Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Kumbe waislamu wanaifuata biblia na hamsemi..!!! Hao waislamu hawajasoma Marko 7: 17-23, inayosema

17Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano. 18Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; 19kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote. 20Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi. 21Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, 22wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. 23Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
Mbona sijaona sehemu nguruwe akihalalishwa kama alivyokatazwa kwa kutajwa jina lake
 
KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius!

Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
Umeme unapunguaje unaposafirishwa tofauti na bidhaa? Tupe kwa kila kilomita.
 
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini bara linaongoza kubandili mila ya kuabudu ndio bara masikini, kuliko mabara yote?.
Uanwajua wahindi wewe?
Wabindi peke yake wanaabudu miungu 600
 
Umaskini unaweza kuja kwa sababu kama:
Kuendekeza imani sana.
Sehemu zilizoendekeza imani sana ufikiri unakuwa finyu sababu ya imani hizo zinachukua masharti makali ya kila jambo kuonekana linapingana na imani.
Sio kweli.
Angalia Dubai na Qatar utajiri wao kisha linganisha na sehemu zenye hizo dini zingine unazosemea halafu ulinganishe,au utakuja kusema wao hawafuati masharti ya dini?
 
Nauza dawa za nguvu za kiume,mwenye uhitaji asilike comment yangu
 
Unaweza Kutofautisha Synapse na Synaptic Cleft.
DR Mambo Jambo
Swali la Mwanafunzi kabisa Hili Tena Medical student Mwaka wa Kwanza Hili 😀😀 Anatomy
ok Twende Kwazi

Synapse kama Synapse ni muunganiko kati ya neuron moja na nyingine..Yaani Huwa Ili Kutokee Action yoyote kwenye Mwili lazima Kuwe na Cordination kati ya Pre synaptic na Post synaptic (Sijyu kama Unanielewa) ..
Yaani Kuna Neuroni inayotuma Action na Neuron Inayopokea Action..

Sasa Kati ya NEURONE inayopokea Action na Neurone inayotuma Action Huwa Kuna Space au Uwazi ndo Unaitwa Synaptic Clefts

kWa Hyo kwa Lugha Nyepesi kabisa ni kwamba Kati ya Neurone inayotuma Taarifa na Neurone inayopokea Taarifa Kuna Nafasi ndogo Space inayoitwa Synaptic Clefts ambapo Humo sasa Ndo kuna Neurotransmitters Kama Dopamine, Serotonin, au Acetylcholine na Hizo Neurotransmitter ndo Hufanya kazi ya Kuhamisha Taarufa Kutoka Presynaptic kwenda Post synaptic neurones..

Yaani Kutoka Neurone Moja kwenda Nyingine
 
Space btn Knobs inawezaje kuwa na Cleft ?
 
Swali langu ni iviii
Mtoa mada uliwaza nini kuuliza au kuandika ichii ulicho kipost…???
 
Ni ipi njia rahisi ya kupima IQ ya mtu?

Iwe ya kienyeji au kisakorojia isiwe ya kisayansi vifaa sina

nataka kumpima mwanangu IQ yake
 
HATA MKITUFUNIKA NA BLANGETI LA DABI TUNAJUA UMEME WA ETHIOPIA NI KAMA IPTL.
 
Swali langu ni iviii
Mtoa mada uliwaza nini kuuliza au kuandika ichii ulicho kipost…???
Nami nikikuuliza "Umeuliza Hilo swali ukifikiri nini?" Utajibuje.

Mimi kawaida ya kuweka threads each day
 
Back
Top Bottom