Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

au anahisi wote hawampendi lisu?
 
Wewe kilaza mleta uzi unauliza maswali ya kipumbavu sana na inaonyesha umeanza kufatilia hii kesi uliposikia ana kesi ya kujibu. Kama ungeifatilla hii kesi tokea mwanzo kipindi cha Yericko Nyerere anatoa ushahidi wake kwenye kibox Hadi Heche anamalizia kutoa ushahidi ungekuwa umeshajua anatumia njia gani kiufupi TAL alilijibu Hilo swali mahakamani mbele ya majaji kwa hiyo waambie mod wafute huu Uzi wako haraka sana kabla sijakasirika tena
 
Mkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?!

MUNGU WAKE NI MKUU SANA!

Thomas Sankara alipigwa risasi 15 akafa ...... Lissu alipigwa risasi 16 bado anadunda.

Lissu ni Mpango wa Mungu. Ila shetani naye yupo anajaribu kuzuia isitokee.
 
Sa Ipo hivyi Ukiwa unagushi kitu chochote kwa mtu makini na aliyemuelewa atakujua ndiomana hapo unaweza kuona mawakili wa serikali kama mazwazwa
 
Mkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?!

MUNGU WAKE NI MKUU SANA!
Nometoa machozi
 
Danieli 1:12-15
“¹² Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mboga za majani tule, na maji tunywe. ¹³ Kisha nyuso zetu zitazamwe mbele yako, na nyuso za wale vijana wanaokula chakula cha mfalme... ¹⁵ Hata mwisho wa zile siku kumi nyuso zao zilikuwa nzuri zaidi, na miili yao ilikuwa imenenepa (kunawiri) zaidi, kuliko wale vijana wote waliokula chakula cha mfalme.”

Aliye katika mazingira magumu ndio anajipata na matokeo bora kuliko aliye kwenye mazingira mazuri. Ndio kawaida ya MUNGU anayemsimamia Mh. LISSU
 
1. Maswali yako yote haya jibu lake rahisi na Moja tu ni kuwa, kwa Wakili mzoefu kama Tundu Lissu pamoja na jopo lake la mawakili waliokuwa wakimsaidia huku nje kumpa updates ya mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea huku nje, hilo lisingeweza kuwa gumu kwa kiwango unachofikiri wewe...

Yote yamewezekana na kufanyika kwa sababu hii👇
Zaburi 46:1 SUV
“Mungu Yahweh (kwake Tundu Lissu) ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.”​

2. By the way, Swali gumu na muhimu ulilopaswa kujiuliza ni hili: Huyu mtu aliyerushiwa risasi za AK47 na SMG karibu 40 na 16 zikiuchakaza mwili wake aliwezaje kupona na kuwa hai hadi leo wakati John P. Magufuli alikufa kwa pumu tu.!!??

Wote tuseme: MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU MAANA NJIA ZAKE ZA WOKOVU NI ZA AJABU NA HAZICHUNGUZIKI WALA KUELEZEKA KIRAHISI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…