ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kila kitu na wakati wake na utaratibu wake, hapa kuna utaratibu wake na huko kuna utaratibu Wake ,usichanganye ambavyo havina mchanganyikoMungu huyo anasubiri ufike pepo ndo akupe mito ya maziwa, asali na maji yasiyovunda? Ila hapa anashindwa kukupa? Watu wanakufa kwa njaa akidai kwamba nitakupa ukifika pepo?