DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
OOh Sasa Nimekuelewa!Space btn Knobs inawezaje kuwa na Cleft ?
Mbona wewe umepta likes zaidi ya 20 na sijaona cha maana hapo je wewe ni genius???KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius!
Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
Kwamba huyu nae genius??🫡kwa nini ccm hawana akili
Mkuu nimekucheckOOh Sasa Nimekuelewa!
Tatizo ni Hilo Neno Cleft? Sio?
Kwa nini inaitwa cleft
Neno cleft linamaanisha ufa au kijipengo. Sasa katika synapse, kuna kijinafasi kidogo kati ya sehemu ya mwisho ya axon terminal kwenye neuroni ya pre-synaptic na sehemu ya membrane kutoka post-synaptic.
Sasa Ingawa knobs (axon terminals) ziko karibu na neuroni inayofuata, ila haziguusani moja kwa moja (Najua Hilo Unajua) badala yake, impulse au Action au Information hupitishwa kupitia neurotransmitters ndani ya synaptic cleft...
Sasa Cleft Unayojua Wewe Kwmba Ni Uwazi au Mpasuko Ila kwa Synapse Sio Uwazi Insuch..
Sijui kama Umenielewa
kasema tuulize maswali .weulitaka ni muulize nini?Kwamba huyu nae genius??🫡
Ooh Ngoja Niangalie Maana Pm Ziko NyingiMkuu nimekucheck
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini bara linaongoza kubandili mila ya kuabudu ndio bara masikini, kuliko mabara yote?.
Sawa angaliaOoh Ngoja Niangalie Maana Pm Ziko Nyingi
Niko hapa mtoto mzuriiKwanini sipati mtu wa kunipenda yaani mwenye uchungu na Mimi
Awe mume au mchumba au mpenzi?