Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
- Thread starter
-
- #101
Sawa princess, ungekuwa sio princess ningekujibu unavyotaka ila kwa kuwa wewe ni Princess tena initial name ni Subira, Basi kuwa na Subra.We kenge kweli, hujui nani ameizuia chadema kushiriki uchaguzi? Kilaza kabisa.
MUGABE angekuwepo ungemuuliza mambo yanavyokuwaga magumu na wazunguWazungu wenyewe wanajipendekeza Tanzania, hawana uwezo wa kutupangia lolote, kila rasilimali wanazotaka wanapata sasa unadhani watafanya nini?? Na huyo Lissu kama ana uwezo awape wanachotaka.Pumbaaf zao!
Usha wahi zungumzia misaada wanayo tupatia? anza na kuwaambia hao watu wako wakatae misaada kitoka Ulaya hapo watakuwa huruTunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.
Sasa wewe si ndio kilaza mwenyewe. Wewe dunia ulishaiona inafanya movement? Rekebisha kiswahili hicho.Unaonekana bado ni mtoto mdogo sana, au utakuwa ni kilaza usiye fahamu dunia inavyo kwenda.
Kumbe unajua hakuna misaada ya bure ila "umejizima data"!!?Ukitaka kujua hakuna misaada ya bure, mfuatilie Trump na Ukraine kwa sasa.
Tutake radhi mkuu, tunaovuta Bangi hatunaga upuuzi kama wa mleta madaMkiambiwa Bangi sio sigara ,mnabisha !!
Kwa hiyo, kwenye mkataba huo ndio unaelekeza Taifa moja kuliingilia Taifa lingine kwenye masuala yake ya ndani? Eem weka huo mkataba hapa tuusome mkuu.Kumbe unajua hakuna misaada ya bure ila "umejizima data"!!?
Nchi yako imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo ili iendelee kupokea misaada kutoka huko kwa hao unaowaita "wanakuingilia", inabidi ifanye kwa mujibu wa hiyo mikataba itakavyo.
Anayepanda ndege kwenda kwa Waingereza kuomba omba na yule anayeongea kuwa Waingereza wanatusaidia, nani ni ng'ombe!???Na wewe ukajifunza kabisa kuwa ili uonekane bora uanze kuwasujudia waingereza, wewe ni ng'ombe wa kwanza uliyesomeshwa.
Inaitwa kujizima Data kisha unasema mwenyewe HAKUNA NETWORK HAPA. 😳 !Hili kuchomoka ndani ya CCM kupitia you’ve got to be clever.
Vinginevyo CCM ina wapuuzi wengi wanaotafuta nafasi za uongozi.
Uwezi kuwa impress hao watu kwa kuandika mada za kijinga, ambayo majibu wanayo tayari.
Sina uhakika ndugu, mimi ni binadamu ambaye ni mtu. Chawa ni mdudu. Sasa kama unatafsiri hiyo basi wewe ndio utakua ndiye chawa mwenyewe.Tutake radhi mkuu, tunaovuta Bangi hatunaga upuuzi kama wa mleta mada
Huyo ni Chawa
Wa mama kivipi ?
Hapo awali nilifikiri nampa shule ya bure mtu mwenye uwezo wa kuelewa ninachoandika, ila baada ya kuona zaidi ya mara moja unaandika "eem", nimejiridhisha pasi na shaka kuwa hapa natoa elimu kwa " kichwa chenye kazi ya kubeba masikio, macho, pua, mdomo na nywele tuu".Kwa hiyo, kwenye mkataba huo ndio unaelekeza Taifa moja kuliingilia Taifa lingine kwenye masuala yake ya ndani? Eem weka huo mkataba hapa tuusome mkuu.
You are not serious. Kwenye estimate budget ya 57 Trillion, grants ni 1.2 trillion. Wekezeni kwenye kuijua nchi yenu unless mtaonekana mko misplacedWanakuchangia budget karibu 40pc hata uchaguzi uchwara wanawasaidia NEC.
Huyu kilaza ameanzisha mada ambayo inamzidi kimo cha akili. Nilimuuliza kuwa tunaambiwa na Rais kuwa tunakopa kwa masharti nafuu, ameshaona huo unafuu wa hayo masharti kakimbia hakujibu. Ukweli hawa watu wanayo haki ya kuhoji kama anavyosikika huyu Mbunge mmoja hapaUnaonekana bado ni mtoto mdogo sana, au utakuwa ni kilaza usiye fahamu dunia inavyo kwenda.
Wewe kuna mahala nimekwambia unipe elimu? Kuna wakati vijana tuache kujipa umuhimu usio wa maana.Hapo awali nilifikiri nampa shule ya bure mtu mwenye uwezo wa kuelewa ninachoandika, ila baada ya kuona zaidi ya mara moja unaandika "eem", nimejiridhisha pasi na shaka kuwa hapa natoa elimu kwa " kichwa chenye kazi ya kubeba masikio, macho, pua, mdomo na nywele tuu".
Kwaheri.
Swali lipi nimelikimbia Kilaza.Huyu kilaza ameanzisha mada ambayo inamzidi kimo cha akili. Nilimuuliza kuwa tunaambiwa na Rais kuwa tunakopa kwa masharti nafuu, ameshaona huo unafuu wa hayo masharti kakimbia hakujibu. Ukweli hawa watu wanayo haki ya kuhoji kama anavyosikika huyu Mbunge mmoja hapa