Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Binafsi namheshimu mtu yeyote kwa maamuzi yake ilimradi hayo maamuzi hayana athari kabisa kwa watu wengine.Na hiyo sababu iheshimike
Inaweza kuwa sababu binafsi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi namheshimu mtu yeyote kwa maamuzi yake ilimradi hayo maamuzi hayana athari kabisa kwa watu wengine.Na hiyo sababu iheshimike
Inaweza kuwa sababu binafsi sana
Transparency ni nzuri. Usiwaweke watu kwenye mabano, haipendeziNa hiyo sababu iheshimike
Inaweza kuwa sababu binafsi sana
Dunia inabadilikaje mintarafu jambo hili na fikra za kitambo zilikuwaje dhidi ya hizi za sasa ?Dunia inabadilika....watu hatutaki kubadilika....bado tunafrika za kitambo.[emoji6][emoji854]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasikia unaumwa?
Unaumwa nini??
Hivi Mama D nikikuuliza jina lako nani, hilo si jambo personal!??? Halafu, kama hufeel kuulizwa kitu by then, unasema tu ^pass^ kama zile brain challenges. Inaeleweka. Maswali utaulizwa tu, utake usitake. Ndiyo nature ya mwanadamu, no way.Transparency ni nzuri ndio.
Ila hiyo transparency ni kwa nani?
Ukizaa hivyo wanavyoshauri kibao kinabadilika unaitwa msimbe umejizalia bila ndoa[emoji3]Mimi wamenichosha mpaka inakera, kila siku ni unaolewa lini? Ina maana hujapata hata mchumba? Kama unaona hapaeleweki si uzae hata mwanao ulee,
Sasa kinachoshangaza hujawahi omba ushauri kwao jinsi ya kupeleka maisha yako, lakini ndiyo vinara wa kukupangia, ukirudi nyumbani huko mkoani ndiyo utajuta, jamani watupumzishe, maisha yana mipango yake hatupaswi kukurupuka tu..!
Una wake na watoto wangapi Jurjani?Kwani huu utamaduni wa kusubiri posa kwa waafrika umetoka wapi ? Tamaduni nyingine za ajabu sana, lakini swali lingine ukiwa unasubiria hiyo posa una kuwa unachachua au huchachui ? Kama jibu ni la kipengele cha kwanza basi kazi unayo.
Lakini, pili kwani kuna ubaya gani ukiulizwa maswali hayo kwamba umeoa au umeolewa au una wake wangapi au watoto wangapi ? Kuoa mbona jambo zuri sana na kuwa na watoto kadhalika kinyume cha viwili hivyo ni makadadirio tu kisha subira ifate.
Nipo ....
Sasa hayo maswali ni magumu kuliko hata ya familia.Ni Maswali ambayo sijawahi uliza, maswali yangu ni; Unajishughulisha na nini? Umejenga? Nyumba ngapi? Ushanunua usafiri?
Sasa hayo maswali ni magumu kuliko hata ya familia.
Pole sana. Huwa hatuulizi kwa nia mbaya bali ni kwa nia njema tu. Kwa sababu huenda anayekuuliza hivyo unakuta amependa /amevutiwa na wewe. Hivyo unakuta anatamani uwe mtu wake so ni lazima aulize ili ajue hali yako ya mahusiano na hali za uzao wako. Akishajua kwamba jimbo liko wazi basi atapambana ili uwe wake.Haya maswali binafsi huwa nayachukia sana japo kweli nimeolewa na nina watoto. Ni maswali too personal kumuuliza mtu mzima mwenye akili zake maamuzi yake. Ila bahati mbaya ni maswali ambayo watu wengi huwa wanapenda kuuliza bila hata kuwaza hisia za wale wanaowauliza.
Tena heri haya maswali yatoke kwa mzazi au mtu wa karibu kuliko ilivyo kawaida kwa sasa.
Sikia Mama D katika maisha haya ya hapa Duniani huwezi mpata mwenye vigezo vyote kama unavyohitaji iwe kwa asilimia 100 kwa sababu sisi ni binadamu hivyo hatujakamilika. Hivyo hata ukimpata mwenye vigezo vyote kuna sehemu tu atakuwa anapwaya. Tupunguze standards nyingi.Watu tujue kuwa single au kuwa kwenye mahusiano ni hali tuu kama ilivyo kuwa na kitu flani au kukosa kitu kingine kwenye maisha
Mtu anaweza kuwa single hajawa tayari kuingia kwenye jukumu la ndoa, sio sababu amekosa mtu wa kuoana nae kama wengi wanavyodhani
Kuna wakati mtu anakua single lakini anatamani sana kuwa ndani ya mahusiano ila anashindwa sababu hajampata mwenye sifa anazotaka
Wakati mwingine mtu yuko single sababu hana uwezo wa kuwa na mahusiano labda ana mapungu aliyozaliwa nayonayo
Na pia mtu anaweza kuwa single sababu alishapitia mahusiano yakamvuruga na kumpa maumivu makubwa sana, kwa hiyo kwake kuwa peke yake ndio amani
Ndoa na familia ni jambo la heri kwa wanadamu lakini pia sio amri useme lazima kila mtu aoe/aolewe; na Kuwa ndani ya ndoa au kuwa na watoto sio ujanja na kukosa iwe ujinga! Hata kwenye vitabu vitakatifu kuna watu ambao hawakuwahi kuoa/kuolewa, kuna watu walioolewa/walioowa wasipate watoto, na wapo watu walioowa/kuolewa katika umri mkubwa pia.
Yote juu ya yote, mipango ya Mungu ni sahihi na mawazo yake ni mawazo sahihi kwetu.
Hawa watarajiwa hapa wanatukumbusha kumshukuru Mungu kwa maisha tuliyo nayo, kumwomba Mungu afanye kwa wakati wake
View attachment 1695876
Haya mambo uulizwe na watu wako wa karibu ni sawa sio unakutana na mtu ana watoto wake7 kama mama D halafu anakuuliza Rory una watoto wangapi? Unamwambia sina. Anaendelea umeolewa? Unamjibu hapana. Anaongeza tafuta mwanaume wewe uzae.... unazeeka[emoji41]
Hahahahaa