Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Baada ya kibano allah alikimbia kwa sasa yupo zake huko tarime anawamasisha walime bangi.
Mimi ni mkristo lakini hizi hate speech sio kabisa, hivi JamiiForums mnaachaje nyuzi kama hizi. Vita ni palestina na Israel sasa kukashifiana dini kunaingiaje? waTanzania hatupo hivi, we ain't fascists.

Cc Maxence Melo
 
jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie( hii sentensi nimeipenda mno mpaka nimecheka )
Hawawezi kusitisha vita mpk mateka wapatikane.
Ben ndiyo kasema hivyo. Ila wamechapika mpk huku wakina shekh ponda wameandamana siyo mchezo
 
Hawawezi kusitisha vita mpk mateka wapatikane.
Ben ndiyo kasema hivyo. Ila wamechapika mpk huku wakina shekh ponda wameandamana siyo mchezo
Wamewapata wawili wakiwa maiti, jambo la msingi hapa hakuna mateka ambaye Hamas wanaweza kumtoa bila ya wapalestina walioko jela kula Israel kuachiwa
 
Unaijua hii sura ? hao ni washirikina ambao walifikia mahali wakamnyanyasa mtume kiasi cha kukimbia Mecca na kukimbilia Madina kuokoa maisha yake, sasa unataka akae waje kumpiga wamuue? lazima apambane nao popote walipo kujinusuru maisha yake , ndio maana Quran 9:6 ikitolewa angalizo katika kupambana na washirikina hawa

View attachment 2819856
Mbona Yesu alikaa wakamuua, akafufuka na kupaa mbinguni.
Kwanini yeye akimbie wakati allah yupo pamoja na na jibril wangemlinda? Kumbe anaogopa kufa
 
Mbona Yesu alikaa wakamuua, akafufuka na kupaa mbinguni.
Kwanini yeye akimbie wakati allah yupo pamoja na na jibril wangemlinda? Kumbe anaogopa kufa
Yesu Alikuwa dhaifu ila Mohamadi sio dhaifu jicho kwa jicho mpaka kieleweke, alikuwa jemedari wa vita kama wakina Musa na wengineo
 
Wapi kwenye "source" yako palipoandikwa "wanakwenda kuomba China isaidie" au huo ni utumbo wako wa Kikenya?

Ruto alikwenda kuwaomba wajomba wa Mungu wenu waendeleze mauwaji ya wagonjwa mahospitali, tunawafahamu vibaraka.
Al JAzeera hii habari wameitoa wapi? ni kutukashifu.....kwani China ni Mungu? hawa China nao si makafir tu ? inakuaje hii habari? hebu nisaidie mwenzangu.
 
Wapi kwenye "source" yako palipoandikwa "wanakwenda kuomba China isaidie" au huo ni utumbo wako wa Kikenya?

Ruto alikwenda kuwaomba wajomba wa Mungu wenu waendeleze mauwaji ya wagonjwa mahospitali, tunawafahamu vibaraka.

NI KWELI WANAENDA KUOMBA CHINA ISAIDIE KUSITISHA VITA MAANA WAISRAEL WAMEPIGWA SANA NA HAWANA PA KUTOKEA KWA SASA.
 
NI KWELI WANAENDA KUOMBA CHINA ISAIDIE KUSITISHA VITA MAANA WAISRAEL WAMEPIGWA SANA NA HAWANA PA KUTOKEA KWA SASA.
Kama Israel anasaidiwa na US , bila kupepesa macho mtu ambaye anaweza kuzungumza jambo kinyume na US ni mchina na Mrusi, kama wameenda kwa mmoja wao ni jambo sahihi , maana hawa wote wana kura ya veto
 
P
Yesu Alikuwa dhaifu ila Mohamadi sio dhaifu jicho kwa jicho mpaka kieleweke, alikuwa jemedari wa vita kama wakina Musa na wengineo
  • Yesu aliyeshinda mauti anakuwaje dhaifu?
  • Yesu aliyepaa mbinguni mpk leo kaburi lake halipo inakuwaje awe dhaifu?
  • Huyu Yesu ambaye ni dhaifu inakuaje Muhamad alibadilisha badilisha ikawa Isah akaandikwa kwenye Quran tena amezaliwa chini ya mtende?
  • Huyu Yesu ambaye wewe unamuona dhaifu kwanini waislamu wanaamini injili yake?
  • Huyu Yesu ambaye wewe unamuona dhaifu waislamu wote wanaamini kuwa kutakuwepo na mpinga kristo. Je, kwanini hayupo mpinga Muhamad?
  • Waislamu wanaamini Torati, Zaburi na injili ila hakuna mkristo yoyote duniani anayeamini sura yoyote kwenye Quran.
 
