Rafiki yake wa miaka yote toka Ilboru Dr Rugemekeza Nshala we unamchukuliaje?Lissu ana mawakili wake wa utafiti mbona hata mahakamani huwa anafanya consultation nao mkuu.
Lakini pia kwa uwezo mkubwa wa IQ alionao Lissu baadhi ya case laws anazo cite alishazisoma muda mrefu maana ni mtu wa kujisomea sana kila mara.
Pia mawakili wake wanapompelekea kile walichokitafiti yeye huenda extra miles maana ukishakuwa mzoefu kwenye tasnia basi uwezo wa reasoning na kujenga legal arguments ni mkubwa.
Ni mbora wa kujisomea na utafiti, jambo Bora zaidi na kumbukumbu murua kabisa Isiyo na shaka, huyu utotoni nadhani hakulaga ugaliAmekuwa kwenye hiyo field miaka mingapi, anasoma kila siku ameshakuwa raisi wa tls mambo mengi ni yaleyale sio sawa na mtu asiye na idea na anachokifanya!
Alikula nini? Lissu ni mtu anayependa kufanya research zake miaka yote ni msomaji kuandika hiyo submission sio jambo geni kwake mpaka liwafikirishe hivi!Ni mbora wa kujisomea na utafiti, jambo Bora zaidi na kumbukumbu murua kabisa Isiyo na shaka, huyu utotoni nadhani hakulaga ugali
Kwa mazingira ya Lissu nisingeweza, ila yeye kadai anakesha kwa kufanya hivyo.Wewe unaweza kufanya hivyo?
Kweli kabisa. Kama aliweza kusalimika na zile risasi, submission ya page 1000 sio kitu kwake.Mkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?!
MUNGU WAKE NI MKUU SANA!
Sahihi mkuu.Rafiki yake wa miaka yote toka Ilboru Dr Rugemekeza Nshala we unamchukuliaje?
Ndugu nawashauri muwe na Marafiki Bora sio hawa wakunywa nao pombe Tu na kutongoza mademu
Lissu amezawadiwa Marafiki Bora kabisa kwenye maisha yake
Kila generation huwa Ina mtu exception. Lissu ni mmojawapo.Mimi najiuliza ilikuwaje mtu kasoma UDSM ila anatikisa hata waliosoma Havard?
Yeye ndio alisema, Tena mahakamani. Walitaka afupishe, ndipo akadai anakesha kwa ajili ya hiyo kazi atafupishaje?.Unaweza kesha mahabusu,au ana special privilege?.. maana saa Tisa alasiri ni kulala
Hapa umenena vema mkuu , kuna siku nilisoma CV ya huyo Nshala niliogopa mle shule imo na kapita vyuo bora duniani🙌🙌Rafiki yake wa miaka yote toka Ilboru Dr Rugemekeza Nshala we unamchukuliaje?
Ndugu nawashauri muwe na Marafiki Bora sio hawa wakunywa nao pombe Tu na kutongoza mademu
Lissu amezawadiwa Marafiki Bora kabisa kwenye maisha yake
Taarifa zonafika jela. Hata wale magereza ni kama wanakubali sana Lissu. Uliona siku Ile ya kesi wakati wa mapumziko wamemzunguka wanapiga stori za ushahidi? Sasa kama Lissu anapiga stori na askari magereza mahakamani Tena kuhusu namna ya kupangia maswali ya Katuga, watashindwa kumwelezea kinachoendelea nje?Jibu rahisi: hata hizi habari ya migomo stendi ya Magufuli na kupotea kwa Nchimbi anazipata wapi? Jela hawanaga ITV? Ni wale mabeberu utawaona mahakamani kila siku. Wana mtu wao katika wafungwa mmoja wao akishirikuana na mmoja timu ya Lissu iliyo ndani anamfanyia research kimya kimya na kumfeed kila asubuhi.
Shuleni nilisoma na jamaa ambae alikuwa na akili za ajabu sana, wakati wenzie tukikesha usiku mzima tumeloweka miguu kwenye mabeseni ya maji tunajisomea, mwanetu yeye ni analala tu, harafu mida ya saa 11 alfajiri anapitia pitia vitabu kama dk20-30 hivi. Kwenye mitihani ni mwendo wa kutunyoosha na namba yake Moja hiyo haina mpinzani.1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?
Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo.
2. Alipata muda gani wa kufanya research na kuandika?
Ikiwa muda mwingi wa mchana ulitumika mahakamani na alifika mahabusu usiku, ni muda gani halisi uliobaki kwa ajili ya kusoma, kufanya research, kuchambua hoja na kuandika submission?
3. Alipata muda gani wa kupumzika?
Submission yenye uchambuzi wa kina inahitaji muda wa kusoma na kufikiri. Ikiwa kazi hiyo ilifanyika zaidi wakati wa usiku, swali linabaki: alitumia muda gani kulala na kupumzika?
4. Siku nne zilitosha kwa kazi hiyo kwa mazingira hayo?
Si suala la kusema kwamba haiwezekani kuandika submission ndani ya siku nne. Inawezekana. Lakini mazingira ya mtu aliye nje ya ulinzi na mwenye kompyuta, internet, maktaba na muda wa kutosha ni tofauti na ya mtu anayehudhuria mahakamani siku nzima na kurejea mahabusu usiku.
5. Tofauti na upande wa serikali
Upande wa serikali ulikuwa na zaidi ya mawakili saba. Baadhi walionekana mahakamani huku wengine wakiwa nje wakifanya research na maandalizi. Hivyo, kazi inaweza kugawanywa kati ya watu kadhaa. Pamoja na rasilimali hizo, submission yao ilikuwa takribani kurasa tano tofauti na ya Lissu iliojikita ktk analysis.
Lissu ni mtafiti sana hata nje ya Sheria, kwenye siasa hotuba zake zimejaa facts za kitafiti.Ni mbora wa kujisomea na utafiti, jambo Bora zaidi na kumbukumbu murua kabisa Isiyo na shaka, huyu utotoni nadhani hakulaga ugali
Mbona unavyojibu ni kama vile wewe ndiye anayesemwa kuwa ni mbumbumbu?Kuita mbumbumbu nikujiona ww Bora wakati nawe hakuna ulichobadili kiutendaji ila mdomo sasa ..
Tundu mmoja = na vituga bukuTundu mmoja ni Sawa na Wananchi= jaza mwenyewe
Kina vituga waupanda mlima bila hata akiba ya maji kiu kimewachoma vibaya sanaAmekuwa kwenye hiyo field miaka mingapi, anasoma kila siku ameshakuwa raisi wa tls mambo mengi ni yaleyale sio sawa na mtu asiye na idea na anachokifanya!
Lazima iwaume!Kina vituga waupanda mlima bila hata akiba ya maji kiu kimewachoma vibaya sana
Kwakifupi Tundu Lissu ni smart zaidi ya Allah na kipenzichake marehemu Muhammad.1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?