Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mdadisi Niwie radhi Aggrey ni Makisi Mbwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udadisi,
Nimesoma hiyo blogspot yako, naona wewe mwenywewe umejitambulisha tu kama Chambi, hakuna picha wala profile yako. Makala zako ziko anonymous and yet unafyonza kwenye intelectual peoperties za watu na kufanya tahakiki.
Sasa ndugu yangu ona hapo wewe kama ni mwandishi au researcher huoni kuna kasoro hapo. Mimi hapo nina mashaka nawe na hiyo unayoifanya sidhani kama it is with good intention.
Huyu nafikiri ni Chambi Chachage mtoto wa Marehemu Prof Seth Chachage!?
Huyu Udadisi aka Chambi Chachage nafikiri pamoja na mangineyo mangi,lakini pia aliwahi kuwa Co-Editor wa Africa's Liberation:The Legacy of Nyerere!?
Mimi binafsi namfahamu huyu Udadisi aka Chambi Chachage...pamoja na baadhi ya shughuli zake fulani za kitaaluma alizowahi kufanza na nyadhifa ndogo ndogo alizowahi kushika ndani ya baadhi ya NGO's kadhaa hapo nchini!
Nakumbuka kitambo nikikutana nae huyu Udadisi aka Chambi Chachage pale ofisi za UKUTA - Arnaoutoglou Hall...kila mmojawapo wetu akifuata materials za aina yake!?...au kijana yule ndo alokua Mzazi wako!? Duuh!
Babake Prof Chachage mwenyewe...nikimfahamu tangia wakti ule tukiishi pale Mlimani-UDSM. Hawa pamoja na wale ma-Profesor wangine mahiri na wafia "Unyerere" kama...Mbunda,Kigongo Fimbo Mnyonge,Mtoto Mwema,Mbilinyis(both Mr and Mrs),Shivji,Haroub Othman,Mbwiliza,Baregu,Kezilahabi na wangineo wangi mno wakti huo!
Kwa ufupi tu...hata nami namstaajabu mno huyu Udadisi kwa huu utararatibu wa msuto/cross examination aloamua kuutumia dhidi ya Mwanataakuma mwenzie Bwana Mohamed Said!? Daah!...tena huo msuto wenyewe kwanini iwe lazim uletwe humu-JF!?
Yaani wewe Chachage hata staha na hishma za kitaaluma ndo zimekutoka kwa kujaribu kutaka kumtetea yule Nyerere wako!?
Kama upotoshaji wa Historia mbona ulianza kufanzwa na wale Chuo Cha Chama Kivukoni/Historia ya Kivukoni...tena chini ya usimamizi/uratibu wa yule Nyerere mwenyewe!...sasa mbona nyinyi/wewe hatujakuoneni kuinua hizo kalamu zenu na kufanzia critique zile historia potofu!?
Jangine...kutokana na mrengo/mwelekeo wa siasa za Udadisi na hata ndani ya nyumba yao tangia wamezaliwa...huoni weye kujaribu kushughulika na maandiko ya Bwana Mohamed Said itakua pana conflict of interest na pia kutomtendea yeye haki kitaaluma!?
Ninamaanisha yakua...wewe Udadisi yajulikana ni mfia Unyerere,na Bwana Mohamed Said nae ajulikana yakua ni mmojawapo wa critics wa siasa za Nyerere kwa myaka mingi!...sasa kwanini usitumie tu njia na taratibu nyangine, kama vile uandike rejeo kwa kitabu chako kitaaluma kumpinga nae pia kitaaluma na kwa vithibitisho vyako lukuki!?
Ahsanta sana.
Gombesugu,
Ahsante sana ndugu yangu.
Mdadisi nilishampa fikra zangu huko nyuma nikamweleza kuwa nalielewa vyema
sana tatizo linalohangaisha nafsi yake na kumitia joto.
Kwa maisha yake yote kasomeshwa kuwa hawa Waswahili si lolote.
Ikawa yeye anaiangalia TANU kwa sura ya Nyerere.
