Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Mbona bara la ulaya walikuwa wapagan wakiabudu miungu kama zeus, artemis, athena kuna wale norse god kina thor, loki, freya, odin ila sasa asilimia kubwa ni wakristu na ukristu umeanzia jerusalem ambapo kijiografia hawapo bara la ulaya, na ulaya ipo vizuri kiuchumi
Ukristo ulitokea sehemu ambayo muingiliano ulipo mkubwa kama ulivyo hona uislamu katika muingiliano mfano biashara,ukaribu wa tamaduni na n.k

Ni sawa ulazimishe umeme toka ethiopia una nunua wakati ulisema unauza
 
kwanini ulikubali wazazi wako wakulete duniani bila hiali yako kwa ngono zao za kipuuzi?
 
Ukristo ulitokea sehemu ambayo muingiliano ulipo mkubwa kama ulivyo hona uislamu katika muingiliano mfano biashara,ukaribu wa tamaduni na n.k

Ni sawa ulazimishe umeme toka ethiopia una nunua wakati ulisema unauza
swali lilikuwa mbona bara lilobadilisha mila za kuabudu ndo linaongoza kwa umaskini, ndo nikamjibu mbona ulaya wamebadilisha mila ya kuabudu na wala sio maskini
 
swali lilikuwa mbona bara lilobadilisha mila za kuabudu ndo linaongoza kwa umaskini, ndo nikamjibu mbona ulaya wamebadilisha mila ya kuabudu na wala sio maskini
Umaskini unaweza kuja kwa sababu kama:
Kuendekeza imani sana.
Sehemu zilizoendekeza imani sana ufikiri unakuwa finyu sababu ya imani hizo zinachukua masharti makali ya kila jambo kuonekana linapingana na imani.
 
Kwanini unaishi?
Na kwanini binadam anazaliwa na kisha anakufa?
 
Ikiwa ungekuwa na siku nzima ambapo unaweza kufanya chochote unachotaka, ungefanya nini?
 
Ndio nina njaa sana shida ipo wapi ?
Shida ni hiyo njaa. Tafuta kitu ule.
Sikia bruh faida sio lazima iwe hela ,hata uki like thread ya mtu Kuna faida kama kupunguza msongo wa mawazo.
 
Shida ni hiyo njaa. Tafuta kitu ule.
Sikia bruh faida sio lazima iwe hela ,hata uki like thread ya mtu Kuna faida kama kupunguza msongo wa mawazo.
Sasa huo msongo wa mawazo ni wako sasa sio wangu
 
Back
Top Bottom