DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
OOh Sasa Nimekuelewa!Space btn Knobs inawezaje kuwa na Cleft ?
Tatizo ni Hilo Neno Cleft? Sio?
Kwa nini inaitwa cleft
Neno cleft linamaanisha ufa au kijipengo. Sasa katika synapse, kuna kijinafasi kidogo kati ya sehemu ya mwisho ya axon terminal kwenye neuroni ya pre-synaptic na sehemu ya membrane kutoka post-synaptic.
Sasa Ingawa knobs (axon terminals) ziko karibu na neuroni inayofuata, ila haziguusani moja kwa moja (Najua Hilo Unajua) badala yake, impulse au Action au Information hupitishwa kupitia neurotransmitters ndani ya synaptic cleft...
Sasa Cleft Unayojua Wewe Kwmba Ni Uwazi au Mpasuko Ila kwa Synapse Sio Uwazi Insuch..
Sijui kama Umenielewa