Sasa mimi nilipokuja na TANU kutoka kwengine kabisa hapo ndipo alipopigwa
na mshtuko.
Maswali yote anayoniuliza ni maswali ambayo kwa hakika si maswali.
Huyu nafikiri ni Chambi Chachage mtoto wa Marehemu Prof Seth Chachage!?
Huyu Udadisi aka Chambi Chachage nafikiri pamoja na mangineyo mangi,lakini pia aliwahi kuwa Co-Editor wa Africa's Liberation:The Legacy of Nyerere!?
Mimi binafsi namfahamu huyu Udadisi aka Chambi Chachage...pamoja na baadhi ya shughuli zake fulani za kitaaluma alizowahi kufanza na nyadhifa ndogo ndogo alizowahi kushika ndani ya baadhi ya NGO's kadhaa hapo nchini!
Nakumbuka kitambo nikikutana nae huyu Udadisi aka Chambi Chachage pale ofisi za UKUTA - Arnaoutoglou Hall...kila mmojawapo wetu akifuata materials za aina yake!?...au kijana yule ndo alokua Mzazi wako!? Duuh!
Babake Prof Chachage mwenyewe...nikimfahamu tangia wakti ule tukiishi pale Mlimani-UDSM. Hawa pamoja na wale ma-Profesor wangine mahiri na wafia "Unyerere" kama...Mbunda,Kigongo Fimbo Mnyonge,Mtoto Mwema,Mbilinyis(both Mr and Mrs),Shivji,Haroub Othman,Mbwiliza,Baregu,Kezilahabi na wangineo wangi mno wakti huo!
Kwa ufupi tu...hata nami namstaajabu mno huyu Udadisi kwa huu utararatibu wa msuto/cross examination aloamua kuutumia dhidi ya Mwanataakuma mwenzie Bwana Mohamed Said!? Daah!...tena huo msuto wenyewe kwanini iwe lazim uletwe humu-JF!?
Yaani wewe Chachage hata staha na hishma za kitaaluma ndo zimekutoka kwa kujaribu kutaka kumtetea yule Nyerere wako!?
Kama upotoshaji wa Historia mbona ulianza kufanzwa na wale Chuo Cha Chama Kivukoni/Historia ya Kivukoni...tena chini ya usimamizi/uratibu wa yule Nyerere mwenyewe!...sasa mbona nyinyi/wewe hatujakuoneni kuinua hizo kalamu zenu na kufanzia critique zile historia potofu!?
Jangine...kutokana na mrengo/mwelekeo wa siasa za Udadisi na hata ndani ya nyumba yao tangia wamezaliwa...huoni weye kujaribu kushughulika na maandiko ya Bwana Mohamed Said itakua pana conflict of interest na pia kutomtendea yeye haki kitaaluma!?
Ninamaanisha yakua...wewe Udadisi yajulikana ni mfia Unyerere,na Bwana Mohamed Said nae ajulikana yakua ni mmojawapo wa critics wa siasa za Nyerere kwa myaka mingi!...sasa kwanini usitumie tu njia na taratibu nyangine, kama vile uandike rejeo kwa kitabu chako kitaaluma kumpinga nae pia kitaaluma na kwa vithibitisho vyako lukuki!?
Ahsanta sana.
Ndugu, acha upotoshaji na uchochezi, mimi na Mzee Said tulishaelewana kitambo kuhusu namna ya kuendesha mjadala huu sasa unaingilia kati na kuharibu darasa hili la bure badala ya kuchangia mada; kama kweli umesoma machapisho yangu kwa makini utaona kuwa kuna mengi sana nayopingana na Nyerere, kwa mfano, katika marejeo uliyoyaweka kuna hitimisho hili:
Udadisi,
Mbona umeamua kutumia lugha chafu,umekumbwa na nini!?...tazama hapo nilipo-BOLD kwenye hiyo bayana yako!
Mie nilichofanza ni kumsaidia Mwanajamvi mwenzetu alokua akijaribu kukufahamu weye ni nani!?...sasa kosa langu ni lipi hapo!? Kusema yakua mie nakufahamu!? Ebo!
