zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mimi ni mkristo lakini hizi hate speech sio kabisa, hivi JamiiForums mnaachaje nyuzi kama hizi. Vita ni palestina na Israel sasa kukashifiana dini kunaingiaje? waTanzania hatupo hivi, we ain't fascists.Baada ya kibano allah alikimbia kwa sasa yupo zake huko tarime anawamasisha walime bangi.
Hawawezi kusitisha vita mpk mateka wapatikane.jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie( hii sentensi nimeipenda mno mpaka nimecheka )
Ingia YouTube tafuta video za Shekh Sule.Mimi ni mkristo lakini hizi hate speech sio kabisa, hivi JamiiForums mnaachaje nyuzi kama hizi. Vita ni palestina na Israel sasa kukashifiana dini kunaingiaje? waTanzania hatupo hivi, we ain't fascists.
Cc Maxence Melo
Wapi nimesema Allah asikashifiwe? Unaweza onyesha nilipoandika hayo maneno? I have addressed JamiiForums and tagged Maxence Melo not you douchebag so keep the hell outta this.Ingia YouTube tafuta video za Shekh Sule.
Kwani Allah ni nani mpk asikashifiwe?
Wamewapata wawili wakiwa maiti, jambo la msingi hapa hakuna mateka ambaye Hamas wanaweza kumtoa bila ya wapalestina walioko jela kula Israel kuachiwaHawawezi kusitisha vita mpk mateka wapatikane.
Ben ndiyo kasema hivyo. Ila wamechapika mpk huku wakina shekh ponda wameandamana siyo mchezo
Mbona Yesu alikaa wakamuua, akafufuka na kupaa mbinguni.Unaijua hii sura ? hao ni washirikina ambao walifikia mahali wakamnyanyasa mtume kiasi cha kukimbia Mecca na kukimbilia Madina kuokoa maisha yake, sasa unataka akae waje kumpiga wamuue? lazima apambane nao popote walipo kujinusuru maisha yake , ndio maana Quran 9:6 ikitolewa angalizo katika kupambana na washirikina hawa
View attachment 2819856
Yesu Alikuwa dhaifu ila Mohamadi sio dhaifu jicho kwa jicho mpaka kieleweke, alikuwa jemedari wa vita kama wakina Musa na wengineoMbona Yesu alikaa wakamuua, akafufuka na kupaa mbinguni.
Kwanini yeye akimbie wakati allah yupo pamoja na na jibril wangemlinda? Kumbe anaogopa kufa
Al JAzeera hii habari wameitoa wapi? ni kutukashifu.....kwani China ni Mungu? hawa China nao si makafir tu ? inakuaje hii habari? hebu nisaidie mwenzangu.Wapi kwenye "source" yako palipoandikwa "wanakwenda kuomba China isaidie" au huo ni utumbo wako wa Kikenya?
Ruto alikwenda kuwaomba wajomba wa Mungu wenu waendeleze mauwaji ya wagonjwa mahospitali, tunawafahamu vibaraka.
Wapi kwenye "source" yako palipoandikwa "wanakwenda kuomba China isaidie" au huo ni utumbo wako wa Kikenya?
Ruto alikwenda kuwaomba wajomba wa Mungu wenu waendeleze mauwaji ya wagonjwa mahospitali, tunawafahamu vibaraka.
Kama Israel anasaidiwa na US , bila kupepesa macho mtu ambaye anaweza kuzungumza jambo kinyume na US ni mchina na Mrusi, kama wameenda kwa mmoja wao ni jambo sahihi , maana hawa wote wana kura ya vetoMinisters from Arab, Muslim countries to visit China in bid to end Gaza war: Saudi minister - Times of India
Middle East News: Ministers from Arab and Islamic countries will visit China on Monday on the first stop of a tour aims at ending the war in Gaza, Saudi Foreign ministe.timesofindia.indiatimes.com
NI KWELI WANAENDA KUOMBA CHINA ISAIDIE KUSITISHA VITA MAANA WAISRAEL WAMEPIGWA SANA NA HAWANA PA KUTOKEA KWA SASA.
