Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
- Thread starter
-
- #61
Nipatie mfano wa nchi moja ambayo wameipigania dhidi ya huo ambao unauita ukoloni wa wakoloni weusi ambao wameupigania na hilo Taifa sasa likawa sawa kiuchumi, utulivu wa kisiasa na n.k.Wakati wa ukoloni wa wazungu, wazungu wengine walipigania inchi makoloni zipewe uhuru. Hata sasa wanapigania inchi makoloni zipewe uhuru dhidi ya ukatili wa wakoloni weusi
Na hiyo misaada ni kiasi gani basi???? Shida watu hawafatilii nchi yao...Kabla hujasema misaada, umejiuliza wabekwapua rasilimali zetu kwa kiwango gani?
Hilo la mauaji mimi sio shuhuda. Ila wao wamewaua wangapi?Mnataka msiingiliwe jinsi mnavyonyima haki wananchi wenu? Yaani muwe huru kuua ndugu zenu kwa sababu mmeshika dola?
Ukila vya wanaume ujue kulipa piaIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Huo ni mtazamo wa mtu ambae aijui CCM.Acha kujilisha upepo mkubwa, sisiemu ingekua na succession plan isingekuwa inaokota wala kuchezea pesa za umma kununua wapinzani, mtu mwenye akili timamu asiengeweza kuchoma hata shilingi kumnunua mtu kama molele godi na kumpa kbs uwaziri!
Tukae hapo kwa utuo. Hakuna anayekupa kitu pasipo yeye kunufaika. 😁😁Na hiyo misaada ni kiasi gani basi???? Shida watu hawafatilii nchi yao...
Kama hukuenda shule ukasoma historia lipia hela ya tuitionNipatie mfano wa nchi moja ambayo wameipigania dhidi ya huo ambao unauita ukoloni wa wakoloni weusi ambao wameupigania na hilo Taifa sasa likawa sawa kiuchumi, utulivu wa kisiasa na n.k.
Huo ni mtazamo wa mtu ambae aijui CCM.
Kama ulisikiliza hotuba ya naibu waziri mkuu Biteko akiwa Arusha na kusema watu ni wale wale hiyo ndio:
Wengi wamefika walipo kupitia succesion planning.
Vita mbinuAcha kujilisha upepo mkubwa, sisiemu ingekua na succession plan isingekuwa inaokota wala kuchezea pesa za umma kununua wapinzani, mtu mwenye akili timamu asingeweza kuchoma hata shilingi kumnunua mtu kama molele godi na kumpa kbs uwaziri!
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa
Hii spill over ya mambo yetu ya ndani kwande huko duniani ni dalili za kushindwa kwa mifumo yetu ya ndani, dunia hii si yetu peke yetu na hatuishi shimoni.Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Sio succession plan tena? Am out..Vita mbinu
Akili kama zako hizi huwa ninashindwa kuzielewa kabisa.Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya
UkiIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Nimepata shida sana kukuelewa ndugu kutokana na:-Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Kwakifupi tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondokeSina uhakika halisi wa maana yako yote. Iła kwa uelewa rahisi bila ya mafumbo kama yapo nakubaliana na wewe.
Na wao ndio walianza kututapeli tokea wakati kupora mali zetu, alafu wao wanatupatia mawe ya kung'aa, nguo na vyatu kisha wanaondoka na mali zetu. Tuishi hivi, hakuna taifa ambalo linaweza likawa na uchungu dhidi ya Taifa lingine. Ukiona amekomaa sana tambua anahitaji kurudi kututawala hadi kifikra.Ukila vya wanaume ujue kulipa pia
Dr Nchimbi alisema vizuri sana mambo ya wanasiasa yaachiwe wana siasa vyombo vya dola vikae pembeni. NI BUSARA KUBWA WAKUSIKILIZE NCHIMBI. UKO SAHIHI.Raphael Wewe Ni mgeni kwenye Siasa?
Swali la Kwanza!
Hukusikia Mwenyekitu na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akisema Kuwa Chadema haitashiriki Uchaguzi? Amepita Akihojiwa Kwenye vyombo mbalimbali akifanya hivyo..
Swali la 2!
Unafahamu Kuhusu Mkataba wa Cotonou (Cotonou Agreement – 2000), .Universal Declaration of Human Rights (1948),International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR – 1966),EU Guidelines on Human Rights Dialogues (2001 )
Swali kwanini EU inaweza kujadili au kulaani bila kuwa "juu ya sheria"?
Kwa sababu nchi kama Tanzania zimeingia kwa hiari katika mikataba hiyo.
Mara tu nchi inapokubali mkataba, inawajibika kimataifa kuheshimu masharti yake.
Bunge la Ulaya linaweza kutumia majukwaa ya kisiasa kuonyesha msimamo wake – si kuingilia moja kwa moja, bali kutoa shinikizo la kidiplomasia au kuathiri misaada/ushirikiano...
Naomba Nilukumbushe Kwamba Unapokuwa Nchi wanachama wa Jumuiya Fulani au Mikataba fulani Huwa ina Mashart yake Na Inapaswa Kufuatwa Huwo huru pale unaposaini Miakaba Unakuwa Chini ya Vifungu na Sheria
Hayo maswali jibu lake ni moja tuIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Hakuna mtu alitabiri COVID 19 wala kifo cha raisi.Haya bana unayeijua sisiemu, kwamba walipanga jiwe awe rais na mama yao pia, then aliyekuwa kwenye succession plan mwenyewe alitamka hadharani kwamba alikua anajaribu wakamsokomozea! Utakua kijana mdogo sana naona au uvisisiemu anayejitafuta bado!
ccm ndio imewapa mamlaka bunge la ulaya tatizo ni ccm miaka yote 60 ya uhuru wanatembeza bakuli kuomba misaada huko ulaya ndio maana watu hawa wanaona wana haki ya kutufanyia kikao sisi watanzania tusioweza jitegemea, wakupe msaada utumie kutekea raia na kulipa wasanii wasikujadiliIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo: