Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri shekh!Shukrani sana, katikati ya mwaka huu naongeza chuma cha tatu.
Wanaume tunasifiwa kuoa sana na si kuacha.
Kwahiyo unadanganya?Mi huwa nasema nimeoa maana sina namna
Maswali uliyoulizwa ni maswali ya commitment (kukata shauri). Ulivyochambua kwamba yanakukera ni busara tupu!Kwanini nife lakini 50thebe 😅😅😅😅
Shukrani sana.Kila la kheri shekh!
Haya maswali binafsi huwa nayachukia sana japo kweli nimeolewa na nina watoto. Ni maswali too personal kumuuliza mtu mzima mwenye akili zake maamuzi yake. Ila bahati mbaya ni maswali ambayo watu wengi huwa wanapenda kuuliza bila hata kuwaza hisia za wale wanaowauliza.
Tena heri haya maswali yatoke kwa mzazi au mtu wa karibu kuliko ilivyo kawaida kwa sasa.
Watu tujue kuwa single au kuwa kwenye mahusiano ni hali tuu kama ilivyo kuwa na kitu flani au kukosa kitu kingine kwenye maisha
Mtu anaweza kuwa single hajawa tayari kuingia kwenye jukumu la ndoa, sio sababu amekosa mtu wa kuoana nae kama wengi wanavyodhani
Kuna wakati mtu anakua single lakini anatamani sana kuwa ndani ya mahusiano ila anashindwa sababu hajampata mwenye sifa anazotaka
Wakati mwingine mtu yuko single sababu hana uwezo wa kuwa na mahusiano labda ana mapungu aliyozaliwa nayonayo
Na pia mtu anaweza kuwa single sababu alishapitia mahusiano yakamvuruga na kumpa maumivu makubwa sana, kwa hiyo kwake kuwa peke yake ndio amani
Ndoa na familia ni jambo la heri kwa wanadamu lakini pia sio amri useme lazima kila mtu aoe/aolewe; na Kuwa ndani ya ndoa au kuwa na watoto sio ujanja na kukosa iwe ujinga! Hata kwenye vitabu vitakatifu kuna watu ambao hawakuwahi kuoa/kuolewa, kuna watu walioolewa/walioowa wasipate watoto, na wapo watu walioowa/kuolewa katika umri mkubwa pia.
Yote juu ya yote, mipango ya Mungu ni sahihi na mawazo yake ni mawazo sahihi kwetu.
Hawa watarajiwa hapa wanatukumbusha kumshukuru Mungu kwa maisha tuliyo nayo, kumwomba Mungu afanye kwa wakati wake
View attachment 1695876
Kuchukia ni UDHAIFU,jibu huenda utapata uponyaji wa tatizo lako au DHARAU(kataa kujibu) huenda utabaki na tatizo lako mpk kufa.Haya maswali binafsi huwa nayachukia sana japo kweli nimeolewa na nina watoto. Ni maswali too personal kumuuliza mtu mzima mwenye akili zake maamuzi yake. Ila bahati mbaya ni maswali ambayo watu wengi huwa wanapenda kuuliza bila hata kuwaza hisia za wale wanaowauliza.
Tena heri haya maswali yatoke kwa mzazi au mtu wa karibu kuliko ilivyo kawaida kwa sasa.
Watu tujue kuwa single au kuwa kwenye mahusiano ni hali tuu kama ilivyo kuwa na kitu flani au kukosa kitu kingine kwenye maisha
Mtu anaweza kuwa single hajawa tayari kuingia kwenye jukumu la ndoa, sio sababu amekosa mtu wa kuoana nae kama wengi wanavyodhani
Kuna wakati mtu anakua single lakini anatamani sana kuwa ndani ya mahusiano ila anashindwa sababu hajampata mwenye sifa anazotaka
Wakati mwingine mtu yuko single sababu hana uwezo wa kuwa na mahusiano labda ana mapungu aliyozaliwa nayonayo
Na pia mtu anaweza kuwa single sababu alishapitia mahusiano yakamvuruga na kumpa maumivu makubwa sana, kwa hiyo kwake kuwa peke yake ndio amani
Ndoa na familia ni jambo la heri kwa wanadamu lakini pia sio amri useme lazima kila mtu aoe/aolewe; na Kuwa ndani ya ndoa au kuwa na watoto sio ujanja na kukosa iwe ujinga! Hata kwenye vitabu vitakatifu kuna watu ambao hawakuwahi kuoa/kuolewa, kuna watu walioolewa/walioowa wasipate watoto, na wapo watu walioowa/kuolewa katika umri mkubwa pia.
