daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Hezbollah hawajavamia wala Israel hawajavamia LebanonNa izrael Kesha vamiwa na Hezbollah na Hamas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hezbollah hawajavamia wala Israel hawajavamia LebanonNa izrael Kesha vamiwa na Hezbollah na Hamas
Ndio nashangaa hapa mkuu, wakati waukrenians wapo ndani ya mpaka wa Russia wakikinukisha😆😆Hao Russian siwamesha vamiwa,ama huu Uzi niwa Zamani!!, hebungoja niangalie tarehe!.
Ukraine wanagusagusa tu, hata Russia isipojibu hawawezi kufika mbaliNdio nashangaa hapa mkuu, wakati waukrenians wapo ndani ya mpaka wa Russia wakikinukisha😆😆
Unazungumzia kuanzisha katika dunia hii hili ni historia pana sipo hapa kulinganisha nani ama nani kaanzisha kipi na kipi hiyo ni historia ndefu inayohitaji somo lake.Wanachuana? Hivi unaweza thubutu kumringanisha US na China upande wa Tech? Tukisema hapa tuweke Tech ambazo US kaanzisha na China kaanzisha utaona kuna mringano? Hizi Tech ambazo China anaendeleza ndo mnamringanisha na US?
Tafiti ya miaka hiyoHao Russian siwamesha vamiwa,ama huu Uzi niwa Zamani!!, hebungoja niangalie tarehe!.
Nakubali kiongozi, China inajitahidi ku catch up lakini hadi leo si kwamba anaipita Japan kwa kila eneo kwenye tech.Naomba nikukumbushe kitu mkuu. Miaka ya nyuma US alipambanishwa na Japan kitech kama hivi leo inavyopambanishwa na US na China, Japan ilikuwa hatari ktk Tech mpaka ikahisiwa kuchukua dola endapo US ikianguka.
Japan imewahi kuwa na makampun makubwa sana aseee, ni vile tu vijana wa sasa tunajitoa ufahamu au wengine hawajui kabisa.
Nafasi aliyo nayo China Japan hakuwahi kuwa nayo kwanza kabisa kabla ya kwenda mbali kitendo tu cha Japan kutokuwa huru toka mikononi ya usimamizi na uangalizi wa U.S Japan alikuwa hana nafasi ya kumpiku U.S hii ni tofauti kabisa kulinganisha na taifa huru la China.Naomba nikukumbushe kitu mkuu. Miaka ya nyuma US alipambanishwa na Japan kitech kama hivi leo inavyopambanishwa na US na China, Japan ilikuwa hatari ktk Tech mpaka ikahisiwa kuchukua dola endapo US ikianguka.
Japan imewahi kuwa na makampun makubwa sana aseee, ni vile tu vijana wa sasa tunajitoa ufahamu au wengine hawajui kabisa.
Umeshaambiwa ufanisi wa Iron done ni 90%Kwa Israel ninaitoa kwenye list naiweka Mongolia.
Israel imeshavamiwa mara kibao na hata hiyo iron dome yake inayosifiwa imeonesha failure kaskazini mwa Galilaya kwa kushindwa kuzuia makombora ya kundi la wapiganaji wa Hizbollah.
Hiyo imepelekea wakaazi takriban laki tatu wahame kaskazini mwa Israel kuja kanda ya kati ya Israel.
Sababu ya kuiweka Mongolia badala ya Israel ni kwasababu Mongolia ipo katikati ya China na Russia.
Na Mongolia ni mshirika kiuchumi na kijeshi wa nchi zote mbili China na Russia.
Ili uivamie itakubidi uvuke anga la China au Russia kitu ambacho haiwezekani.
Kwa Bhutan ningeiweka China,kwasababu licha ya sababu za kijiografia walizozieleza India sio mwanachama strong in millitary wise.
Hivi hii taarifa kuna mtu anaipinga kweli? Kama yupo bhasi haina haja ya kubishana nae maana it will be an energy waste. Dunia nzima ilishuhudia kuanzia mikwara ya China mpaka ndege ya Pelosi kuanza safari mpaka inatua TaiwanNikuelezee vyema.
Ndege ya Pelosi ndio iliongoza duniani kwa wakati wote kufuatiliwa na watu ilipokuwa inakwenda Taiwan, watu zaidi ya 2.4 million duniani walikua wakifuatilia kwenye platforms na Apps za ku track ndege kama flightradar n.k
Kutokana na watu kuwa wengi servers za flightradar zili crash na mimi nilikua mmoja wapo nikifuatilia movement za hio ndege ikiingia anga la Taiwan.
Kila mmoja wetu tukijua leo China itafanya kitu. Hakuna walichofanya. Ilikua mikwara.
