Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Chamviga,
Ahsante sana.
Ndugu zetu wanachomwa sana na historia hii kama vile Mjerumani Krapf
alivyochomwa na ustaarabu wa Chifu Kimweri alipomkuta Vuga.
Kamkuta Kimweri na wanae wote wanajua kusoma na kuandika na waungwana.
Krapf kaja kukutana na ''washenzi'' anakutana na wastaarabu.
Hii saikolojia bado wanayo hawa ndugu zetu.
Duniani kote nilikoalikwa kuhadhir Alhmadulilah nimepongezwa na kupigiwa makofi.
Cha ajabu kipi hapa JF?
Unaposema hawa, hawani kina nani hebu be specific.Mzee wangu hawa wala wasikuumize kichwa....kama wanaona ulichoandika kwenye kitabu chako sio sahihi, watoe vitabu vyao waweke historia yao wanaohisi ni sahihi...
Mimi ninacho kitabu chako na naheshimu mtu yeyeto anayetoa kitabu.....hao nao watoe vyao tusome tuone
Unaposema hawa, hawani kina nani hebu be specific.
Kituko kwani kalazimishwa mtu kuamini?
17. "Abdulwahid confided with the TAA executive that having the most educated African in the land [i.e. Julius Nyerere?] would strengthen its leadership and portray a good image before the eyes of the colonial government and the United Nations Visiting Mission" (p. 113)(p. 113-114)
Wala usiamini hakuna shida.
Naona unawashwa wewe wapi mimi nina mashaka usipende kunisemea wakati mim nipo.Mkubwa mimi wala siko huko kwa kusema kulazimisha watu wayaamini hayo unayoyaandika, lakini wewe uliandika hicho kitabu ili kusahihisha makosa uliyoyaona kwenye vile vitabu vya "Kivukoni" kwa maana uliona ile historia ina mapungufu,
angalizo nililokuwa naliweka ni kuwa umakini na usahihi wa maelezo unatakiwa ili na wewe usije kuandika tena mapungufu mengine. hayo maswali ya Mdadisi ni changamoto za kuangalia usahihi wa data na maelezo yako,
mwaka 1952 ni zamani lakini mji ulikuwa umechangamka kwa kiasi chake, maeneo kama , Magomeni yalishakuwa na watu wa kutosha tu na kulikuwa na waafrika wengi tu waliokuwa wanajiweza hta huko kununua redio na hata hiyo Kariakoo yenyewe pia kulikuwa na watu wengi waliokuwa na uwezo huo na walikuwa nazo hizo redio
hili la redio hujaliweka kwenye kitabu chako lakini mimi nalizungumzia kwa sababu nimelisoma kwako, sasa kama hili lina mushkel hayo mengine tuyaamini vipi?
na hata wanaokusupport, "watoto" wenzio wa Kariakoo Ritz wana mashaka na hilo
Naona unawashwa wewe wapi mimi nina mashaka usipende kunisemea wakati mim nipo.
Wewe kauzu kweli kinachokusikitisha wewe nani umelazimishwa kuamini mijitu mingine bana.Kwa kweli Maswali ni Mazuri, ni maswali yanayohitaji uafafanuzi wa njia gani ilitumika kupata hizo data (Research, mapokeo nk), mimi sioni ubaya wowote wa hayo maswali.
Tatizo kubwa linalonisikitisha ni uwa kuna watu Ritz, gombesugu faizafox nk, wanaona mapungufu yaliyopo kwenye simulizi za Mohamed Said lakini hawawezi kuyasema hapa,
wengine tuko humu kujifunza na kuchukua vilivyosahihi kwa faida ya vizazi vijavyo,
mtu anaposema fulani ndio alikuwa mtu wa kwanza kumiliki Radio Dar es salaam? au alikuwa wa kwanza kuwa na gari au ndio waafrika wa kwanza waliruhusiwa kunywa pombe hapo ndio watu tunapohitaji ufafanuzi kidogo, lakini kama haya hayakuwekwa wazi na wanayoyajua basi kinachosimuliwa hapa hakitakuwa na tofauti na vilivyosimuliwa sehemu nyingine kwani zote zitakuwa ni habari za upande mmoja zenye kuegemea sehemu ama jamii fulani ya watu
Ni kitabu cha kijiweni.
Wewe kauzu kweli kinachokusikitisha wewe nani umelazimishwa kuamini mijitu mingine bana.
CC; Tayeb Mipangomingi mfumo
Wewe utakuwa unawashwa kwa nini uniwekee maneno mdomoni wapi mimi nimesema mapungufu ya Mohamed Said, hii lugha nimeitumia kwako kutokana kuni quote kipuuzi.kuwashwa nini tena kaka, na wewe ndio umekuwa wa lugha hizo?,
tatizo kaka huwezi kuwa wazi hata kama kuna mapungufu
Mzee MS naomba ufafanuzi unapotumia neno "hawa ndugu zetu" unamaanisha ni kina nani hao?
Wewe utakuwa unawashwa kwa nini uniwekee maneno mdomoni wapi mimi nimesema mapungufu ya Mohamed Said, hii lugha nimeitumia kwako kutokana kuni quote kipuuzi.
Wewe kweli Kituko halafu unataka kujibiwa majibu gani kama siyo ya kipuuzi.asante kaka
naomba uelewa wako kuhusu hili la Kleist na Azizi Ali ndio walikuwa waafrika wa kwanza kuruhusiwa kunywa beer hapa Dar es salaam
asante kaka
naomba uelewa wako kuhusu hili la Kleist na Azizi Ali ndio walikuwa waafrika wa kwanza kuruhusiwa kunywa beer hapa Dar es salaam