Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

Rafiki yake wa miaka yote toka Ilboru Dr Rugemekeza Nshala we unamchukuliaje?

Ndugu nawashauri muwe na Marafiki Bora sio hawa wakunywa nao pombe Tu na kutongoza mademu

Lissu amezawadiwa Marafiki Bora kabisa kwenye maisha yake
 
Rafiki yake wa miaka yote toka Ilboru Dr Rugemekeza Nshala we unamchukuliaje?

Ndugu nawashauri muwe na Marafiki Bora sio hawa wakunywa nao pombe Tu na kutongoza mademu

Lissu amezawadiwa Marafiki Bora kabisa kwenye maisha yake
Hapa umenena vema mkuu , kuna siku nilisoma CV ya huyo Nshala niliogopa mle shule imo na kapita vyuo bora duniani🙌🙌
 
Taarifa zonafika jela. Hata wale magereza ni kama wanakubali sana Lissu. Uliona siku Ile ya kesi wakati wa mapumziko wamemzunguka wanapiga stori za ushahidi? Sasa kama Lissu anapiga stori na askari magereza mahakamani Tena kuhusu namna ya kupangia maswali ya Katuga, watashindwa kumwelezea kinachoendelea nje?
 
Shuleni nilisoma na jamaa ambae alikuwa na akili za ajabu sana, wakati wenzie tukikesha usiku mzima tumeloweka miguu kwenye mabeseni ya maji tunajisomea, mwanetu yeye ni analala tu, harafu mida ya saa 11 alfajiri anapitia pitia vitabu kama dk20-30 hivi. Kwenye mitihani ni mwendo wa kutunyoosha na namba yake Moja hiyo haina mpinzani.

Nachotaka kusema ni Nini???
Omba sana mungu akupe uwezo, ukiwa na uwezo Kila kitu kwako kinakuwa chepesi sana. Watu wasiokuwa na uwezo ndio Kila kitu wanakiona kigumu kwao.
Lissu anaakili na amepewa uwezo mkubwa sana ni bahati mbaya tu huku kwetu watu wenye uwezo wa kiakili malipo yao ni kama anavyotendewa jamaa.
 
Kwakifupi Tundu Lissu ni smart zaidi ya Allah na kipenzichake marehemu Muhammad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…