Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sijakupata hivi, kwani Stand ilipokuwa Ubungo, wakazi wa maeneo mengine walikuwa wanafanyaje?Ndio ujinga mkubwa wanaofanyiwa watu. You incur double expenses maana kama una mizigo mikubwa unajuta! Ndiyo hiyo inakuja Mbezi na foleni hizi. Unashuka Mbezi, unakwendaje Kimara na foleni hizi za Dar na mizigo! Wameweka utaratibu gani wa shuttle buses kutoka Mbezi kwenda sehemu zingine za Jiji, say Mbezi Mbagala, Temeke, Kigamboni, Mwenge etc etc etc. Ilibidi kuwe na connection za city shuttle buses to various destinations in Dar!
Watu wa Dar wavivu kufikiria, tatizo viepeMleta mada kasema zingine zote zinakufa hapo ndipo ugomvi wetu ulipo kuwa si sahihi hilo
Kuna tangazo linasema safari zote zote, zitaanzia stend mpya MAGUFULI. Tangazo linazidi kusema Mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi.
Sasa swali:
1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend zote za Temeke etc zimefutwa
2. Anayekwenda Tanga/Moshi/Arusha na yuko Tegeta aje Mbezi if not so, mabasi yaliyokuwa yanapitia Bagamoyo niliyoyataja hapo juu , mtu wa Tegeta atayapandia wapi? aje Mbezi?
3. Mabasi ya Tanga/Moshi/Arusha kupitia Bagamoyo yatachukua njia gani kukusanya watu wa Mwenge, Tegeta, Bunju then na kuendelea na safari ya kwenda Mikoa hiyo via Bagamoyo? Au wa Mwenge aje Mbezi? Wa Bunju? AU MABASI YATATOKA MBEZI NA KUJA NA MOROGORO ROAD, UBUNGO, MWENGE NA KUINGIA BAGAMOYO ROAD?
Msaada tafadhali wa maswali hayo.
Huu ujinga upo Tanga,
Mnashushwa Kange, mnapandishwa daladala had mjini, Bus linaenda tupu mjini. Na vice versa
Halafu mizigo mtachukua mjini.
Nadhani ni mikwara tu hiyo, soon utaratibu utaendele kama kawaidaKuna tatizo hapo imagine unashuka saa sita usiku na daladala hakuna na una mizigo mingi mikubwa!!!
Wenye mabasi kushusha ofisi zao ilikuwa ni huduma nzuri ya kumsaidia abiria
Kinachotakiwa kitamkwe ni kuwa basi zote zipitie stendi kuu kuanzia safari au kumaliza safari ziwe na abiria au la lazima zipitie ila kusema marufuku kuwa na abiria haliko sawa
Pili kuua hivyo vituo vingine vilivyokuwepo ni kuua ajira za mamia ya watu waliokuwa wakipata riziki zao kupitia hizo stendi ndogo kuanzia maduka teksi bodaboda bajaj wabeba mizigo mama lishe nk zingeachwa tu kama sehemu ya Transit kama ilivyo ndege tu kuwa stendi kuu ubungo stendi ndogo temeke Au mbagala au tegeta au kariakoo au ofisi juu ya basi nk ili kuondoa usumbufu kwa abiria .Sipati picha mtu anaishi mbagala anaenda mtwara aende mbezi kupandia gari kule wakati mfano mwenye gari ana ofisi kuu hapo hapo mbagala na basi linaanzia hapo kwenda mbezi kubeba abiria!!!!
Chukulia mfano basi zima wamekata tiketi watani zangu wamakonde wanaoishi mbagala wanaenda kwao basi linaanzia hapo hapo mbagala ofisi kuu ya basi .Kwa hiyo hao makonde wanatakiwa wapande daladala kwenda mbezi na hilo basi liende tupu hadi mbezi lipakie hao makonde kwenda nao mtwara!!! ni kituko badi watakalopanda liko mbeke yao tupu na wao wako kwenye daladala kwenda mbezi
Haya maamuzi mengine hayako sahihi
Hili la Bagamoyo road nimeliwaza sana,
Mimi hua nachukua mizigo k.koo naipeleka mwenge, basi inakuja inabeba..
