Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

Watu wanapenda kuulizwa vile vitu wanavyotaka. Nawashauri tu kabla ya maongezi basi wajiwekee perimeters za mazungumzo yao. La sivyo akina Mama D na the like waendelee kuwa wavumilivu.
Kabisa kabisa.

Ukitaka kumuelewa mtu usichague maneno ya kusikia toka kwake mpe uhuyu aongee kila anavyoweza.
 
Kweli kabisaa, kuna maswali ukimuuliza mtu hayana maana wala faida wala ustaarabu
Ni ujinga mtupu tena swala la ndoa unakuta ni wanaume wanashupalia sasa wewe ka umeoa unafikiria wote wanafikiria ka wewe, unaongelea watoto mwenzako Hana kizazi huoni ni kumpa machungu.
Pia mtu mwingine akizeeka bila mtoto wewe inakuhusu nini, to me hayo maswali huwa yako na discrimination flani KWA walengwa
 
Hyo ya kabila inanichefua kwelikweli eti mbona hufananinii na Hilo kabila lako kuanzia sura, sasa walitaka nifaneneje jamani, aaargh Kuna mwaswali yanakera na bado na kuolewa wewe umeolewa shukuru Mungu.
Ni asili ya wanadamu kudadisi
 
Watu wanapenda kuulizwa vile vitu wanavyotaka. Nawashauri tu kabla ya maongezi basi wajiwekee parameters za mazungumzo yao. La sivyo akina Mama D na the like waendelee kuwa wavumilivu.
Mimi sina shida na hayo maswali japo siyapendi, ila ujue ukiniuliza maswali personal ujue nakujibu na kukuuliza swali pia.
Una watoto wangapi? Sina, wewe unao wangapi? Ukijibu wawili, nakupa ombi uzae na mimi rasmi bila kificho. Huo ndio msaada wangu
 
Marital status ni muhimu kwenye utoaji wa huduma.

Ni vizuri mtu akikujua ili aone nmna ya kukuhudumia.

Kuna mambo ukiwa single huwrzi kufanya na mambo ukiwa na familia huwezi kufanya.

Mfano: 1. Kuna siku niliwasikia Tumaini na Kiwewe ( hawa ni comedians ) walipelekwa na promoters Morogoro halafu promoter akawa amewachukulia chumba kimoja akidhani ni wapenzi kumbe siyo.

2. Ukitaka kwenda kusoma Ulaya ( mostly ) laxima uulizwe ili wajue kama utarudi au ndio utazamia.

3.Hata hapa Tanzania kusema una familia ni vizuri ili hata likikukuta lote watu wajue wanaanzia wapi.

4. Binafsi hili suala la mahusiano naona linafanana na lile la umri. Kuna watu wao kila mwaka wanapunguza umri. Ukiangalia unaona kabisa kuna stages kwenye maisha hukuzifanya na unaishi kwa GUILTY.

Suala la familia, mahusiano ni NATURE isiyoepukika.
 
Kuweni wapole jamani maana maswali mengine huwaga yamebeba bata, bati na bahati.
 
Kwenda zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu hana nguvu ZA kiume, mke anamvumilia hajaamua kumtafutia mtoto halafu wewe unamwambia hizo mambo! Acheni wataalamu waongee nao kitaalam... mnaumiza watu na madhara yake ni makubwa
 
Marital status ni muhimu kwenye utoaji wa huduma.

Ni vizuri mtu akikujua ili aone nmna ya kukuhudumia.

Kuna mambo ukiwa single huwrzi kufanya na mambo ukiwa na familia huwezi kufanya.

Mfano: 1. Kuna siku niliwasikia Tumaini na Kiwewe ( hawa ni comedians ) walipelekwa na promoters Morogoro halafu promoter akawa amewachukulia chumba kimoja akidhani ni wapenzi kumbe siyo.

2. Ukitaka kwenda kusoma Ulaya ( mostly ) laxima uulizwe ili wajue kama utarudi au ndio utazamia.

3.Hata hapa Tanzania kusema una familia ni vizuri ili hata likikukuta lote watu wajue wanaanzia wapi.

4. Binafsi hili suala la mahusiano naona linafanana na lile la umri. Kuna watu wao kila mwaka wanapunguza umri. Ukiangalia unaona kabisa kuna stages kwenye maisha hukuzifanya na unaishi kwa GUILTY.

Suala la familia, mahusiano ni NATURE isiyoepukika.
Sijui kama maua haya yatakuelewa maana yalivyochangamka leo
 
Ukiulizwa kwenye level hiyo ya mawasliano sio tabu
Shida iko kitaa pale ambako kila mtu anataka uishi anachokiamini yeye
 
Mambo ya watu siyo mabaya siku zote. Watu ni kama kioo, kuna vitu huvioni wao wanaviona.

Ni sawa na Uwanja wa mpira, ukiwa nje unaona sana.

Kwahiyo ukiona watu wanakusema sana maana yake kuna vitu unapaswa kurekebisha Kwasababu watu hao hao ndio unaishi nao.

In short ni kawaida kwa mtu kuwa na familia akishakuwa mtu mzima. Sasa kama hana lazima kutakuwa na sababu.
 
Na hiyo sababu iheshimike
Inaweza kuwa sababu binafsi sana
 
Back
Top Bottom