Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
LAaah!
Kumbe wewe ni mZanzibari!
Kwa hiyo utambulisho wako ni kama ifuatavyo, kwa mpangilio huo huo wa umuhimu:
1. Mwarabu
2. Muislam
3. Mpemba
4.Mzanzibari
Na inapolazimu kufanya hivyo kwa sababu maalum
5. mTanzania
Sina la ziada la kujadili nawe hapa.
Ila nikukumbushe tu kuhusu mstari wako huo uliouweka hapo mwisho unaosomeka ifuatavyo:
"Mtabakia kubweka tu humu JF, DP wanakuja na watainvest wala hamuwezi kufanya Kwiii; na mara hii hatufanyi makosa tena kuwaachia nyinyi mnaojifanya waafrika koko na kutuchafulia nchi yetu."
Haya maneno ni kama yaliyoandikwa na mwenda wazimu, asiyekuwa na uelewa wa kitu anachokizungumzia au andika. Ila kwa mtu kama wewe, kutokana na jinsi ulivyojitambulisha toka mwanzo uliponijibu mimi, naona kuwa wewe ni mmoja wa watu waliomo kwenye kundi linalojiaminisha maajabu ya namna hiyo kuwezekana tena wakati huu!
Ni ajabu sana kuwa na fikra za aina hii karne hii.
Mkuu 'jag', nimemalizana nawe, na nashukuru sana kwa kukujua uhalisia wako ulivyo.
Wewe niite vyovyote utakavyo, nyinyi mnaojifanya waafrika koko , huku mkitumiliwa na mabwanyeye wenu kutoka Vatican , tumeshawaelewa, mnataka kuchafuwa nchi halafu mkimbilie kwa mabwana zenu wazungu,
Nakuambua tena , utajamba humu Kwenye Keyboard lakini huku uwanjani katu hamwezi kubweka kwii , tutawadhibiti vizuri kwa mkono wa chuma na kuwamalizia mbalini. Tunawajua vizuri , tuliwapa mwanya kidogo mtowe maoni lakini mumepanda vichwa mnatatoa matusi na kejeli , na kuhatarisha usalama wa nchi, Mtakiona cha matema kuni mmoja mmoja tuwapa VIP treatment