Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

TOKA MAKTABA:

Mwisho wa HEZBOLLAH Kama wa wenzao HAMAS unakaribia nchini Lebanon. Raia wa nchi ya Lebanon kuwafurusha vikaragosi wa Iran umewadia. Wananchi wa Lebanon wanaongezewa machungu na ma ayatollah wa Iran, na hakika raia wa Lebanon watawafurusha kwa kutumia kila mbinu muda si mrefu.

HAMAS ni mgambo walioasi na kutwaa eneo la Palestine, ndiyo maana PLO wanasubiri Israel wamalize operesheni yao halafu Palestine Authority irudi tena kutawala eneo la Palestine la Gaza lililotwaliwa na vikaragosi vya Iran yaani HAMAS.


Viongozi wakuu wa vikundi vya PLO, PFLP n.k vinasubiri siku hiyo ifike waondokane na HAMAS. Kiongozi wa PLO Mahmoud Abbas na baraza lake wanataka kuwa kiongozi wa Palestine moja isiyo na magaidi, Palestine moja iliyokuwa na ukanda wa Gaza na Ukanda wa Magharibi.

HOTUBA YA BW. YASSER ARAFAT ILIYOBATIZWA (KAMA ISHARA YA AMANI) TAWI LA MZEITUNI

Hotuba ya kiongozi wa PLO mwaka 1974 mbele ya Umoja wa Mataifa mwezi November 1974 mara baada ya Palestine moja kukaribishwa kuwa na mwanachama katika Umoja wa Mataifa

View: https://m.youtube.com/watch?v=SQrbPhrPJ7I(interpretation from Arabic)
 
Siyo nchi za Kiarabu tu! Hata Canada nayo imewataka wananchi wake wote kuondoka Israel haraka iwezekanavyo. Maana wanafahamu fika kitakachotokea iwapo tu hao Mayahudi wataingia kwenye vita kamili na Herzbullah.

Canada wako sahihi kuondoka ila maarabu mlipaswa mbaki msikimbie maana wale ni magaidi wa dini yenu na huwa mnapokezana mzuka.
 
Nasrallah anachimba mkwara akiwa ndani ya handaki lake
 
Warabu na kusudia Viongozi wa nchi ya Egypt. Jordan. UAE, Baharain. Saud Arabia, na USA, UK, France pamoja na shoga yao Israel ndio wanaingia vita na Hezbullah, sababu Israel hana ubavu wa kupigana na Hezbullah hao ndio watatumika kumpiga Hezbullah je wataweza kumshinda Hezbullah sidhani.


Hezbullah anakubali kuwa hao wataweza kuvunja Infustructors ya Lebanon lakini wakumbuke pia, Israel na yenyewe itakuwa hakuna tena mtu wakuishi pale ngoma ngumu sana.

Israel anaogopa lakini ni pressure anapewa na viongozi hao wa kiarabu na USA ndio anajidai mwamba atampiga Hezbullah.

Hizo kelele za media oh America na Israel wametofautiana, sijui USA kakataa peleka silaha Israel zote ni kelele za media tu, hakuna ukweli wowote ule.
 
Israel Iron dome yao imeshaonyesha weakness kubwa, drone zinaingia hadi ndani 30km na hezbollah wanafahamu targets zote, ndege zilipo, military bases n.k

Hii vita Netanyahu aiepuke tu, maana itakuwa aibu ya karne.
 
Ombea nchi yake ifanye mashambulizi ya kijeshi ikiwa ndani ya nchi hasimu n sio kila mtu kwake kumtungua mwenzie. Israel amekuwa hashikiki, kichwa kigumu sababu sababu hakuna mashambulizi mazito yaliyofanywa ndani ya ardhi yake. Hao hezbinyo sio wanyonge kama wapepestina. Kama kweli wanataka israel yao irudishwe stone age, wathubutu kuingia vita full force na Hao kina hezbinyo. Kanchi chenyewe kalivyo kaduchu, katageuzwa jiji la magofu hivi karibuni. Serikali ya wanyamwez Lebanon ikiivalia hio vita kinjunga, pamoja n hezbinyo n wanahamasa, Israel atakuwa kauruka mzigo wa ngombe n kuangukia uharo wa wanazengo wa mataputapu🥱
 
Hezbollah hawa hawa
 
Israel Iron dome yao imeshaonyesha weakness kubwa, drone zinaingia hadi ndani 30km na hezbollah wanafahamu targets zote, ndege zilipo, military bases n.k

Hii vita Netanyahu aiepuke tu, maana itakuwa aibu ya karne.
Nilikuwa namsikiliza Mlebanon ambaye yeye si upande wa Hezbullah, anasema hi vita wao hawaombi itokee sababu itavuruga Middle East yote.

