Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Bado ninatofautiana nawe kabisa mkuu 'Benjamin'.
Mimi ninaamini kabisa kwa dhati ya moyo wangu, kwamba haya matakataka tunayoyaona na kuyafanya kuwa ndiyo kawaida ya maisha yetu, inawezekana kabisa kuyapunguza sana (hata kama si kuyamaliza kabisa).

Ni swala la kupata viongozi sahihi tu wenye dhamira ya dhati kufanya hivyo.

Michina ni mijitu mizi sana ile. Nchi ile inao watu bilioni na zaidi..., huko kwao hawafanyi mambo kama unayoyaeleza hapo juu. Hawa watu wanapokuja hapa, wanatabia za kutaka kukwapuakwapua kila kitu, kama meno ya tembo, n.k..
Hata inafikia kwenye baadhi ya nchi, wachina wenyewe wamejiwekea polisi wao na jela zao, ili kuwadhibiti mijizi yao.

Hizo nchi za huko Mashariki ya mbali, tunakoambiwa uchumi wao unaenda vizuri, na kupata maendeleo ya haraka.
Usidhani hata mara moja kwamba hawana mijizi huko, hata kwenye serikali zao, lakini wamejiwekea taratibu za kuwabana hawa washenzi.
Hapa kwetu, CCM yenyewe ndiyo inayorutubisha yote hayo uliyoyaeleza kwenye andiko lako hapo juu.
Kwa hiyo, waTanzania wanajua kabisa wapi pa kuanzia, kuondoa uozo huo uliouelezea vizuri sana wewe hapo juu.

Bila kuwashughulikia CCM, usitegemee mabadiliko yoyote.
 
CCM hawashindwi ,kama walimvuta Karamagi na kuanza kuiponda TICTS yake vipi kwa Prof Assad?
 
Assad yupo sahihi 100%. Hivi jf nani kawaambia Shivji ni mwanasheria? Mnaota kweli
 
Mkuu Mkuu hii Ni sauti ya koryo Rorya ama?
 
Kw
Sasa Do world ikawekeze Bandari iliyo kisiwani? Nchi gani inategemea kusafirisha mizigo yake kupitia ZANZIBAR?
Kwani zanzibar hakuna mizigo? ya kutoka nje kwenda outside world
 
Hilo swali la kwanza ni la kinafiki sana, kuna miradi mingapi imekua implemented Tanzania Bara na haijawahi kuulizwa mbona Zanzibar haipo.!

Msingi wa hilo swali ni personal attacks na si linginelo.
Hakuna mradi wa Muungano ambao utafanyika Bara bila kuhusisha Zanzibar. Una mfano tu udahili na mikopo kwa wanafunzi vyuo vikuu kwa Bara lazima wazanzibar wapo; mikopo wazanzibar watapata huku na ananafasi pia ya kupata kule kwao
Viwanja vya ndege kimataifa vile vile. Labda toa mifano ya miradi hiyo ya Muungano ambayo ilifanyika huku Bara tu
 
asante kwa ufafanuzi
 
Nimemsikia huyu mwanasheria wa Ujerumani. Anasema huu Mkataba tunaoujadili sasa ni wa Host Government Agreement (HGA). Wenzangu mmeuona huo mkataba nimetafuta sijauona. Umeingiwa lini halikuwa mazungumzo ya HGA yalikuwa yakisubiri kuridhiwa kwa IGA?
search humu utaopata, upo sana JF
 
Yani haya ndio maswali kweli unamuuliza professor? Kweli nchi hiibimejaa wajinga wengi mkiambiwa mna uelewa mdogo mkubali tu.
 
Nimeshangaa sana jamaa kakaa chini haya ndio maswali kweli anamuuliza professor?
 
Swali hili msingi wake ni hiyo exeption ya Bandari ya Zanzibar. Huwezi ukasema DP Wedi apewe bandari zote nchini za Bahari na Maziwa kasoro za Zanzibar, halafu utegemee watu waache tu wasijiulize
Sasa bandari ni suala la muungano? Hivi nyie watu mnajua mnachokitetea au mnajiropokea tu?
 
asante kwa ufafanuzi
 
Yani ulivyohusisha bandari ya Zanzibar tu nikajua ww ndio walewale Kila cku mnaambiwa Bandari haipo ktk masuala ya Muungano
 
Sasa bandari ni suala la muungano? Hivi nyie watu mnajua mnachokitetea au mnajiropokea tu?
Yan mpaka wanatia uvivu kusoma nyuzi zao ikiwa kwenye point namba Moja ameonyesha uzuzu Kuna haja gani yakujadili nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…