Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Hii kweli Jf intelligence hayo maswali kama mafumbo...

Ok kwa kurahisisha tu ni kwamba kila mtume alitumwa kwa watu wake wa eneo hilo.. Ushaelewa mkuu...au bado unataka wakina eistein waje..
 
hivi wadau pamoja na shule nyingi za kata kuchipua kila mahali, internet za simu n.k bado English ya kusoma ni tatizo hivi?
dah sikutegemea
Haaaaa ww wasema, iv unajua jins tunavyomezeshwa shule za kata..tunameza majibu tu
 
Hii kweli Jf intelligence hayo maswali kama mafumbo...

Ok kwa kurahisisha tu ni kwamba kila mtume alitumwa kwa watu wake wa eneo hilo.. Ushaelewa mkuu...au bado unataka wakina eistein waje..
sijaelewa
 
Hii kweli Jf intelligence hayo maswali kama mafumbo...

Ok kwa kurahisisha tu ni kwamba kila mtume alitumwa kwa watu wake wa eneo hilo.. Ushaelewa mkuu...au bado unataka wakina eistein waje..

Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa hata Yesu alikuja kwa ajili ya wana wa Israel tu? na hata walivyoandika kuwa amekuja kuukomboa ulimwengu wana maanisha amekuja kukomboa Israel tu??
Najaribu kuwaza.............
 
Hamna kitu km iko,Qur'an imeelezea kwa ufasaha kisa cha nabii Lu't
 
Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa hata Yesu alikuja kwa ajili ya wana wa Israel tu? na hata walivyoandika kuwa amekuja kuukomboa ulimwengu wana maanisha amekuja kukomboa Israel tu??
Najaribu kuwaza.............

Yesu ndio alikuja kwa wana waisrael tu, ila na yeye mwenyewe alikubari ilo, na akabashiri mtume atakae kuja kwa ulimwengu wote, yohana 14:16 had 17
 
Jamani nmeona ni share hii link mkasome wamelezea kuhusu nuhu na watoto wake watatu na kisa cha ham kulaniwa na baba yake nmejarbu kusoma nkakuta inasema baadh ya wanachuon Wa bible walivyo chambua wana sema ham almsodomiz baba yke baada yakulewa. Samahani mi mwenyew halija nvutia hil jambo ila ndo mafundisho tunayoambiwa tuyafate na walimu wetu Wa kibibilia

The Three Families of Man | Genesis 9:18-28 | RayStedman.org
 
Hizi zote ni riwaya tu, hazina uhalisia, msiuane bure.
 
Ukiamini MUngu aliymba hii dunia then hutakuwa na maswali kuwa ilikuwaje kipindi hiko.
Je una uhakika kipindi cha nuhu mabara haya yalikuwepo?? Au ilikuwa ni Moja tu
Huu ndio ujinga ninaoukataaga Mimi, kila kitu ukihoji unatishiwa kuamini tu hata visivyowezekana.
 
Stories tu hizo. Mbona hamshiki nyoka na kunywa sumu, kutembea juu ya maji leo? Au imani imekwisha!
 
Naskia kwenye gharika kulikuwa na survivors ndio hao nephilims soma Hesabu 13:33
 
Attachments

  • FB_20160313_17_09_23_Saved_Picture.jpg
    15.3 KB · Views: 51
Yesu ndio alikuja kwa wana waisrael tu, ila na yeye mwenyewe alikubari ilo, na akabashiri mtume atakae kuja kwa ulimwengu wote, yohana 14:16 had 17
Atakuja mtume mwingine???
Kumbe Yesu si mtume wa dunia nzima? kama ndivyo sisi waafrika mtume wetu ni nani????............naendelea kujifunza.........
 
Atakuja mtume mwingine???
Kumbe Yesu si mtume wa dunia nzima? kama ndivyo sisi waafrika mtume wetu ni nani????............naendelea kujifunza.........

Aliembashiria kuja alishakuja, ni MUHAMMAD (S.A.W) Mtume wa ulimwengu wote,na alikuja na kitabu cha ulimwengu wote kisicho na Shaka ndani yake,na ni mtume wa mwisho,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…