zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mimi ni mkristo lakini hizi hate speech sio kabisa, hivi JamiiForums mnaachaje nyuzi kama hizi. Vita ni palestina na Israel sasa kukashifiana dini kunaingiaje? waTanzania hatupo hivi, we ain't fascists.Baada ya kibano allah alikimbia kwa sasa yupo zake huko tarime anawamasisha walime bangi.
Cc Maxence Melo