Yesu Alikuwa dhaifu ila Mohamadi sio dhaifu jicho kwa jicho mpaka kieleweke, alikuwa jemedari wa vita kama wakina Musa na wengineo
Kwanini wasiende kuomba msaasa Iran?Kama Israel anasaidiwa na US , bila kupepesa macho mtu ambaye anaweza kuzungumza jambo kinyume na US ni mchina na Mrusi, kama wameenda kwa mmoja wao ni jambo sahihi , maana hawa wote wana kura ya veto
Iran amesha wasaidia wengi akiwemo Urusi , kwahiyo Mchina yuko free zaidiKwanini wasiende kuomba msaasa Iran?
Yesu ni dhaifu sana, ndio maana kafanywa kama nyama buchani, lile jambo hata Joshua asinge kubali angepigana vita na wewe hata miaka 10, sasa unataka na mtume awe dhaifu wa kutemewa mate ebu acha mambo yako, waislamu hawaamini kuwa kuna Mungu katemewa mate na kachapwa mijelediP
- Yesu aliyeshinda mauti anakuwaje dhaifu?
- Yesu aliyepaa mbinguni mpk leo kaburi lake halipo inakuwaje awe dhaifu?
- Huyu Yesu ambaye ni dhaifu inakuaje Muhamad alibadilisha badilisha ikawa Isah akaandikwa kwenye Quran tena amezaliwa chini ya mtende?
- Huyu Yesu ambaye wewe unamuona dhaifu kwanini waislamu wanaamini injili yake?
- Huyu Yesu ambaye wewe unamuona dhaifu waislamu wote wanaamini kuwa kutakuwepo na mpinga kristo. Je, kwanini hayupo mpinga Muhamad?
Sawa.Yesu ni dhaifu sana, ndio maana kafanywa kama nyama buchani, lile jambo hata Joshua asinge kubali angepigana vita na wewe hata miaka 10, sasa unataka na mtume awe dhaifu wa kutemewa mate ebu acha mambo yako, waislamu hawaamini kuwa kuna Mungu katemewa mate na kachapwa mijeledi
πππππIran amesha wasaidia wengi akiwemo Urusi , kwahiyo Mchina yuko free zaidi
Atakuwa mtu wa ajabu sana pale ambapo atakwambia mpokee Yesu kisha akakuchukia ukikataa.Kila mfuasi wa dini fulani ni mbaguzi kwa mwengine, kuanzia mafundisho yake na imani yake kwa ujumla, ndio maana sasa hivi mnahubiri mpaka barabarani na kutulazimisha kumpokea Yesu , na asie mpokea atachomwa, sasa mtu kama huyu atakupenda kwa lipi utakapo mwambia Yesu ni tapeli tu muongo hana lolote?
hawa wote ni makafir. mchina alikuwa na mmarekeni juzi juzi hapa.Kama Israel anasaidiwa na US , bila kupepesa macho mtu ambaye anaweza kuzungumza jambo kinyume na US ni mchina na Mrusi, kama wameenda kwa mmoja wao ni jambo sahihi , maana hawa wote wana kura ya veto
Mungu ni wa wote kijana hata allaha hapendi huo udhalimu wanaofanya iarael kila siku na yeye ndio anapanga atakalo sio mimi na wewemungu gani huyo ambaye anafurahia watu kutekwa na kushindwa kupatikana?
Kwahiyo tukio la octoba 7, allah naye alishiriki?
Ndio umeandika nini hapa? nimesha kwambia kuna mambo ya kitaifa na imani za watu ndani , nchi ina mambo yake , nchi za kiislamu zinafanya biashara na China bila wasiwasi, Nchi za kiislamu ni wanachama wa umoja wa kimataifa ambapo China ana kura ya VETO, shida iko wapi kumfata China? mashabiki wa US mna wivu sana na China