Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Umeme wa Bwawa la mwalimu, Julius Nyerere unatutosha na tuna ziada ya kuuza nje ya nchi, ghafla tutanunua umeme Toka Ethiopia!Tueleweje?
Iq yako ndogo hivi unajua USA,German,Norway,Sweeden, Australia zinazalisha ziada ya umeme hata kuuza nje(export) lkn kwa nyakati na maeneo tofauti ya nchi hizo hununua umeme kutoka nje(import)pale gharama ya kutumia umeme wa ndani ni ghali kuliko kununua nje. TZ yenye ziada ya umeme sio ajabu kununua nje
 
Kwanini waislamu wanaogopa nguruwe kuzidi hata shetani mwenyewe, unakuta danga unalinunulia pombe kisha muondoke ukalipige show ila ukiliagizia kitimoto linakuambia mimi muislamu ilhali hapo anafanya umalaya.
Au jamaa anafanya dhambi za kila aina ila uthubutu kumnunulia kitimoto mtagombana
 
Iq yako ndogo hivi unajua USA,German,Norway,Sweeden, Australia zinazalisha ziada ya umeme hata kuuza nje(export) lkn kwa nyakati na maeneo tofauti ya nchi hizo hununua umeme kutoka nje(import)pale gharama ya kutumia umeme wa ndani ni ghali kuliko kununua nje. TZ yenye ziada ya umeme sio ajabu kununua nje
Sasa wewe ndio ziro Brain,hujajibu Swali Wala huna data na maelezo ya kutosha!
 
Iq yako ndogo hivi unajua USA,German,Norway,Sweeden, Australia zinazalisha ziada ya umeme hata kuuza nje(export) lkn kwa nyakati na maeneo tofauti ya nchi hizo hununua umeme kutoka nje(import)pale gharama ya kutumia umeme wa ndani ni ghali kuliko kununua nje. TZ yenye ziada ya umeme sio ajabu kununua nje
Upo sahihi genius wetu. Sijui kwanini watu hawapendi juhudi za nchi yao.
 
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini bara linaongoza kubandili mila ya kuabudu ndio bara masikini, kuliko mabara yote?.
Mbona bara la ulaya walikuwa wapagan wakiabudu miungu kama zeus, artemis, athena kuna wale norse god kina thor, loki, freya, odin ila sasa asilimia kubwa ni wakristu na ukristu umeanzia jerusalem ambapo kijiografia hawapo bara la ulaya, na ulaya ipo vizuri kiuchumi
 
Je wajua tunaishi na nyoka wengi tu ndani ya manyumba yetu na mbu wengi sanana binadamu wengi sana na ndio wanyama wanaongoza kumuua binadamu
Je wajua kuwa ukichanganya gilisi na kachumbali, kisha ukaweka wali na mkia wa punda ukaweka maji ya limao kisha ukajipata matakoni na kuanza kukimbia, unaweza kujikuta umeruka juu, kisha kujikuta umejamba, halafu ukaanza kushangaa tu!

Unafikiri ni kwa nini?
 
Upo sahihi genius wetu. Sijui kwanini watu hawapendi juhudi za nchi yao.
Hayupo sahihi ni ziro brain hajajibu Swali katoa maelezo yasiyojitosheleza,nawewe Mtoa mada,hebu isome heading Yako na ulichounga mkono!
 
Back
Top Bottom