Ndege ilikuwa tracked na watu wengi zaidi tokana na onyo la China dhidi ya Pelosi kuingia Taiwan. China isingetoa onyo hakuna mtu angehangaika kufuatilia.
Mtu anabisha mkuu.Hivi
Hivi hii taarifa kuna mtu anaipinga kweli? Kama yupo bhasi haina haja ya kubishana nae maana it will be an energy waste. Dunia nzima ilishuhudia kuanzia mikwara ya China mpaka ndege ya Pelosi kuanza safari mpaka inatua Taiwan
Unatumia hisia na akili za kitoto katika mambo ambayo wazee wanazo zifahamu historia za taifa lao vyema hawakukurupuka.Mwambie anuse pale Taiwan kama mwenzie alivyonusa Ukraine. Achana na tawimu za vita pekee pasipo uzoefu wa mapambano, China mweupe tu kama alivyo Russia.
Acha kutumia hisia katika mambo yanayo hitaji fikra pana.Ukimuona mtu yeyote amesimama sana na China dhidi ya US, ujue ana chuki zake binafsi na US. Ni ukweli usiopingika bila US na Ulaya China isingefika hapo kimaendeleo.
Tukizungumzia watu ambao wapo bright kichwani, Mjapan huwezi kumwondoa. Wewe angalia Japan ana resource ipi ya maana nchini kwake zaidi ya watu? Ila ona maendeleo ya nchi yalivyo makubwa, fikiria sasa angekuwa na resources kama China na Russia angekuwa wapi...
Unatumia hisia zako na matamanio yako ya nini China angefanya mambo hayaendi hivyo unavyotaka wewe yangefanyika.Nikuelezee vyema.
Ndege ya Pelosi ndio iliongoza duniani kwa wakati wote kufuatiliwa na watu ilipokuwa inakwenda Taiwan, watu zaidi ya 2.4 million duniani walikua wakifuatilia kwenye platforms na Apps za ku track ndege kama flightradar n.k
Kutokana na watu kuwa wengi servers za flightradar zili crash na mimi nilikua mmoja wapo nikifuatilia movement za hio ndege ikiingia anga la Taiwan.
Kila mmoja wetu tukijua leo China itafanya kitu. Hakuna walichofanya. Ilikua mikwara.
Ndege ilikuwa tracked na watu wengi zaidi tokana na onyo la China dhidi ya Pelosi kuingia Taiwan. China isingetoa onyo hakuna mtu angehangaika kufuatilia.
Huo ufanisi wa 90% wa irondome umetoka wapi ilhali mwaka huu ripoti zinaonesha Israel imeshindwa kuzuia makombora ya Hizbollah?Umeshaambiwa ufanisi wa Iron done ni 90%
Kama wewe ni mtu unayefuatilia diplomasia kwa wingi huwezi ukatilia shaka uwezo wa China eti kisa katoa mikwara kwa USA na hajaitimiza.Hivi
Hivi hii taarifa kuna mtu anaipinga kweli? Kama yupo bhasi haina haja ya kubishana nae maana it will be an energy waste. Dunia nzima ilishuhudia kuanzia mikwara ya China mpaka ndege ya Pelosi kuanza safari mpaka inatua Taiwan
Achana na Wa Israel wa igwamamnoni huku utaambiwa lile ni Taifa la Mungu.Huo ufanisi wa 90% wa irondome umetoka wapi ilhali mwaka huu ripoti zinaonesha Israel imeshindwa kuzuia makombora ya Hizbollah?
Kaskazini mwa Galilaya raia takriban laki tatu wamehama kuhofia usalama wa mashambulizi ya wanamgambo wa Lebanon.
Sasa huo ufanisi wa iron dome uko wapi!??
Yani wametoa sababu nyepesi sana aisee.Unatumia hisia zako na matamanio yako ya nini China angefanya mambo hayaendi hivyo unavyotaka wewe yangefanyika.
Kwa fikra zako hizi si ajabu China angekuwa anagombana na mataifa mengi sana.
Mataifa makubwa hajiamkii tu na kuanza kupigana kwa hisia binafsi.
Hujaolewa maana ya 90%Huo ufanisi wa 90% wa irondome umetoka wapi ilhali mwaka huu ripoti zinaonesha Israel imeshindwa kuzuia makombora ya Hizbollah?
Kaskazini mwa Galilaya raia takriban laki tatu wamehama kuhofia usalama wa mashambulizi ya wanamgambo wa Lebanon.
Sasa huo ufanisi wa iron dome uko wapi!??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Waziri wao wa ulinzi huyu hapa ana teknolojia kali sana inaitwa kinyumenyume. Hapa huvamiiView attachment 3083685