Kama Israel anasaidiwa na US , bila kupepesa macho mtu ambaye anaweza kuzungumza jambo kinyume na US ni mchina na Mrusi, kama wameenda kwa mmoja wao ni jambo sahihi , maana hawa wote wana kura ya veto
Kwanini wasiende kuomba msaasa Iran?
 
P

  • Yesu aliyeshinda mauti anakuwaje dhaifu?
  • Yesu aliyepaa mbinguni mpk leo kaburi lake halipo inakuwaje awe dhaifu?
  • Huyu Yesu ambaye ni dhaifu inakuaje Muhamad alibadilisha badilisha ikawa Isah akaandikwa kwenye Quran tena amezaliwa chini ya mtende?
  • Huyu Yesu ambaye wewe unamuona dhaifu kwanini waislamu wanaamini injili yake?
  • Huyu Yesu ambaye wewe unamuona dhaifu waislamu wote wanaamini kuwa kutakuwepo na mpinga kristo. Je, kwanini hayupo mpinga Muhamad?
Yesu ni dhaifu sana, ndio maana kafanywa kama nyama buchani, lile jambo hata Joshua asinge kubali angepigana vita na wewe hata miaka 10, sasa unataka na mtume awe dhaifu wa kutemewa mate ebu acha mambo yako, waislamu hawaamini kuwa kuna Mungu katemewa mate na kachapwa mijeledi
 
Sawa.
  • Kwahiyo shujaa ndiyo akaoa mtoto wa miaka 9 ambaye kwa hukumu ya sasa ni kesi ya ubakaji miaka 30 jela?
  • Kwahiyo shujaa ndiyo hajui kusoma na kuandika?
 
Iran amesha wasaidia wengi akiwemo Urusi , kwahiyo Mchina yuko free zaidi
😁😁😁😁😁
Iran amsaidie Urusi kwa lipi? Huyu huyu Iran ambaye binti hajafunika kichwa anamuua atakuwa na akili ya kumsaidia Urusi? 😁😁😁😁
 
Kila mfuasi wa dini fulani ni mbaguzi kwa mwengine, kuanzia mafundisho yake na imani yake kwa ujumla, ndio maana sasa hivi mnahubiri mpaka barabarani na kutulazimisha kumpokea Yesu , na asie mpokea atachomwa, sasa mtu kama huyu atakupenda kwa lipi utakapo mwambia Yesu ni tapeli tu muongo hana lolote?
Atakuwa mtu wa ajabu sana pale ambapo atakwambia mpokee Yesu kisha akakuchukia ukikataa.
 
Kama Israel anasaidiwa na US , bila kupepesa macho mtu ambaye anaweza kuzungumza jambo kinyume na US ni mchina na Mrusi, kama wameenda kwa mmoja wao ni jambo sahihi , maana hawa wote wana kura ya veto
hawa wote ni makafir. mchina alikuwa na mmarekeni juzi juzi hapa.
 
mungu gani huyo ambaye anafurahia watu kutekwa na kushindwa kupatikana?
Kwahiyo tukio la octoba 7, allah naye alishiriki?
Mungu ni wa wote kijana hata allaha hapendi huo udhalimu wanaofanya iarael kila siku na yeye ndio anapanga atakalo sio mimi na wewe
 
Ndio umeandika nini hapa? nimesha kwambia kuna mambo ya kitaifa na imani za watu ndani , nchi ina mambo yake , nchi za kiislamu zinafanya biashara na China bila wasiwasi, Nchi za kiislamu ni wanachama wa umoja wa kimataifa ambapo China ana kura ya VETO, shida iko wapi kumfata China? mashabiki wa US mna wivu sana na China

kwanza mlijaribu kumlilia kafir Putin ikashindikana, sasa mumekwenda kwa kafir Mchina, ba huko hamna kitu kipya atafanya, mnachopaswa kufanya ni kuwatuliza hayo magaidi yenu yatemane na Myahudi, endeleeni kuchinja Wakristo maana wao kidogo huwaacha mfanye mtakalo, lakini Myahudi ni balaa, hata huyo Mchina hutembeza sana kichapo kwa mazombi yenu, hata Mrusi kuna kipindi aliwapiga sana nyie, hao ni wrong number.
 
Back
Top Bottom