Sasa najaribu kuwaza kama hakutakua na basi inafika mwenge hili litakua ni pigo kwanguu,
Either kukodi cary mpk mbezi au nihamie kwenye transist za mafuso zinazoondoka usiku.
Nadhani umeelewa vibaya, Tangazo halimaanishi kwamba gari ikitoka Mbezi kuelekea Mtwara hairuhusiwi kupakia abiria Mbagala la hashaaa,bali ni lazima starting point iwe ni Mbezi, na sio Mbagala.Tangazo linasema stend za Temeke , Mbagala zinakufa hakuna kupakia..... Ofisi ni kukata tiketi tu na siyo kupakia. majaribu kuliweka Tangazo, kesho nitaliweka
Malalamiko yako hayana msingi, wakati ule stand ziko kisutu na mnazi mmoja zilipohamia ubungo nako kulikuwepo na malalamiko kama haya.Ndio ujinga mkubwa wanaofanyiwa watu. You incur double expenses maana kama una mizigo mikubwa unajuta! Ndiyo hiyo inakuja Mbezi na foleni hizi. Unashuka Mbezi, unakwendaje Kimara na foleni hizi za Dar na mizigo! Wameweka utaratibu gani wa shuttle buses kutoka Mbezi kwenda sehemu zingine za Jiji, say Mbezi Mbagala, Temeke, Kigamboni, Mwenge etc etc etc. Ilibidi kuwe na connection za city shuttle buses to various destinations in Dar!
Huyo dreva atakuwa ni mwehu, hivyo vituo ulivyovitaja vinakuwa vya kawaida tu na wanashusha na kupakia kama daladala zinavyofanya.Sipati picha basi limetoka mtwara mtu anashuka mbagala mwenye basi akifika mbagaka anaongeza mwendo anasema hakuna kushuka hapa lazima nikawashushe mbezi !l
Au basi limetoka Moshi au Arusha watu wanashuka Tegeta dereva anaongeza moto kuwa hakuna kushuka lazima nikawsdhushe mbezi maruhuni nyie hashishwi mtu hapa!!! Haturuhusiwi tumeambiwa lazima tuwashushe mbezi
Sipati picha kitakachomkuta dereva!!!!
Hata IringaHuu ujinga upo Tanga,
Mnashushwa Kange, mnapandishwa daladala had mjini, Bus linaenda tupu mjini. Na vice versa
Halafu mizigo mtachukua mjini.
Kijana kwanza una umri gani? Huwezi linganisha Dar es salaam ya wakati ule in terms of idadi ya watu na mazingira, hali ya wakati ule, areawise, etc na sasa. Mazingira ya sasa hayaruhusu kuwa na stend moj for over six million people..... miaka ya 70s and 80sMalalamiko yako hayana msingi, wakati ule stand ziko kisutu na mnazi mmoja zilipohamia ubungo nako kulikuwepo na malalamiko kama haya.
Ulikuwa unapakilia na kushuka unapotaka. Sasa hii imekatazwa, stend say za Mbagala, Temeke zimekatazwa kupakia na kushusha na ofisi za makampuni ni kukata tiketi tu na siyo kupakia abiriaKama sijakupata hivi, kwani Stand ilipokuwa Ubungo, wakazi wa maeneo mengine walikuwa wanafanyaje?
Naona hujamuelewa uliyemquote, msome tena taratibu.Mbagala si watapandia mbagala. Ila magari yataanzia mbezi then watapita temeke mpaka mbagala then kimoja to mtwara.
The same to route ya moshi. Wanaanzia mbezi wanaikamata ubungo mwenge tegeta bunju bagamoyo then boom