Yote juu ya yote, mipango ya Mungu ni sahihi na mawazo yake ni mawazo sahihi kwetu.
Hawa watarajiwa hapa wanatukumbusha kumshukuru Mungu kwa maisha tuliyo nayo, kumwomba Mungu afanye kwa wakati wake
View attachment 1695876
TATIZO UNAJIJIBU WEWE,SWALI USILOULIZA.Mara nyingi wanaoulizaga hata sio wa kutoa suluhu.....
Unamwambia "niombeee nipate Mme mwema" imeisha...Haya mambo uulizwe na watu wako wa karibu ni sawa sio unakutana na mtu ana watoto wake7 kama mama D halafu anakuuliza Rory una watoto wangapi? Unamwambia sina. Anaendelea umeolewa? Unamjibu hapana. Anaongeza tafuta mwanaume wewe uzae.... unazeeka[emoji41]
Hahahahaa
Haaaah weng michepuko wa waume za watu,sasa inawauma kuulizwa hvyo wanadhania wanajulikana wanachepuka na sisi,kumbe n siri ..Maswali ya kawaida tu
Kama umeolewa unasema kweli na kama bado unasema tu bado na kama ni tasa unasema tu. sioni ugumu wowote hapo mama ake D .
Yaani Simple and clear
30+ lazima ukasirike na roho iiume kwa maswali madogo, ila ukiwa 25- huwez kasirika,utajibu na kujibikaMimi wamenichosha mpaka inakera, kila siku ni unaolewa lini? Ina maana hujapata hata mchumba? Kama unaona hapaeleweki si uzae hata mwanao ulee,
Sasa kinachoshangaza hujawahi omba ushauri kwao jinsi ya kupeleka maisha yako, lakini ndiyo vinara wa kukupangia, ukirudi nyumbani huko mkoani ndiyo utajuta, jamani watupumzishe, maisha yana mipango yake hatupaswi kukurupuka tu..!
Kwa kweli kwingi nimehitimuMaswali uliyoulizwa ni maswali ya commitment (kukata shauri). Ulivyochambua kwamba yanakukera ni busara tupu!
Lakini wanaouliza haya maswali wanajikinga wasipate dharuba maana ima wamekata shauri ama wako mbioni kukata shauri juu yako. Hivyo kuuliza ni kupata mwelekeo kuhusu commitment yao kwako.
Hata hivyo nakuelewa mtazamo wako...uko sahihi! Pia usisite kuwajulisha kuwa hizi hatua kwako ushahitimu.
mama D kama na maswali murua kama haya yanakuudhi, basi utakuwa unaudhiwa na mambo mengi sana hapa duniani. Pole sana, lakini.
[emoji3][emoji3]ukiamua kuzaa mwisho wanakusema tena single mother, Africa tunajijua wenyeweMimi wamenichosha mpaka inakera, kila siku ni unaolewa lini? Ina maana hujapata hata mchumba? Kama unaona hapaeleweki si uzae hata mwanao ulee,
Sasa kinachoshangaza hujawahi omba ushauri kwao jinsi ya kupeleka maisha yako, lakini ndiyo vinara wa kukupangia, ukirudi nyumbani huko mkoani ndiyo utajuta, jamani watupumzishe, maisha yana mipango yake hatupaswi kukurupuka tu..!
Akikudanganya jeUmeolewa?
Nikikuuliza hivyo labda ni vile nataka nijue status yako kabla nikupige sound nisije kutongoza mke wa mtu.