Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

Tano, kwanini migogoro ya kijeshi inaendelea Ukraine na Iran, sehemu zenye mafuta duniani lakini mfumuko wa bei wa mafuta haujatokea kama ambavyo tulitabiri hapo awali. Nini au nani kasababisha kusiwepo na mfumuko mkubwa wa mafuta na gesi ???
Houthis wasipodhibitiwa tunaelekea kwenye mfumuko...
 
Nondo hatari kabisaa
 
Magaidi wa Houthi sasa hivi wanapatiwa kipigo kibaya sana na sio muda mrefu wataangamizwa kabisa kwani Iran hana uwezo tena wa kuwasaidia hao magaidi wao.


Askari wenyewe wa Marekani ndio wanaongozwa na mashoga hawa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…