Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

Imewagusa sana
 
Rafiki yake wa miaka yote toka Ilboru Dr Rugemekeza Nshala we unamchukuliaje?

Ndugu nawashauri muwe na Marafiki Bora sio hawa wakunywa nao pombe Tu na kutongoza mademu

Lissu amezawadiwa Marafiki Bora kabisa kwenye maisha yake
Wengine wamezawadiwa marafiki Vituga
 
Kutoka 7:3

β€œNami nitaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, nami nitazidisha ishara zangu na maajabu yangu katika nchi ya Misri
 
Allah sio mtume wala nabii ni tapeli kama Chivayo tu.
Nilikuwa namaanisha Muhammad (SAW).

Ndugu zangu Mungu ni mwenye rehema anasamehe. Kama tumekosa kwa kumkufuru hatujachelewa tumwendee tumuombe msamaha tubadili na mwenendo wetu.

Ujana na Upumbavu mara nyingi vinatukosesha bahati nzuri Bwana Mungu anaelewa hilo na yuko tayari kutusamehe. Mwanzo 8:21
 
Kwani kipindi hii kesi inaanza hukusikia mawkili zaidi ya elfu Moja na pointi wakiwemo maprofesa, madokta wa vyuo vikuu vya ndani na nje wapo nyuma eg. Prof. Safari,Dr nshara, etc
Ndiyo maana alisema final submission tu Ina kurasa zaidii ya elfu moja
 
Kabisaaa ila sio chuo cha kutisha kivile ila jamaa Mungu ameamua tu kumkirimia karama zake
Ndugu mdau, unamaanisha nini unaposema chuo alichosoma Tundu Lissu 'sio cha kutisha'? Takwimu za Chuo Kikuu cha Warwick (UK) zinapingana na kauli yako:
  • Mwaka 1996 (Lissu aliposoma): Warwick kilishika nafasi ya 5 nchini Uingereza kwenye The Times League Table, kikiwa nyuma ya vyuo kama Cambridge, Oxford, Imperial, na LSE pekee.
  • Nafasi ya Kitaifa sasa: Kimebaki kwenye Top 10 ya Uingereza kwa miaka mingi, kikishika nafasi ya 7 kwenye Complete University Guide 2027.
  • Nafasi ya Kimataifa sasa: Kipo kwenye Top 70 Duniani (nafasi ya 68 kwenye QS World University Rankings 2027).
  • Kwenye Sheria: Kitengo chake cha sheria (Law School) kipo kwenye Top 90 duniani kote.
Kuingia kwenye chuo cha daraja hili kunahitaji ufaulu mkubwa mno. Je, ulitumia vigezo gani kukipima hadi kuona sio chuo cha kutisha?
 
Nimekuelewa mkuu nisamehe sikuwa nimefanya utafiti
 
Hivi chadema unaichukulia poa? Nyuma ya lissu unajua wapo mawakili wangapi kwenye kesi hii, maswali ya kitoto kabisa
 
Ni mbora wa kujisomea na utafiti, jambo Bora zaidi na kumbukumbu murua kabisa Isiyo na shaka, huyu utotoni nadhani hakulaga ugali

Kwenye moja ya interview zake nimewahi kumsikia akisema anapenda Sana ugali na maziwa ya mtindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…