Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Hii ikitokea itaanza kuwa mchezo wa kilasiku. Watu kibao wataanza kuupload movie za Tanzania through torrents. Itafanya mastaa wa Bongo movie walalamike kwa kutumia group zao (awapati kitu kisa movie zinapatikana bure online). Serikali kupitia TCRA itabidi iwaambie ISP kuban access ya torrents + na kuweka sheria kumake it illegal. Kama nchi za ulaya maana inaumiza soko. Kutusababishia matatizo watu kama mimi ambao kazi yetu ni kudownload series za nje+movies+games na Applications za computer na android.Hv kuzipeleka kwenye ma torrent je? Au kule haifai?
Bahati mbaya sana mimi sio mpenzi wa Bongo movie, maana huwa nikiangalia hizo movie mara sauti wakati mwingine haisikiki, subtitle za kizungu pale chini spelling error kibao. Title juu ya cover ni ya lugha ya kigeni wakati ndani movie ni ya kiswahili.
Toka lini Producer, Ass. Producer, Editor akawa huyo huyo, kama kuna mtu hajaona basi inatokea bongo movie.
Ahsante mkuu kwa kunikumbusha hilo.teh Teh Teh!! hlo Sio Ww Tuu!! mlinzi Lazma Awe Mshamba!! na Kila Atakayetoka Kijijini Lazma Awe Mwoga Kuvuka Barabara Na Lazma Akifika Kwa Mwenyeji Wake Lazma Aogope Kukalia Makochi.:..
Pili Movie Nzima Kwa Nyuma Kuna Soundtrack Inapigwa Na sometimes soundtrack Inakua Na sauti Kubwa Kupita Sauti!! na Ni Lazma Kila Movie iwe Na Part 1 na Part 2 Na Znakua Zmetoka Kwa Pamoja!!
Hapo Hujakutana Na Hemedi Ameweka Wave Au Kapiga Nywele Zake Dawa!! stori Ikaenda Mpaka Baada Ya Miaka 6 Akawa Vile vile Na Wave Na Madawa Yake Ya Nywele!!! yaan Wenyewe Hawazipi Thamani Movie Zao
Hii ikitokea itaanza kuwa mchezo wa kilasiku. Watu kibao wataanza kuupload movie za Tanzania through torrents. Itafanya mastaa wa Bongo movie walalamike kwa kutumia group zao (awapati kitu kisa movie zinapatikana bure online). Serikali kupitia TCRA itabidi iwaambie ISP kuban access ya torrents + na kuweka sheria kumake it illegal. Kama nchi za ulaya maana inaumiza soko. Kutusababishia matatizo watu kama mimi ambao kazi yetu ni kudownload series za nje+movies+games na Applications za computer na android.
JibuEti wadau torrent ndo nini?
Hili jibu siyo sahihi....ni software ya kudownlod kilakitu unachotaka ilimradi kipatikane kwenye net.kuipata just google it,and then download. Choose the best maana zipo nyingi...
Swali
Jibu
Hili jibu siyo sahihi.
Ufafanuzi.
- Muuliza swali kama angeuliza utorrent nini basi haya maelezo ni sawa.
...mwal usimdanganye kijana, zingatia hapo nimesema torrents zipo nyingi kulingana na aina ya mashine, au simu au kitu kingine chochote uachotumia. to be specific hiyo u torrent ni maalum kwa ajili ya mac na bit tirrent kawaida, na nyingine nyiiiingi tu...
...mwal usimdanganye kijana, zingatia hapo nimesema torrents zipo nyingi kulingana na aina ya mashine, au simu au kitu kingine chochote uachotumia. to be specific hiyo u torrent ni maalum kwa ajili ya mac na bit tirrent kawaida, na nyingine nyiiiingi tu...
Ndugu wadau kama title inavyojiexpress yenyewe...kuna mdau mmoja kaniuliza mi nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka, kwani hata sina hata idea ya kueleweka..naomba msaada wa kumjibu na mahali pa kuipata hiyo software for downloading.
...ni software ya kudownlod kilakitu unachotaka ilimradi kipatikane kwenye net.kuipata just google it,and then download. Choose the best maana zipo nyingi...
A torrent file is a computer file that contains metadata about files and folders to be distributed, and usually also a list of the network locations of trackers, which are computers that help participants in the system find each other and form efficient distribution groups called swarms.[1] A torrent file does not contain the content to be distributed; it only contains information about those files, such as their names, sizes, folder structure, and cryptographic hash values for verifying file integrity.{View Source}
.......... zingatia hapo nimesema torrents zipo nyingi kulingana na aina ya mashine, au simu au kitu kingine chochote uachotumia. to be specific hiyo u torrent ni maalum kwa ajili ya mac na bit tirrent kawaida, na nyingine nyiiiingi tu...
Hichi ni kiherehere!Swali
Jibu
Hili jibu siyo sahihi.
Ufafanuzi.
- Muuliza swali kama angeuliza utorrent nini basi haya maelezo ni sawa.