hilo lisingeweza kuwa gumu kwa kiwango unachofikiri wewe...1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?