Mataifa ambayo ni vigumu kuyavamia kijeshi duniani

Hao Russian siwamesha vamiwa,ama huu Uzi niwa Zamani!!, hebungoja niangalie tarehe!.
Ndio nashangaa hapa mkuu, wakati waukrenians wapo ndani ya mpaka wa Russia wakikinukisha😆😆
 
Wanachuana? Hivi unaweza thubutu kumringanisha US na China upande wa Tech? Tukisema hapa tuweke Tech ambazo US kaanzisha na China kaanzisha utaona kuna mringano? Hizi Tech ambazo China anaendeleza ndo mnamringanisha na US?
Unazungumzia kuanzisha katika dunia hii hili ni historia pana sipo hapa kulinganisha nani ama nani kaanzisha kipi na kipi hiyo ni historia ndefu inayohitaji somo lake.

Dunia inatazama yupi mwenye teknolojia bora na anatumia katika kujiimarisha na sio nani ameaanzisha kipi ama kipi.

Tukianza mchezo wa kusema nani kaanzisha nini historia haitaishia kwa China na marekani pekee yata ongezeka utitiri wa mataifa ya duniani tutakesha.
 
Nakubali kiongozi, China inajitahidi ku catch up lakini hadi leo si kwamba anaipita Japan kwa kila eneo kwenye tech.

Vingine ni ushabiki tu.
Hata South Korea ina i challenge China vizuri tu.
 
Nafasi aliyo nayo China Japan hakuwahi kuwa nayo kwanza kabisa kabla ya kwenda mbali kitendo tu cha Japan kutokuwa huru toka mikononi ya usimamizi na uangalizi wa U.S Japan alikuwa hana nafasi ya kumpiku U.S hii ni tofauti kabisa kulinganisha na taifa huru la China.

Hawa Japan na China wana historia mbili tofauti za ukuaji wao.
 
Umeshaambiwa ufanisi wa Iron done ni 90%
 
Hivi
Hivi hii taarifa kuna mtu anaipinga kweli? Kama yupo bhasi haina haja ya kubishana nae maana it will be an energy waste. Dunia nzima ilishuhudia kuanzia mikwara ya China mpaka ndege ya Pelosi kuanza safari mpaka inatua Taiwan
 
Hivi

Hivi hii taarifa kuna mtu anaipinga kweli? Kama yupo bhasi haina haja ya kubishana nae maana it will be an energy waste. Dunia nzima ilishuhudia kuanzia mikwara ya China mpaka ndege ya Pelosi kuanza safari mpaka inatua Taiwan
Mtu anabisha mkuu.
 
Mwambie anuse pale Taiwan kama mwenzie alivyonusa Ukraine. Achana na tawimu za vita pekee pasipo uzoefu wa mapambano, China mweupe tu kama alivyo Russia.
Unatumia hisia na akili za kitoto katika mambo ambayo wazee wanazo zifahamu historia za taifa lao vyema hawakukurupuka.

Unaweza niambia wewe una akili sana kuliko Xi na wazee wenzake wa kile chama chao juu ya mgogoro wa Taiwan ? Haya mambo hayataki hisia, matamanio yako binafsi ukichanganya na mihemko bwana mdogo mataifa makubwa hayaendeshwi hivyo vile utakavyo wewe.
 
Acha kutumia hisia katika mambo yanayo hitaji fikra pana.

Unafikiri China imeanza juzi tu China ipo hapa duniani kwa continous civilization ya zaidi ya miaka 5000 sina hakika kama kuna taifa duniani lililo hai lenye historia hii.

China hajaanza kuendelea juzi anachofanya sasa ni marudio ya yale aliyokuwa anafanya kale na kale usimchukulie China poa sawa na U.S

Historia aliyonayo China marekani hana labda uichuke ulaya kwa ujumla.

Soma historia ya dunia bwana mdogo.
 
Unatumia hisia zako na matamanio yako ya nini China angefanya mambo hayaendi hivyo unavyotaka wewe yangefanyika.

Kwa fikra zako hizi si ajabu China angekuwa anagombana na mataifa mengi sana.

Mataifa makubwa hajiamkii tu na kuanza kupigana kwa hisia binafsi.
 
Umeshaambiwa ufanisi wa Iron done ni 90%
Huo ufanisi wa 90% wa irondome umetoka wapi ilhali mwaka huu ripoti zinaonesha Israel imeshindwa kuzuia makombora ya Hizbollah?
Kaskazini mwa Galilaya raia takriban laki tatu wamehama kuhofia usalama wa mashambulizi ya wanamgambo wa Lebanon.
Sasa huo ufanisi wa iron dome uko wapi!??
 
Hivi

Hivi hii taarifa kuna mtu anaipinga kweli? Kama yupo bhasi haina haja ya kubishana nae maana it will be an energy waste. Dunia nzima ilishuhudia kuanzia mikwara ya China mpaka ndege ya Pelosi kuanza safari mpaka inatua Taiwan
Kama wewe ni mtu unayefuatilia diplomasia kwa wingi huwezi ukatilia shaka uwezo wa China eti kisa katoa mikwara kwa USA na hajaitimiza.
Mataifa makubwa sio MBUMBUMBU kama wewe kijana mdogo.
Huwa wanapima athari ya wanachotaka kufanya.
China hajaifanyia annexation Taiwan,ana authority gani ya kuiamulia Taiwan!??
Embu tizama Hong Kong mbona USA hadi leo hii anashindwa kuingilia anachofanya China Hong Kong!?
Tizama South China sea ambako Phillipines aliibiwa visiwa na China,mbona USA alitishiwa na Dongfeng ballistic missiles na akaondoa Aircraft carriers zake??
Subiri China awe ana total sovereignty juu ya Taiwan halafu uone nini na kipi anaweza kufanya.
 
Achana na Wa Israel wa igwamamnoni huku utaambiwa lile ni Taifa la Mungu.
 
Yani wametoa sababu nyepesi sana aisee.
Mbaka nawashangaa.
 
Hujaolewa maana ya 90%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…