Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Mungu huyo anasubiri ufike pepo ndo akupe mito ya maziwa, asali na maji yasiyovunda? Ila hapa anashindwa kukupa? Watu wanakufa kwa njaa akidai kwamba nitakupa ukifika pepo?
Kila kitu na wakati wake na utaratibu wake, hapa kuna utaratibu wake na huko kuna utaratibu Wake ,usichanganye ambavyo havina mchanganyiko
 
Ndugu Watanzania napendekeza tuitishe Maandamano ya kuwalaani HAMAS kwa kitendo chao cha Kinyama cha kuwaua vijana wetu wawili wa Kitanzania.

HAMAS Liwatokee lolote Baya.
Na waangamizwe wote kwa namna yoyote ile.
Wakati tuna walaani Hamas vile vile , tuwalaani Israel kwa kitendo chao cha kuwafanya watumwa wapalestina
 
Washirikiane wao kwa wao maana wanasemaga hakuna urafiki kati ya muislamu na kafiri, muislamu ndugu yake muislamu....
Kuna mambo ya kushirikiana na watu wengine na kuna mambo hupaswi kushirikiana na watu wengine, hata wale VATICAN sio kila jambo wanashirikiana na watu wasio wa imani yao , hili jambo la kawaida
 
Kila kitu na wakati wake na utaratibu wake, hapa kuna utaratibu wake na huko kuna utaratibu Wake ,usichanganye ambavyo havina mchanganyiko
Unajaribu tu kumtetea kumfnya aonekane ni mwenye utaratibu kumbe si muweza wa yote.

Huwezi kusema mwenye nguvu zote Halafu ukawa na limitation kwa watu unaodai Wewe ndo umewaumba kwamba uteseke duniani Halafu ukija kwangu nije kukupa pombe.

Imani inahitaji mtu ajitoe akili Kama zile hekaya za kiyahudi za punda kuongea na watu kulishwa mikate.
 
Nani kasema Uteseke? kama kuishi kwa amri zake Mungu kwako ni mateso hili tatizo lako, lakini malipo ya kuishi kwa amri za Mungu na mafundisho ni lazima ulipwe kwa wakati husika
 
Sasa Mbona unafurahia ndugu zako katika imani kulishwa kwa nguvu huko China. Y
Wale si wao kwani ni mm? We mbona unafurahi ndugu zako wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbile na kufungishwa ndoa kanisani na papa karuhusu?😅
 
Uislamu unakutesa sana , labda nikuhakikishie hauwezi kuisha hata ukijinyonga, China ni mmoja wa nchi zenye kura ya VETO hakuna shida yeyote kwa nchi za kiisalmu kwenda kuomba msaada maana hata wao ni wanachama wa umoja wa mataifa, halafu mbona wakinunua vitu vingine kama simu, nguo, n.k kutoka huko huko China waraka kama huu wa hovyo hovyo hakuna

Licha ya kwamba Mchina ni kafiri kama ambavyo huwa mnatukana kila asiyemuabudu huyo muarabu, ila mumekwenda kuomba awasaidie, yule hatosaidia kitu, suluhisho acheni shobo kwa Myahudi, aise hupiga bila huruma, hiyo dini yenu imebuniwa na huyo muarabu na kukuta Wayahudi wapo, hamuwezi kuwafuta.
 
Wakati tuna walaani Hamas vile vile , tuwalaani Israel kwa kitendo chao cha kuwafanya watumwa wapalestina
Hao mi siwafamu

Nasikitika kwa kitendo cha Magaidi wa HAMAS kuuwa Nduguzangu wa Kitanzania wawili.

Hao unaowataja Mimi sijawahi hata kuwaona.
 
Wale si wao kwani ni mm? We mbona unafurahi ndugu zako wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbile na kufungishwa ndoa kanisani na papa karuhusu?😅
Bible inakataza ushoga! Na huyo papa ni wakala wa kuzimu/mpinga kristo
 
Back
Top Bottom