Mie hata Marehemu Mzazi wako tukihishimiana na kufahamiana.
Nami pia nafanza shughuli za kitaaluma kwenye field/proffesion yangu,kwa hiyo punguza kibri cha kitoto!...nitashindwa tu kukupa link/s au kuziweka humu,sababu bado sijaamua kujiweka hadharani/kujipambanua nasaba yangu. Ninamaanisha kwa hivi sasa bado sijaamua kuwa "verified user"!
Sasa mie "nimempotosha" kwa lipi huyo Bwana Mohamed Said,hivi unakhis yeye binafsi hana uwezo wa kufanza maamuzi mpaka ati anisikize mie!?
Wewe kama kweli sio mfia Unyerere,basi ungepunguza kuweka zile quotes za kipuuzi kwenye posts kadhaa humu-JF zenye kuzungumzia mchakato wa Katiba na siasa/history za Zanzibar!...tena toka kwa mtu yule yule/Nyerere ambaye aloleta impact/nakma kwenye masuala hayo hayo ambayo sisi leo Wananchi wanyonge tulioko huku Vijijini yanazidi kutuadhibu na kutuangamiza mpaka kesho!? Daah!
Achana na mie...endeleza hayo masuali yako kwa Bwana Mohamed Said tuyaone! Nasi pia tuna masuali yetu mangi tu na tutakuuliza!
Ahsanta.
Ndugu, Mzee Said tayari tunafahamiana. Tulishawasiliana kwa barua pepe. Na tukabadilisha mawazo na taarifa vizuri tu.
Kama ujuavyo, "upotoshaji" na "uchochezi" ni maneno ya kawaida kabisa kwenye kamusi ya Kiswahili. Umempotosha Mzee Said kuhusu nia yangu.
Nami pia nafanza shughuli za kitaaluma kwenye field/proffesion yangu,kwa hiyo punguza kibri cha kitoto!...nitashindwa tu kukupa link/s au kuziweka humu,sababu bado sijaamua kujiweka hadharani/kujipambanua nasaba yangu. Ninamaanisha kwa hivi sasa bado sijaamua kuwa "verified user"!
Wee Udadisi,
Utapata dhiki ya bure kujishughulisha na mie!...kama unavyodai yakua weye na Bwana Mohamed Said ati "mnafahamiana",basi kaa umuulize Gombesugu nae ndo nani!?
Hapo nilipo-BOLD kwenye hiyo bayana yako,si ndo yale yale naliyokwambia awali!
Kwa kifupi hizo Kamusi hapo zinatungwa na kuhaririwa ndani ya family yangu kwa myka chungu tele!
Kuna mangi ya kuzungumza,lakini lete basi hayo "masuali" yako kwa Bwana Mohamed Said nasi tuyaone!?
Salaam zao!
Ahsanta.
Shukran kwa ushauri wako huu ulo mwema!?
Ahsanta sana.
Mdadisi Niwie radhi Aggrey ni Makisi Mbwana.
Udadisi umefanya jambo jema sana maswali yako mengi ni maswali ya msingi sana sasa unapoona swali halijibiwi au swali linakimbiwa kinamna ni wazi hata mzee wetu wa Kariako keshajua waTanzania si mabwege.Mfano Mzee wetu Mohamed Said anapodai kwamba Kleist Sykes na Aziz Ali walikuwa waAfrika wa kwanza kunywa bia wakati huo huo kulikuwa na waAfika wakiendesha biashara ya kuuza bia sasa sijui kama wao walikuwa na ruksa ya kuuza tu huku sheria ikiwabana wasinywe ?.
Mkuu, naamini baada ya mchakato huu Mzee Said atatoa toleo la pili au tatu la hiki kitabu chake ambalo litakuwa bora zaidi.
Angalizo: Hapo Mzee Said anamaanisha waliruhusiwa tu (hamaanishi,ama hayuko wazi, kuwa walikunywa); lakini licha ya hayo, bado hiyo hoja/swali lako limesimama, natumai atalijibu au labda Mzee gombesugu atasaidia.