Siasa ni maisha yako kila siku ila ya kikupata mfano mdororo wa uchumi,kodi,haki na mengine.usiseme kuwa sio siasa kama IQ nayo ni ndogoMimi sio mwanasiasa lakini yawezekana kwa sababu hawakubaliki kwa baadhi ya watu.
Umeme wa Bwawa la mwalimu, Julius Nyerere unatutosha na tuna ziada ya kuuza nje ya nchi, ghafla tutanunua umeme Toka Ethiopia!Tueleweje?KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius!
Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
KombeKwa hiyo tukilike hii thread tunapata nini ?
Kutokukubalika ndo inapelekea kutokuwa na akili?Mimi sio mwanasiasa lakini yawezekana kwa sababu hawakubaliki kwa baadhi ya watu.
Great thinker😅Hivi ukijamba alafu nikaja na kiberiti nikawasha moto kunauwezekano ukalipuka? Maana naskia ukijamba ni umetoa gesi.