mfano wa nchi gani uliyotembelea ambayo kuna system uliyoi refer?. Mimi najua mfano, wanaokwenda Mtwara /Lindi watakuwa na stend yao huko, siyo lazima aje Mbezi, kunakuwa na shuttle buses kutoka Mbezi kuja Mbagala na kupanda mabasi ya Mtwara/Lindi.................. something of that nature
Hizo bus unazozungumzia zinazopeleka watu kituo kikuu cha mabasi si daladala zipo?
Au hao watu wanatoka mbagala kwa miguu?
Ninachofahamu mm ni kwamba,,
Hata kama stand itahama lakini ofisi zinaweza kubaki huko huko mbagala.
Na watu wa mbagala hawana ulazima wa kuja mbezi kulifata gari.
Wakate ticket huko na kusubiri gari ofisini kwao.
Mfano south Africa.
Joberg ndy mwanzo wa mabasi yote yanapoanzia.
Halafu kuna ofisi ktk vitongoji vidogo vidogo ambavyo basi hupita pale kuchukuwa abiria.
Busi litatoka joberg linakwenda Zimbabwe,, au Lusaka,, litaingia sehem maalum kuchukuwa abiria wa njiani,,
sio lazima ufike joberg kifata ticket.
So hakuna ulazima wewe ukatoka mbagala ukaja mbezi kupanda magari ya mtwara.
Baki mbagala,,basi litakufata on the way to mtwara..
Labda uwe wewe ni mpiga debe wa abiria,
Hapo itakula kwako,,lazima uende mbezi.
Hivi umewahi kujiuliza mtu wa Kibaha/mlandizi anapataje usafiri wa mtwara?
Na yeye akitaka asogezewe stand ya mtwara si itakuwa ni vurugu?
Mimi nadhani watu wengi sio waelewa hilo ndy tatizo..