Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

Hivi kwa akili ya kawaida tu wewe kama mzazi huwezi kumzaa mtoto ili umuue au umtese,Je Muumba si zaidi ya hapo!!

Kibinadamu tu hakuna anayependa kuua mtoto aliyemzaa je Muumba wako ambaye ufahamu wake umepitiliza si zaidi!?

1Korintho 15:26
Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.

Hosea 13:14
Nitawakomboa na nguvu za kaburi; nitawaokoa na mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Kujuta kutafichwa na macho yangu.

Mhubiri 3:11
Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho.
 
Nataka kujua, kwanini maji yanayotoka kwenye vyanzo vya mito mikubwa duniani, mf: mto nile, mto amazon, nk. Haviishiwi maji na yanatiririka kila siku, mamia ya miaka, na nilitegemea kuona bahari ya shamu kufurika kutokana na maji yanayoingia kila siku kutoka mto nile, IQ yangu hapa ndo inavurugwa na mzunguko wa maji ya mito, sielewi yanatokea wapi na yanapotelea wapi,.
 
Hii kubwa IQ!
 
Kujibu ishu yako tutahitaji kwenda kufanya utafiti au kutumia vyanzo kama vitabu na chatbots.
 
Zaidi ya kukalia kwanini wanawake wa mtandaoni wanapenda kuwa na matako makubwa na ukiwafuatialia wengi wao wamepiga picha kugeuza nyuma kalio zao kuonesha kama unaona kalio zao. Hii imekaaje mtaalam
 
Sababu labda ni nguo wanazovaa au camera.
Wewe unapenda kuwaangalia matako yao?
 
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini bara linaongoza kubandili mila ya kuabudu ndio bara masikini, kuliko mabara yote?.
Linakuwa maskini kwa sababu watu wake wameacha na kuikataa asili Yao ambayo ndio roho ya uchumi na kukaribisha Mila mpya ambazo zimeambatana na roho za kigeni zisizoendana na asili yetu. Asili imetukataa kwa sababu tuliitupa, haiwezi kutupatia maendeleo
 
Hapa mnaisema afrika?
 
Et
Zaidi ya kukalia kwanini wanawake wa mtandaoni wanapenda kuwa na matako makubwa na ukiwafuatialia wengi wao wamepiga picha kugeuza nyuma kalio zao kuonesha kama unaona kalio zao. Hii imekaaje mtaalam
Eti nao wanayatamani makalio Yao wenyewe๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† halafu wanayaonea wivu!
 
Daah mtoa mada anaitwa nani jina harisia.. Kama sio SELE ni nan??
 
Hivi ukijamba alafu nikaja na kiberiti nikawasha moto kunauwezekano ukalipuka? Maana naskia ukijamba ni umetoa gesi.
Si kila gesi inawaka. Na ndiyo maana gesi nyingine zinatumika ku-purge (kusafisha) pipes zinazosafirisha gesi zinazowaka, mfano helium. Inert gases haziwaki. LABDA KAMA UNAJAMBA METHANE
 
Kwanini waislamu wanaogopa nguruwe kuzidi hata shetani mwenyewe, unakuta danga unalinunulia pombe kisha muondoke ukalipige show ila ukiliagizia kitimoto linakuambia mimi muislamu ilhali hapo anafanya umalaya.
Au jamaa anafanya dhambi za kila aina ila uthubutu kumnunulia kitimoto mtagombana
Waislam wanaogopa nguruwe kwasababu kwenye Biblia Walawi 11:7-8 inasema: Na NGURUWE kwasababu anazo kwato,ni mwenye miguu iliyopasuka kati,lakini hacheui,yeye ni najisi kwenu.Msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
 
Hivi ukijamba alafu nikaja na kiberiti nikawasha moto kunauwezekano ukalipuka? Maana naskia ukijamba ni umetoa gesi.
Duh!
Binadamu anavuta Oxygen na kutoa Carbondioxide.
Sio gas zote zina sifa ya kulipuka.
Mfano wa gas inayoweza kulipuka ni LPG (Liquid Petroleum gas), ina mchanganyiko wa gas zaidi ya 1.

Kumbuka zile alama kwenye chemistry sijui ya kidato cha 1, inflammable, explosive.
 
Back
Top Bottom