Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Mpaka sasa hakuna mwenye 20+ reactions.. Mm nitakua wa kwanza na ndio genius mwenyewe
 
Nataka kujua, kwanini maji yanayotoka kwenye vyanzo vya mito mikubwa duniani, mf: mto nile, mto amazon, nk. Haviishiwi maji na yanatiririka kila siku, mamia ya miaka, na nilitegemea kuona bahari ya shamu kufurika kutokana na maji yanayoingia kila siku kutoka mto nile, IQ yangu hapa ndo inavurugwa na mzunguko wa maji ya mito, sielewi yanatokea wapi na yanapotelea wapi,.
Maji yanayotoka kwenye mito na kuelekea Baharini hayakauki kwasababu ni water cycle yapo kwenye mzunguko wake wa asili, maji yanachomwa na kupanda angani kama mvuke na baadae mvua inanyesha (precipitation) kwahiyo mito inaendelea kutirirsha maji
 
Kwanini NDOA always inamatokeo mawili? Ni aidha chanzo Cha mafanikio au ku faili life yako, why?
 
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini bara linaongoza kubandili mila ya kuabudu ndio bara masikini, kuliko mabara yote?.
Tumemkata Mungu wetu wa kweli na kuabudu Mababu wa kina John Smith Mathew Peter n.k
 
Waislam wanaogopa nguruwe kwasababu kwenye Biblia Walawi 11:7-8 inasema: Na NGURUWE kwasababu anazo kwato,ni mwenye miguu iliyopasuka kati,lakini hacheui,yeye ni najisi kwenu.Msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
Kumbe waislamu wanaifuata biblia na hamsemi..!!! Hao waislamu hawajasoma Marko 7: 17-23, inayosema

17Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano. 18Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; 19kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote. 20Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi. 21Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, 22wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. 23Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
 
KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius!

Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
Swali: mimi niulize nini?
 
Hivi unadhani marais wazungu na Asia huwa wanawazungumzia nn kuhusu marais wa nchi za africa kuhusu uwezo wao wa kufikiri wakiwa peke yao
 
Mnajikuta mna IQ fwala nyie tafuta hela IQ haikusaidii kitu.
 
KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius!

Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
Kwanini unafikiri reaction nyingi ndio kipimo cha IQ kubwa?
 
kwanini waislamu walio wengi wanamchukia sana nguruwe kuliko kitu chochote kama pombe na ngono?
 
Kwanini sipati mtu wa kunipenda yaani mwenye uchungu na Mimi
Awe mume au mchumba au mpenzi?
 
Back
Top Bottom