oIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Hivi kukopeshwa si mpaka mkopeshaji akubali?Si usome budget estimates za mwaka huu??? Utaiona hiyo aiseee?????? Dunia inaondoka kwenye misaada sasa kwenda kwenye loans... misaada ni pesa kidogo sana
Na wao ndio walianza kututapeli tokea wakati kupora mali zetu, alafu wao wanatupatia mawe ya kung'aa, nguo na vyatu kisha wanaondoka na mali zetu. Tuishi hivi, hakuna taifa ambalo linaweza likawa na uchungu dhidi ya Taifa lingine. Ukiona amekomaa sana tambua anahitaji kurudi kututawala hadi kifikra.
Waandikie kwa kizungu, hiyo lugha ya kichawa hawaielewiIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Una Uhuru gani wewe hapa BONGO? Hivi unafikiri UHURU ni GWARIDE siku ya TISA DISEMBA pale Uwanja wa Taifa?....Tunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.
Hujui kitu kuhusu Bunge la Ulaya wala mfumo mzima wa EU ambayo ndiyo mshirika mkuu wa maendeleo kwa Tanzania. Kasome.Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Bunge la ulaya halina lolote, Rwanda tu yenyewe wameishindwa, sembuse Tanzania!! Kila mtu ashinde mechi zake!
Ulivo taburalasa hujui hata kama eu ishajadili sana na kuipa msaada ukraine kwenye vita na urusi, ishajadili sana vita ya Israel na wapalestina sasa kama hivi vitu hujui vishafanyika unaonekana ni kilaza wa aina ganiIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Kama kuna UHURU Jiulize kwa nini Mama yako Hakutoa Pole Kifo cha Profesa Sarungi....Jiulize pia Kwa nini hakutoa pole kwa baada ya Fr. Kitima kupigwa.......Hadi hapa wewe kuandika ni uhuru gani umekubana mkuu, kila mmoja anao uhuru wa kufikiri tofauti hapa Tanzania, isipokua matusi, dhihaka dhidi ya wengine n.k.
Kwani mkopeshaji wa hii mikopo ni Nchi???? Mingi inatoka IMF, World Bank na kwa sasa Mingi tunakopa AfDB, lakini kuna domestic loans pia.... kanuni muhimu zaidi kwenye kukopa ni ability to repay.....zingine stories tuHivi kukopeshwa si mpaka mkopeshaji akubali?
Nenda wewe leo bamk kakope millioni 100 tu kama unadhani kukopeshwa hakuna conditions zake.
ndo hivo huyu tunyonge haraka tupunguze keleleTangu lini misaada ikawa biashara kwa waafrika wewe? Use your head. Mikataba mlishasaini, mtaendelea kuwa watumwa wa hiyo misaada.
Ona huyu mjinga unafananisha rwanda na tanzania? Mkibanwa sehemu uwa mnakuja na mifano ya kipumbavupumbavu tuBunge la ulaya halina lolote, Rwanda tu yenyewe wameishindwa, sembuse Tanzania!! Kila mtu ashinde mechi zake!
Majibu yako haya hapa chini, point by point:Ukiweka uchawa pembeni ukajipa muda kufikiria hata wewe utawaelewa tu bunge la ulaya
Kama unategemea michango ya kibajeti ni tofauti gani hapo na kutawaliwa!? Au una maanisha kukaliwa kinabalu?Tunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.