ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kila kitu na wakati wake na utaratibu wake, hapa kuna utaratibu wake na huko kuna utaratibu Wake ,usichanganye ambavyo havina mchanganyikoMungu huyo anasubiri ufike pepo ndo akupe mito ya maziwa, asali na maji yasiyovunda? Ila hapa anashindwa kukupa? Watu wanakufa kwa njaa akidai kwamba nitakupa ukifika pepo?
Propaganda kivip wakati habari zipo mitandaoni jinsi mchina anavyodhibiti waislamPole, umelishwa propaganda
Wakati tuna walaani Hamas vile vile , tuwalaani Israel kwa kitendo chao cha kuwafanya watumwa wapalestinaNdugu Watanzania napendekeza tuitishe Maandamano ya kuwalaani HAMAS kwa kitendo chao cha Kinyama cha kuwaua vijana wetu wawili wa Kitanzania.
HAMAS Liwatokee lolote Baya.
Na waangamizwe wote kwa namna yoyote ile.
hahaha.Baada ya kibano allah alikimbia kwa sasa yupo zake huko tarime anawamasisha walime bangi.
Vyanzo vya West havijawahi kusema vizuri kuhusu Waislam wa XinjiangPropaganda kivip wakati habari zipo mitandaoni jinsi mchina anavyodhibiti waislam
Kwa hiyo hata wewe unakula kitimoto?Wawalishe tatizo lipo wapi!?😅😅kama mtu anakula ale tu.
Kuna mambo ya kushirikiana na watu wengine na kuna mambo hupaswi kushirikiana na watu wengine, hata wale VATICAN sio kila jambo wanashirikiana na watu wasio wa imani yao , hili jambo la kawaidaWashirikiane wao kwa wao maana wanasemaga hakuna urafiki kati ya muislamu na kafiri, muislamu ndugu yake muislamu....
China wanawadhibiti kweli kweli hasa uislam wa siasa kali aka mujaheedeenVyanzo vya West havijawahi kusema vizuri kuhusu Waislam wa Xinjiang
Unajaribu tu kumtetea kumfnya aonekane ni mwenye utaratibu kumbe si muweza wa yote.Kila kitu na wakati wake na utaratibu wake, hapa kuna utaratibu wake na huko kuna utaratibu Wake ,usichanganye ambavyo havina mchanganyiko
Nani kasema Uteseke? kama kuishi kwa amri zake Mungu kwako ni mateso hili tatizo lako, lakini malipo ya kuishi kwa amri za Mungu na mafundisho ni lazima ulipwe kwa wakati husikaUnajaribu tu kumtetea kumfnya aonekane ni mwenye utaratibu kumbe si muweza wa yote.
Huwezi kusema mwenye nguvu zote Halafu ukawa na limitation kwa watu unaodai Wewe ndo umewaumba kwamba uteseke duniani Halafu ukija kwangu nije kukupa pombe.
Imani inahitaji mtu ajitoe akili Kama zile hekaya za kiyahudi za punda kuongea na watu kulishwa mikate.
Sili mauchafu ...Kwa hiyo hata wewe unakula kitimoto?
Sasa Mbona unafurahia ndugu zako katika imani kulishwa kwa nguvu huko China. YSili mauchafu ...
Wale si wao kwani ni mm? We mbona unafurahi ndugu zako wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbile na kufungishwa ndoa kanisani na papa karuhusu?😅Sasa Mbona unafurahia ndugu zako katika imani kulishwa kwa nguvu huko China. Y
Uislamu unakutesa sana , labda nikuhakikishie hauwezi kuisha hata ukijinyonga, China ni mmoja wa nchi zenye kura ya VETO hakuna shida yeyote kwa nchi za kiisalmu kwenda kuomba msaada maana hata wao ni wanachama wa umoja wa mataifa, halafu mbona wakinunua vitu vingine kama simu, nguo, n.k kutoka huko huko China waraka kama huu wa hovyo hovyo hakuna
SI KWELIChina wanawadhibiti kweli kweli hasa uislam wa siasa kali aka mujaheedeen
Hao mi siwafamuWakati tuna walaani Hamas vile vile , tuwalaani Israel kwa kitendo chao cha kuwafanya watumwa wapalestina
SI KWELI
Xinjiang is more open than you think
Bible inakataza ushoga! Na huyo papa ni wakala wa kuzimu/mpinga kristoWale si wao kwani ni mm? We mbona unafurahi ndugu zako wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbile na kufungishwa ndoa kanisani na papa karuhusu?😅