Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Umeolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
April26 hivi nilikujibu nini? Hata sikumbuki haki🤣🤣🤣🤣🤣 Ila ninachomaanisha hapo ni tofauti.Kwa hiyo umeamua kunichana live baada ya juzi kukuta Uzi fulani umetoa mawazo mazuri nika appreciate na moja ya swali niliuliza kama umeolewa? Ila ulinijibu umeolewa tena kwa uzuri tu. Sasa unaposema hayo maswali hupendi napata hofu kuwa kumbe ulipotezea tu ungeweza nitukana. Kwa nini uko very emotional kiasi hicho mbona maswali ya kawaida tu.
Unaishi wapi ? Hujaolewa tu, si uzae hata mtoto!! Unafanya kazi gani?Mimi wamenichosha mpaka inakera, kila siku ni unaolewa lini? Ina maana hujapata hata mchumba? Kama unaona hapaeleweki si uzae hata mwanao ulee,
Sasa kinachoshangaza hujawahi omba ushauri kwao jinsi ya kupeleka maisha yako, lakini ndiyo vinara wa kukupangia, ukirudi nyumbani huko mkoani ndiyo utajuta, jamani watupumzishe, maisha yana mipango yake hatupaswi kukurupuka tu..!
Haya maswali sio💣Mimi wamenichosha mpaka inakera, kila siku ni unaolewa lini? Ina maana hujapata hata mchumba? Kama unaona hapaeleweki si uzae hata mwanao ulee,
Sasa kinachoshangaza hujawahi omba ushauri kwao jinsi ya kupeleka maisha yako, lakini ndiyo vinara wa kukupangia, ukirudi nyumbani huko mkoani ndiyo utajuta, jamani watupumzishe, maisha yana mipango yake hatupaswi kukurupuka tu..!
Kumbe kushauriwa mpaka uombe ushauri!??? Basi acheni unafiki wa kuishauri serikali deile as if JPM kawaombeni ushauri. But, truth be told, nikiona unahitaji ushauri, wala singoji uniombe, maana pengine hujui hata linalokusibu, let alone solution husika. Pole sana lakini.Mimi wamenichosha mpaka inakera, kila siku ni unaolewa lini? Ina maana hujapata hata mchumba? Kama unaona hapaeleweki si uzae hata mwanao ulee,
Sasa kinachoshangaza hujawahi omba ushauri kwao jinsi ya kupeleka maisha yako, lakini ndiyo vinara wa kukupangia, ukirudi nyumbani huko mkoani ndiyo utajuta, jamani watupumzishe, maisha yana mipango yake hatupaswi kukurupuka tu..!
Mama D hukujibu vibaya ulijibu vizuri tu. Ndo nimestuka ulivosema hupendi kuulizwa aina hiyo ya maswali. Sema nimekuelewa sana hakuna shida.April26 hivi nilikujibu nini? Hata sikumbuki haki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila ninachomaanisha hapo ni tofauti.
Naongelea naongelea wale wanajamii wanaouliza hayo maswali kwa shinikizo kwamba lazima uwe hivyo.
Wao wanaona sababu wa wameolewa au kuoa au kuwa na watoto lazima na wewe uwe hivyo
Umenichekesha sana cariha Hivi wewe ni kabila gani?[emoji3]Mimi mtu akiniuliza hayo maswali naonaga uelewa mdogo pia people wanaona marriage ni achievement hata ka hawafurahii hzo ndoa, pia Kuna watu kazi yao huwa ni kuuliza makabila ya watu tu sijui hutaka kutambika. In short our society bado haijafikia level ya maturity flani
Jasmoni Tegga sio kila mtu anaweza kukuongelea personal life yako. Ingekua wazazi au watu wa karibu mbona powa tuuKumbe kushauriwa mpaka uombe ushauri!??? Basi acheni unafiki wa kuishauri serikali deile as if JPM kawaombeni ushauri. But, truth be told, nikiona unahitaji ushauri, wala singoji uniombe, maana pengine hujui hata linalokusibu, let alone solution husika. Pole sana lakini.
Hawataki hilo, ila majibu; yaani haya unayojibu sasa, ndiyo ungewajibu. Mbona simple. Wasiotaka kuulizwa maswali hawaishi kwenye sayari hii kwa sasa.Imagine! Yaani uzae tuu bila mpango[emoji119]
Kweli kabisaa, kuna maswali ukimuuliza mtu hayana maana wala faida wala ustaarabuMimi mtu akiniuliza hayo maswali naonaga uelewa mdogo pia people wanaona marriage ni achievement hata ka hawafurahii hzo ndoa, pia Kuna watu kazi yao huwa ni kuuliza makabila ya watu tu sijui hutaka kutambika. In short our society bado haijafikia level ya maturity flani
Sasa naona tatizo hapo. Tofautisha casual talk na ushauriJasmoni Tegga sio kila mtu anaweza kukuongelea personal life yako. Ingekua wazazi au watu wa karibu mbona powa tuu
Sasa unaniluza nimeolewa? Nina mtoto? Halafu vyote nakujibu hapana.... unaendelea zaa wewe, unazeeka!
Unataka nizae bila mipango?
Watu wa karibu hawawezi kuuliza sana kwa kuwa wanakufahamu. Hawezi kukuuliza wakati anaona maisha yako ya kila siku ,so wanaouliza ni sahihi kuwa hawajui mambo yako wanahitaji kufahamu, as long as hawakuzibii riziki wape majibu upunguze maswali.Jasmoni Tegga sio kila mtu anaweza kukuongelea personal life yako. Ingekua wazazi au watu wa karibu mbona powa tuu
Sasa unaniluza nimeolewa? Nina mtoto? Halafu vyote nakujibu hapana.... unaendelea zaa wewe, unazeeka!
Unataka nizae bila mipango?