Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa ww wasema, iv unajua jins tunavyomezeshwa shule za kata..tunameza majibu tuhivi wadau pamoja na shule nyingi za kata kuchipua kila mahali, internet za simu n.k bado English ya kusoma ni tatizo hivi?
dah sikutegemea
Hii kweli Jf intelligence hayo maswali kama mafumbo...
Ok kwa kurahisisha tu ni kwamba kila mtume alitumwa kwa watu wake wa eneo hilo.. Ushaelewa mkuu...au bado unataka wakina eistein waje..
sijaelewa
Umekosea kidogo mkuu,huyo alikua LUTU NA SIO NUHU.JAPO KUA HATA HADITHI ZAO NI KAMA ZA KUTUNGA VILEEEEE
Hamna kitu km iko,Qur'an imeelezea kwa ufasaha kisa cha nabii Lu'tnilijichanganya,aliyelala na watoto wake ni lutu yule jamaa wa sodoma na gomora,eti wanamsema alikua mtu wa mungu hadi akaponyeshwa yeye na family yake kabla mkewe hajageuzwa nguzo ya chumvi,alibaki na mabinti zake wawili akawapa mimba.
Kabla ya hapo alikuwa amewatoa mabinti zake wabakwe na vijana wahuni wa sodoma na gomora
Tena imeeleza kwa ufasaha,na kisa chote cha nabii LutMajibu yote kuhusu nuhu hutoweza kutapatapa ila kwenye kitabu kimoja tu nayo Qur-an ambayo haina shaka
Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa hata Yesu alikuja kwa ajili ya wana wa Israel tu? na hata walivyoandika kuwa amekuja kuukomboa ulimwengu wana maanisha amekuja kukomboa Israel tu??
Najaribu kuwaza.............
Hizi zote ni riwaya tu, hazina uhalisia, msiuane bure.Genesis6:19 You are to bring into the ark two of all living creatures, male and female, to keep them alive with you.
In Genesis posits that Noah gathered "kinds" of animals and not all "species," an estimated 16,000 pairs, which raises a few animal-related questions:
1.What about specialized diets (bamboo for the giant panda, meat for the carnivores, fresh vegetation for the herbivores)?
2.Who cleaned each stall and shoveled the tons of daily excrement through the huge ark’s single window?
3.How did they separate the predator and prey animals? Did the lion lay with the lamb?
4.How do you explain the acquisition and loading of animals not indigenous to the Middle East (many separated by oceans), like the polar bear, the sloth, the crocodile, the fruit bat, the anaconda, etc?
5.And how did the penguins and other cold-climate creatures survive in the blistering desert heat?
6.Wouldn’t freshwater rains from the sky have made the saltwater deadly to ocean marine life?
7.And wouldn’t saltwater have proven equally toxic to all freshwater fish?
Huu ndio ujinga ninaoukataaga Mimi, kila kitu ukihoji unatishiwa kuamini tu hata visivyowezekana.Ukiamini MUngu aliymba hii dunia then hutakuwa na maswali kuwa ilikuwaje kipindi hiko.
Je una uhakika kipindi cha nuhu mabara haya yalikuwepo?? Au ilikuwa ni Moja tu
Stories tu hizo. Mbona hamshiki nyoka na kunywa sumu, kutembea juu ya maji leo? Au imani imekwisha!Ukisoma kuna watu waliwekwa kwenye tanuru la moto na hawakuungua..
Kakae wewe tuwashe moto tuone..
'Alitenga maji na anga kisha akatenga maji na maji'
sasa kumuweka simba na kondoo pamoja anashindwaje???
excretion???? kama aliwafunga matumbo je..
Heri yao waaminio kama mtoto mdogo maana ufalme wa mungu ni wao..
ujitahidi kusali kabla ya kusoma bible ili uweze kufunuliwa uyasomayo
Atakuja mtume mwingine???Yesu ndio alikuja kwa wana waisrael tu, ila na yeye mwenyewe alikubari ilo, na akabashiri mtume atakae kuja kwa ulimwengu wote, yohana 14:16 had 17
Atakuja mtume mwingine???
Kumbe Yesu si mtume wa dunia nzima? kama ndivyo sisi waafrika mtume wetu ni nani????............naendelea kujifunza.........
Dini ni kwa ajili ya akili ndogo.MKUU MASWALI MAGUMU MNO,NDO MAANA WANAPITA TUU HAPA BILA KUTOA COMMENT.
alileweshwa na bintizeeeeeeLutt alifanyaje,