Alicho sema Israel na nchi za kiarabu zinazo tegemea kuivunja Hezbullah, watakuwa wajinga sana kama wanategemea America ndio atawaokoa.

Hezbullah anasilaha za kuiteketeza Israel na hizo carries za America na America itabidi akatumie base za nchi za kiarabu, na hapo Iran atazichafua vibaya sana.

Inasemekana Iran kisha peleka badhi ya silaha North Cyprus ikiwa wale South Cyprus watawasapoti Israel na America pamoja na France na UK kutumia base zao kwenda shambulia Lebanon, Iran atazitungua.

Yemen. Iraq, Afghanistan na kikosi cha Al Haqi cha Pakistan, Syria hawa wote watakuwa tayari kumsaidia Hezbullah akihitaji msada.

Hapo hakuna redline hakuna UN kusimamisha vita wala mediators sijui nani, ni Mungu pekee ndio akijalia hio vita ndio itasimama.

Hatari sana.
 
Baada ya mapigano ya mwaka 2006, UN walikuja na mkataba wa kusitisha mapigano hayo ambaayo yalikubaliwa na Israel upande mmoja huku upsnde mwinginne yakikubaliwa na Serikali ya Lebanon na Hezbollah.
UNIFIL na UNTSO wakawekwa pale mpakani mwa Lebanon na Israel (blue line) but still Hezbollah wamekuwa wakifanya mashambulizi upsnde wa Israel na wakkati meingine wakivuka kwenda kushambulia upande wa Israel, lakni si UN wala nani waliowahi kusikika wakiongea lolote lile.

Mwaka 2018 ikabainika Hezbollah walikuwa wanachumba tunnels kuvuka blue-lune kwenda Israel. Report kali sana iliandika na ipo kwenye archives za UN but hakuna aliyesema kitu


Sasa hivi baada ya Istael kutoa tamko kwamba inakwenda kwenye full scale war, ndipo Katibi Mkuu wa UN anaanza kubweka kwamba haiwezekana Lebanon ikageuzwa Gaza nyingine. Anaongea hayo wakati pamoja na kuwepo ripoti za violation ya truce inayofanwa na Hezbollah lakini kamwe UN haikuwahi kutoa tamko lolote dhidi ya Hezbollah.
 
Israel na hawa viongozi wa kiarabu hawajui kinacho wangojea, wanadhani ni kama ile vita vya Iraq haswa hao Saud Arabia. UAE, Baharain Egypt, Jordan, yule Morocco anadhani atakuwa kwenye usalama hajui Iran kisha fika Niger 😄

America kuwasaidia ni ndoto angalia Ukraine anavyo vuruga nchi yake sababu ya hawa America na wenzake.

Wao wametulia na Ukraine ndio wanateseka.
 
We dogo upo dunia gani Hezbullah walisha sema zamani wana tunnels zinafika Israel na wa Israel wanasema wengine walikuwa wakisikia usiku watu kama wanachimba chini ya nyumba zao sa wapi kipya hicho.

UN toka lini ilikuwa upande wa Hezbullah, sijui umechanganyikiwa kapime akili zako UN ni tools inatumiwa na USA na Western kwa maslaha yao.

US katumia veto ngapi kuitetea Israel, leo ndio UN kawa adui wa Israel, kweli kichaa si lazima arushe mawe.

We tulia Israel single hio full war ndio utafahamu alicho ongea Mtume Muhammad ndio kina kuja alisema hakita kuja kiama mpa pale Waislam watapigana na Wayahudi na habaki hata Myahudi.

Hao viongozi wa kiarabu wataondolewa madarakani very soon ngojea kinuke ndio taifa teule lenu mtalitafuta limehamia wapi.
 
Moto mkali hujawahi tokea magaidi Hezbollah wataanza kupelekewa, wenzao Hamas huko Gaza wanajuta kwanini waliigusa Israel, sasa magaidi Hezbollah wataanza kuteketezwa na kuisha, soon dunia itaona another Hell on Earth huko Lebanon…!! War mongers tunajua hatari kubwa sana Lebanon inaenda kupata tokea dunia iumbwe..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…