Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

unakutana na demu ndio hata wiki hamna and she is like:
utanipenda mpaka kufa?
watoto wetu tutawaitaje?
nikikupa hutonikimbia?
 
Umri unaongea
 
Ety anauliza utanioa🤣🤣 au basi🏃‍♂️
 
'Mkeo akijua je?'
 
Habari yako CPA (ya mchongo) OKW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…